Lowassa na Sitta uso kwa uso

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Mh. Sumari... wadau mnaweza ukatengeneza caption ya hii picha coz hawa jamaa wametoka mbali na wanasafari ndefu pia.

attachment.php

Naomba kuwasilisha
 
Attachments

  • Lowassa, Sitta.JPG
    Lowassa, Sitta.JPG
    38.8 KB · Views: 754
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Mh. Sumari... wadau mnaweza ukatengeneza caption ya hii picha coz hawa jamaa wametoka mbali na wanasafari ndefu pia.

Naomba kuwasilisha

Hivi kuna mtu bado anaaamini haya mazingaobwe ya CCM???
 
Hapa dhahiri shari ni EYE CONTACTS TU.............................MIND HAZIJA-MEET KABISA HAPA..............na ingekuwa upenuni nadhani WANGEZICHAPA KAVUKAVU............(tafadhali usigeuze mada)

hATA hIvYo Mzee MAPA-SLEEP aliwahi kuniambIA kwamba katika siasa hakuna adui wala rafiki wa KUDUMU
 
Ooops................nimeangalia Vizuri Edo Boy inaonekana macho yake yameshindwa kumuangalia Six in mutas mutandis .............which tells a lot in eye contact's philosophy (evasive eyes)......................
 
Una mcheki mzee wa Gombe aka Wassira hapo pembeni alivyoinamisha kichwa chini anawacheki kwa chati, si shwari kabsaa
 
Halafu sam six anaonekana kama anauhofia mkono wa lowassa!...mambo ya mwakyembe yamewatisha wengi!
 
Uso wa Wassira unaonyesha hii scene iliyoko mbele yake ni awkward, yuko embarrased anajifanya
haangalii, si unajua ukiwa unapatanisha wachawi, Lowassa katoa mikono miwili kizushi, anamheshimu Sitta na kwa kweli
hajawahi kujibu madongo yake, Sitta kamkazia uso hataki unafiki, he has nothing to lose CCM hawam mind
na hawawezi kumpa tiketi yao anyway, so hajali, katoa mkono mmoja maana ashasema yeye ki umri na uzoefu
ni senior katika cabinet yote.
 
Lowassa mikono yake inatetemeka,ni mgonjwa wa ugonjwa gani sijui,pasco lowassa aliambiwa na mtu mmoja eti kuna dawa anatumia toka indonesia kutibu kinachomsumbua. mikono yake lazima ipeane support!
 
Ooops................nimeangalia Vizuri Edo Boy inaonekana macho yake yameshindwa kumuangalia Six in mutas mutandis .............which tells a lot in eye contact's philosophy (evasive eyes)......................

Huu ndio ukweli. Lowassa kafumba macho na Sitta kakodoa. Wanaoneana haya!!!
 
Lowassa mikono yake inatetemeka,ni mgonjwa wa ugonjwa gani sijui,pasco lowassa aliambiwa na mtu mmoja eti kuna dawa anatumia toka indonesia kutibu kinachomsumbua. mikono yake lazima ipeane support!

Kwa ugonjwa unaomsumbua ambao hata alipokwenda Nigeria na Bibi shellukindo aliambiwa na mgaga ni bora akashughulikia maradhi aliyonayo kuliko kuuwaza urais. Hapa ni kheri akaendeleza utamaduni wa kupeana mikono na wote aliokoseana nao kwani maisha ni mafupi sana kwa wote na hivyo kutafuta suluhu ni bora!!
 
mimi NIlikuwa najiuliza mbona vidole vya EL vimenyooka wakati vile vya Sam six vimekunjwa kuzunguka kiganja cha EL. Kawaida unapomsabahi mtu ukiwa upo half interested huwa hujali kum-feel kiganja kizima kama alivyofanya EL dhidi ya Sam six. Nadhani hapa EL hajapendezwa na encounter ya namna hii, alitamani wapeane 'the crocodile smile' kwa mbali bila kushikana mikono! Mpiga picha nae amekuwa mzushi kwa kuilenga mikono ili wadau tupate ujumbe kupitia style hii ya kusalimiana
Uso wa Wassira unaonyesha hii scene iliyoko mbele yake ni awkward, yuko embarrased anajifanya
haangalii, si unajua ukiwa unapatanisha wachawi, Lowassa katoa mikono miwili kizushi, anamheshimu Sitta na kwa kweli
hajawahi kujibu madongo yake, Sitta kamkazia uso hataki unafiki, he has nothing to lose CCM hawam mind
na hawawezi kumpa tiketi yao anyway, so hajali, katoa mkono mmoja maana ashasema yeye ki umri na uzoefu
ni senior katika cabinet yote.
 
Kwa walio makini sana ebu angalia mikono ya Lowassa na mikono ya Six. Lowassa hajakunja kiganja ili kupokea kiganja cha mwenzie Six. This gesture tells a lot but in short ni kwamba Lowassa amelazimishwa na mazingira kumsalimu Six vinginevyo salamu yake haipo kabisa rohoni. Six anaonekana sasa ameanza kuamini kwamba huyu bwana ni strong and as time goes he will conclude that ED is the next head of state.
 
Back
Top Bottom