Lowassa na siasa za makanisani?

Mleta hoja hakuongelea nani anafuga mashetani wala nini! Sidhani kama unaweza kutenganisha hoja unayoileta hapa na ile ya EL kuabudu/kuokoka! Well, lakini hapo thread ipo kwa jokes!
Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
 
mkuu njopa muogope mungu mimi nilishakuwa pale SCOAN KWA PROPHET T.B.JOSHUA hakuna shetani pale na jamaa kama ilivyo kwa wengine kama katia mguu pale tutakumbushana 2015..

T.B. JOSHUA IS THE REAL MAN OF GOD and HE HAS THE REAL VISION FROM GOD ..sibishanii imani but.......!!!!!!!!
Msamehe bure, huyu jamaa ni wale wanaomsikia TB Joshua kupitia magazeti ya Udaku, hajawahi kukanyaga SCOAN wala kuangalia huduma yake kupitia Emmanuel TV. Otherwise angeficha aibu yake ya kujionyesha jinsi anavyozungumzia mtu asiye na information zake hata kidogo. Namshuri tu aangalie Emmanuel TV japo kwa J2 moja critically, naamini atakuja na ushuhuda tofauti
 
huyo paroko hamjui askofu Dr. Ruwaichi atahamishiwa ukerewe tena kisiwa cha saanane..
nafahamu saa nane ipo hapa mjini mza kama hifadhi tu!na ukerewe ipo?najua kule kuna kamasi na ukara!ni mtizamo tu!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Edward Lowasa ameanza kampeni za urais 2015 kwa kupitia makanisani ambako anaamini atapata sapoti kubwa kwa waumini wa madhehebu mbalimbali,,baada ya kutoa msaada kwa Askofu Mokiwa sasa anaelekea mkoa wa mara karibuni katika harakati hizohizo za kusaka huruma kwa waumini wa dini mbalimbali,,je urais unatafutwa makanisani? ebu tujadili
 
huko makanisani anatangaza nia au umeona nini Tambua kuwa EL ni mkrito na anapaswa kushirikiana na wakristo wenzake Tatizo lenu UDINI unawasumbua mno
 
Kwahiyo Lowasa akifanya jambo lolote unalihusisha na uraisi 2015,. Acha mawazo finyu.
 
[watanzania maskini mnatabu sana na wivu badala ya kuwalaumu wazazi wenu waliowarithisha umaskini ]

Mkuu nilidhani ungeyatumia masaburi kwa kujisaidia kuliko kufikiria..nani amuonee wivu fisadi?kinachowauma watu ni kwenda kwake kutaka sympath ya makanisa na waumini wakati wapiga kura keshawaibia sana hadi wamemchoka na makanisa hayo hayo yalijifanya kuupinga ufisadi leo yanataka kununuliwa kwa pesa za walalahoi huu ushenzi ndio hatutaukubali thistime
 
huyu kishakuwa maiti kwenye suala la urais hayupo tena,tuhangaike na hawa wengine huyu kwisha habari yake...kuendelea kumzungumzia ni sawasawa na kuichapa maiti viboko!hawezi tena kufufuka huyu.
 
Nyamafu, hii thread haina mshiko, acha kupandikiza udini hapa, wewe umeshafanya maovu mangapi na bado msikitini/kanisani unaenda? kama huna hoja sio lzm uandike kitu. EL ni kama mtu yeyote, wanaojua umuhimu wake wanamuita na anafanikisha. kinachokuwasha wewe ni nini? siasa ziende sehemu yake, EL ameanza kuchangisha kabla hajawa waziri mkuu, akiwa waziri mkuu na baada ya kujiuzulu. Hebu tuache akili sita, tuongelee realities. Mi nachojua kama kuna mtu anadeliver basi huyo ni EL, usibishe tu na kushabikia tafuta data kwanza na uache siasa za maji taka. Mwacheni mzee wa watu atumikie watu wanaoona umuhimu wake, kwa mimi muanglikana naona maana ya thread yako ni kwamba unataka kumtukana askofu wetu na kwa maneno mengine unatutukana na sisi tuliokuwa pale kwenye ile sherehe ya mavuno na kwamba unatuona hatuna akili au unafikiri bado tunasoma habari kama misahafu. Usiingize mambo ya imani za watu na vijimitazamo narrowed.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Edward Lowasa ameanza kampeni za urais 2015 kwa kupitia makanisani ambako anaamini atapata sapoti kubwa kwa waumini wa madhehebu mbalimbali,,baada ya kutoa msaada kwa Askofu Mokiwa sasa anaelekea mkoa wa mara karibuni katika harakati hizohizo za kusaka huruma kwa waumini wa dini mbalimbali,,je urais unatafutwa makanisani? ebu tujadili

Huyu inaonyesha anataka uraisi kwa njia yoyote kwani kipindi cha nyuma alienda Nigeria na Mchungaji m1 wa hapa TZ na nigeria inajulikana kwa ndumba, na sasa karudi kanisani yaani anatumia njia ambazo nyerere alizipinga
 
Hapa inabidi tujifunze kuwatendea watu haki maana Lowasa anasadikiwa kuwa fisadi hii inamfanya kuwa mtuuhumiwa tu. Kuna mtu yeyote ambaye anajua kesi aliyoshitakiwa Lowasa na kupatikana na hatia ya ufisadi? Kujiuzulu wafidha wa uwaziri mkuu mbona ni jambo la kawaida kwa wanasiasa kufanya hivyo pale inapotokea matatizo ambayo yanahusisha nyadhifa zao? Mfano hivi leo waziri wa ulinzi mwinyi mdogo akijiuuzulu kwa sababu ya mabomu ya mbagala na g/mboto je itamaanisha kuwa yeye ndo aliyafyatua? Au ngeleja akijiuuzulu kwa sababu nchi iko gizani je itamaanisha yeye ndo anakata mitambo ya tanesco?
Suala la Lowasa ni failure ya system ya ccm na serkali yake, ndo maana nasema kumumulika lowasa peke yake ni kutomtendea haki. Mimi naamini kabisa kuwa lowasa hana tofauti yoyote na kikwete na mafisadi wengine ndani ya ccm kwenye ufisadi wa nchi hii, iweje wengine wawe wasafi na lowasa gamba? Si mtetei lowasa kwa madhambi yake lakini kama kuna watu wengine ambao wanamakosa kama yake lakini wanaendelea kuheshimiwa na kupigiwa makofi kwa nini yeye tu ndo aandamwe? Haki haitetendeki kwa style hii ya kufumbia macho waarifu na kuwashupalia baadhi yao, huu ni ushaabiki tu kama wa simba na yanga "mimi ni JK mwingine mimi ni lowasa" Kamwe hatutaikomboa hii nchi kwa tabia kama hizi. Lazima ijulikane wazi kuwa mafisadi ni ccm wote na serkali yao na hii inamjulisha raisi wao pia. Wote ni malowasa mafisadi walio bobea.
 
Nafikiri wewe ni kama wale wengine wasiojua vizuri kuchambua mambo.ni kweli EL hana tofauti na mafisadi wengine akina BM, AK, KNM,JK na familia yake na wakuu wa mashirika wa umma hawa kwanza wananuka zaidi kuliko hata EL, ila tofauti ya EL na hawa wengine ni kwamba baada ya kujiuzulu EL amekua akipiga vita ya chini chini kwenye chama na serikali ili asafishwe, awachafue wengine, alipe visasi, abaki na mtaji wake wa kisiasa achomoke wviongozi kwenye chama mfano Bruiani pale Arusha badala ya Mrema n.k na haya yote ndiyo yanayomfanya aendelee kumulikwa vibaya au vizuri na jamii. angetulia akala hela zake taratibu asingefuatwa fuatwa nani anamkumbuka Karamagi, Msabaha, Kigoda, hata akina Mramba na Yona wenye ksei mahakamani hawaandikwi (wote hawa hawatafuti wachawi na hawaingilia siasa za wenzao wametulia wanakula chao walichovuna)
 
Back
Top Bottom