Lowassa na siasa za makanisani?

Habari za uvumi toka Ar zinasema ex mp wa tz awamu ya 4a alionekana jana kanisani kwa Ngurumo akiwa na bible plas tenzi za rohoni.EL alionekana akiwa viti vya mbele pia alisikika zaidi wakati wa mapambio kushinda wenzake.Pambio lenyewe lilimbwa Sitarudi tena Misri naenda kanani.Baadaye alionekana akiongozwa sala ya toba huku akitoa ahadi jpili ijayo atatoa ushuhuda wa kufedheheshwa sana kuaibishwa sana kusemwa sana.na pia atajiunga na kwaya ya wazee na atakuwa mweka hazina.JE MWANA JF HILI LIMEKAAJE

Vyovyote na viwavyo, huyu si msafi amewaibia watanzania sana. Wala hatasamehewa yeye na vizazi vyake. Mungu huyo anayemuamini kama ni wa haki, hatamsamehe mpaka arudishe mali ya watanzania aliowaibia.
 
Na auze kila alicho nacho awagawie maskin na aufuate wokovu. Vinginevyo itakuwa ngumu kwake kuupata ufalme wa mbingu kama ilivyo ngumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Ngurumo ya upako na Joshua Nigeria ni timu ya waabudu shetani, Mapepo matupuuuuu!!! wahsindwe na walegeeee katika Jina la Yesu wa Roman catholic amen
Tuondolee hapa roho yako chafu ya dini.Unaweza kuprove biblically hiyo shutuma kwa TB JOSHUA & GEORDAVIE? Huoni shutuma yako bila authentic prove inakuthibitisha wewe unamfanzia kazi shetani,na ni wewe haswa unayemuabudu shetani na si hawa? Acha discrimination za kijinga juu ya imani za watu...
 
ngurumo ya upako na joshua nigeria ni timu ya waabudu shetani, mapepo matupuuuuu!!! Wahsindwe na walegeeee katika jina la yesu wa roman catholic amen

mkuu njopa muogope mungu mimi nilishakuwa pale SCOAN KWA PROPHET T.B.JOSHUA hakuna shetani pale na jamaa kama ilivyo kwa wengine kama katia mguu pale tutakumbushana 2015..

T.B. JOSHUA IS THE REAL MAN OF GOD and HE HAS THE REAL VISION FROM GOD ..sibishanii imani but.......!!!!!!!!
 
Mmmh...kwa hiyo tutarajie ushuhuda kama huu kutoka kwa Raisi wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa, come November, 2015..

"TB Joshua Prophesied My Victory" - President of Ghana (Part3) - YouTube
 
Bado naamini Mungu hana upendeleo..yaani kwa Mungu hakuna first class wala mafisadi..na Malipo yote ni hapa hapa kabla parapanda halijalia..

Na kuna uwezekano mkubwa wenye uchungu na nchi wataongoza kabla parapanda halijalia...Hawa jamaa watawafuata mafisadi wote hadi makaburini sembuse kanisani?
 
Hivi hapa tunaongelea nini ? imani ya mtu ? huyu mzee tuliyemuomboleza juzi si alituambia 'imani ya mtu haituhusu na hata asiyekuwa na dini kama ana uwezo' tumpangishe jumba jeupe la Magogoni ?
 
lowasa arudishe mali za watz alizotuibia, asitufanye hatuna akili, tunajua shetani akizeeka anajifanya malaika,
but arudishe vyetu kwanza.
 
imeandikwa "wenye afya hawahitaji tabibu bali walio hawawezi(wagonjwa) hivyo kama wewe unajiona mwenye haki huna sababu ya kutubu lakini Lowasa(kama taarifa ni za kweli) amefanya jambo jema kwa maana "kumcha BWANA(Mungu) ndiyo mwanzo wa hekima na wote wafanyao hayo wana akili njema",amen
 
Pamoja sana mkuu...

By the way, kanuni za Mungu hazipo static, alichomwambia Zakayo sio lazima kiwe ndicho atakachomwambia Lowassa, haya ni mambo binafsi ya mtu na Mungu wake...
 
Ukweli wa mambo ni kwamba mtu anayetaka uraisi kwa mbinu zozote humpelekea kupata tatizo la akili na ayafanyayo ureflect matatizo hayo!nachelea kusema bila woga kwamba lowassa anaumwa,tumsaidie mtanzania mwenzetu kuondokana na tatizo hili!!madaktari mumsaidie huyu!!
 
Hakuna binadamu aliyekamilika asilimia 100, si vema kumhukumu EL kwa sababu ana nafasi ya kutubu na kufanya kazi za Bwana. Na kwa mtazamo wangu naamini bado anafaa na angalikuwa tusengelia hivi na huu ugumu wa maisha, infllation inatisha
 
mkuu upumzike kwa amani na mwanga milele akuangazie bwana!Amen.
Hakuna binadamu aliyekamilika asilimia 100, si vema kumhukumu EL kwa sababu ana nafasi ya kutubu na kufanya kazi za Bwana. Na kwa mtazamo wangu naamini bado anafaa na angalikuwa tusengelia hivi na huu ugumu wa maisha, infllation inatisha
 
Pengine Lowasa kama muumini sioni tatizo la yeye kuarikwa katika hilo kanisa sidhani kama ni lazima tumfikirie vingine zaidi ya kwenda kufanya ibada na kusimamia harambee.

Sio muumin wa kanisa hilo. yeye ni wa kkkt
 
Back
Top Bottom