Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

Haya mnasemaje tumuweke mbowe au slaa hapa au tuache angalau kwa leo???

tuanze na dogo kwanza...

NGELI NI ISSUE JAMANI TUKUBALI HASA SIE TUNAOONGEA KIBANTU KILA KUKICHA. BINFSI HATA LUGHA YANGU YA ASILI SASA NIKIONGEA INANIUMUZA KICHWA KUFIKIRI MANENO NA NACHAPIA CHAPIA SANA.

kWANI ZITTO ANAPOONGEA KUSWAHILI ANASEMAGA 'EEEH, EEEEHE, MHHH MHHHH, EEEHH, BUT MMMH, HEEE" HATA KUFIKIRIA TU HAPO INAONEKANA KINAMUUMIZA.
 
Last edited by a moderator:

Acha umbwigwa wewe. Kusema mmm au eeehh inaruhusiwa kwenye kiingereza na ni mbinu ya kuzuia silence na kutafakari. Obama mwenyewe huwa anafanya hivyo na ndiye anasemekana kuwa ni Rais anayeweza kujieleza kuliko wote wa Marekani waliopita. Zitto ametisha hapo.
 
zito yuko juu .
 
Kiingereza ni cha waingereza wala haaimananishi kwamba kukijua ndiyo una uelewa mkubwa...mbina kuna wanajua kiingereza sana lakini hawajui kusoma wala kuandika??? Ninadhani tuwashangae sana wasioweza kujieleza sawasawa kwa kiswahili......mnajichosha bure.....mnafikiri kwa kutumia kiswahili halafu mnataka mtoe mawazo yenu kwa kiingereza......ni utumwa nao pia
It is important to realize that English language is a media of communication through which a lot of knowledge can be obtained. I belive it is leading among other languages spoken in the world. To emprove skills in language one need to read and speak. The idea that you get enslaved by speaking a language will only shut you from accessing information to increase you knowledge and pleasure through TVs,movies and novels. Ni hayo tu mwanakwetu
 
Mbona Ji Ntao wa china haongei kiingereza..mbona Ahmadinejad haongei kiingereza.?acha umbumbumbu

Ndiyo ujiulize sasa kwanini Mulugo na Lowassa wanajilazimisha kuongea kiingereza wakati hao uliwataja hawajishughulishi nacho.
 
nilijua nikiwagusa viongozi wa chadema tu hoja itaanza kulainishwa,haya kaka hatutawaweka hapa zitto anatosha..

Dada (niwie radhi kama si jinsia yako),
Hili si suala la ushabiki wa vyama ni suala la uelewa tu.......tulikubaliana kiswahili ndiyo lugha yetu ya taifa.....kila mtu ni lazima aijue....nadhani si busara kujivunia kitu kisicho chako...mdumange sound...ndosi shop....peoples power...wanyambala stars...yanatusadia nini??..hutuwezi kutafuta maneno ya kiswahili??.mbona wakati wa kampeni mnazungumza kiswahili kizuri tuu??......bora ujivunie kisukuma au kigogo kuliko kiingereza labda uwe muingereza....ushabiki usituvuruge bongo zetu hadi kufikia kujadili mambo yasiyo na maana kwetu....
 
Ni dada hujakosea..lkn kwanini wanaking'ang'ania
 
Wote wanaongea Swa-nglish, hawatofautiani sana. Kasoro Mulugo ndio anaonekana hana mazoezi hata na hiyo Swa-nglish.
 
Lowasa anazungumza vizuri wala hamna hata ishu ya kumuingilia hapo. Chuki binafsi, tena uwezi kuwa mwalimu wakurekebisha watu wanavyo tamka kwa kuwa sio wazungu na pronunciation lazima zita differ worldwide no matter how educated.
 
Mbona mzungu akikosea kiswahili hilo hatujadili lakini mswahili akikosea kizungu tunaona hana akili. Tuache mitazamo ya kikoloni( Colonial Legacy) maendeleo hayaletwi na lugha.
 
kiingereza kizuri "they don't listen to the teachers" au "they don't pay attention to the teachers'!?
 
Mbona mzungu akikosea kiswahili hilo hatujadili lakini mswahili akikosea kizungu tunaona hana akili. Tuache mitazamo ya kikoloni( Colonial Legacy) maendeleo hayaletwi na lugha.

Acha umbwiga wewe. Hapa hatujadili watu wa kawaida tu, tunamjadili naibu waziri mwenye dhamana ya kuongoza wizara ya elimu na mbunge mwenye mipango ya kugombea urais.
 
Acha umbwiga wewe. Vyote vibovu tu hivyo.

ndio maana nasisitiza kwanini tunaking'ang'ania....ila kwa uelewa wangu mdogo(umbwigaa)kusema they dont listen anamaanisha kama watoto ni watukutu hawasikilizi tofauti na ya pili yenye maana ya kuwa wanafunzi wanashindwa kuwaelewa walimu sababu ya njaa.
 
Back
Top Bottom