Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

Msikilizeni na membe nae kisha baadae sam six nae tutamleta hapa na baadae dk.slaa atafuata kisha tutamaliza na mbowe na lipumba...

 
Last edited by a moderator:
Haya mnasemaje tumuweke mbowe au slaa hapa au tuache angalau kwa leo???
 
Haya mnasemaje tumuweke mbowe au slaa hapa au tuache angalau kwa leo???

tuanze na dogo kwanza...
 
Last edited by a moderator:
Sio kwamba hawajui Kiingereza hawana matumizi nacho kwa asilimia zaidi ya tisini kwa muda wote wa maisha yao, lugha inakuwa, na inakufa, kama huitumii lazima huwezi kuwa na misamiati ya kutosha, lafudhi sio hoja sana kwani hata waingereza wana lafudhi tofauti kati ya sehemu na sehemu au na wamarekani nk.

Ama tuanze kujifunza kiingereza kuanzia darasa la kwanza na kiwe ni kwa masomo yote ili tuwe na misamiati ya kutosha la sivyo tutaonekana vituko siku zote tukizidi kkuking'ang'ania . Wapo wengine kichwa ni patupu hata wakiongea kimatumbi na wako ambao wana make sense ila lugha ndio inawachanganya.
 
Back
Top Bottom