Elections 2010 Lowassa na mafisadi wengine wana lengo gani?

mchakachuaji1

Senior Member
Nov 4, 2010
104
7
Nimefuatilia nyendo za mbunge mchaguliwa wa jimbo la Monduli Edward Lowassa tangu alipofika Arusha saa chache kabla NEC haijatangaza mshindi wa kiti cha ubunge wa jimbo la Arusha mjini. Inaonekana kuna njama za kutaka kupandikiza watu wao katika ngazi mbalimbali za uongozi, sijui ni kwa manufaa ya nani ila inatia shaka kwa sababu hii inaonekana si kwa maslahi ya Taifa. Kwa sasa naona Chenge anapata support kubwa kutoka katika kundi hili ili afanikiwe kupata uspika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania ili waweze kuwafunga mdomo watanzania kwa kuzima hoja zenye kutetea maslahi ya Taifa. Kwa haya yote nalazimika kuuliza hivi hawa kina Lowassa wana lengo gani na nchi yetu?
 
Lengo ni kuhakikisha Lowassa rais 2015
 
Lengo ni baya - Lowassa kuwa Rais wa tano kuanzia 2015. Lowassa alipokuwa Waziri Mkuu alileta wazo lake la kupunguza foleni DSM kwa kuanzisha njia tatu, mpango ulioua watu wengi kwa kugongwa barabarani na matatizo ya foleni kuongezeka hasa magari yanapofika njia panda. Mpango huo uliondolewa kimya kimya baada ya yeye kujiuzulu.

Sasa haoni kuwa kama yeye akiwa Rais atatupeleka pabaya sana kwa uwezo wake mdogo wa kufikiri? Je, haoni kuwa amedharaulika kwa kuondolewa kwa mpango wa njia tatu wakati bado akiwa hai?
 
Nimefuatilia nyendo za mbunge mchaguliwa wa jimbo la Monduli Edward Lowassa tangu alipofika Arusha saa chache kabla NEC haijatangaza mshindi wa kiti cha ubunge wa jimbo la Arusha mjini. Inaonekana kuna njama za kutaka kupandikiza watu wao katika ngazi mbalimbali za uongozi, sijui ni kwa manufaa ya nani ila inatia shaka kwa sababu hii inaonekana si kwa maslahi ya Taifa. Kwa sasa naona Chenge anapata support kubwa kutoka katika kundi hili ili afanikiwe kupata uspika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania ili waweze kuwafunga mdomo watanzania kwa kuzima hoja zenye kutetea maslahi ya Taifa. Kwa haya yote nalazimika kuuliza hivi hawa kina Lowassa wana lengo gani na nchi yetu?

Kwani unafikiri malengo yao ni yapi? ni wezi period! sijaelewa unataka kujua nini tena
 
Back
Top Bottom