KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #41
Kweli bado kuna watu wako ktk ukoloni.
Halafu eti anajisifia anaijua cnn kuliko mtu yeyote.
Kuna watu na viatu!
wala sio kiatu but ni kweli naijua cnn sana wala sio dhambi kuifahamu cnn we mbona unaifahamu tbc sana na redio uhuru sana na hakuna anaekubughuzi juu ya hilo,au kuifahamu cnn ni utumwa pia!!
Kuna alitaka kudanganya kwamba Larry king hayuko kabisa ccn au pengine alikua anaongoza na dhana zaidi ndio tunaijua cnn tukaona ni upotoshaji tukajitokeza kuliweka sawa hilo tena kwa refference,ndio faida ya jukwaa hili,kupashana habari pia!