Lowassa matatani zaidi

Kosa kubwa walilofanya die hard fan wa Chadema(BAK,YERIKO,MUNGI) ni kitendo cha kuunga mkono kitendo cha Lowasa kukaribishwa Chadema na kupewa nafasi kubwa kuliko hata wale waanzilishi.Binafsi Chadema walifanya kosa kubwa sana kuwafukuza Zitto Kabwe na Prof. Kitila Mkumbo
 
Siyo fisadi! Period
uploadfromtaptalk1470000848732-jpg.374145
 
Kama huyu asiyetaka kujaribiwa, kapiga marufuku mikutano na maandamano ya wapinzani kwa kujificha nyuma ya mgongo wa polisiccm na ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa ni kipi kinamshinda huyu kumkamata na kumpandisha kizimbani!? Hapo mie ndiyo namshangaa huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.

Ushahidi wa ufisadi wa Lowassa huu hapa kwa maneno yako mwenyewe
uploadfromtaptalk1470000848732-jpg.374145
 
Njaa mbaya/ujinga mbaya
Vijana wengi we chadema hawana msimamo kwenye siasa.
 
Kosa kubwa walilofanya die hard fan wa Chadema(BAK,YERIKO,MUNGI) ni kitendo cha kuunga mkono kitendo cha Lowasa kukaribishwa Chadema na kupewa nafasi kubwa kuliko hata wale waanzilishi.Binafsi Chadema walifanya kosa kubwa sana kuwafukuza Zitto Kabwe na Prof. Kitila Mkumbo
Hawawezi kukuelewa mkuu japo huo ndiyo ukweli. Kinachowafanya wajitutumue kwa sasa ni kukosa mishipa wa aibu na kuendekeza njaa. Chama gani kila anayeaanza kuonyesha uwezo wake anafukuzwa kwa usaliti? Kitakuwa chama cha wazee tu, masikini vijana wamekuwa bendera fuata upepe, kila anayeletwa na Mbowe wanaanza kumsifia kwa nguvu zote.

Chadema tatizo kubwa lipo juu kabisa ya uongozi wa chama, kuanza na hilo mtalalamika kila siku mnaibiwa kura.
 
Acha uzushi wewe taahira, wapi nilipomlamba miguu Lowassa!? Na kwa taarifa yako sijawahi kupata hata senti moja toka kwa yeyote ndani ya CHADEMA kwa yote ninayoyaandika humu.

Ama kweli Siasa ni biashara!

Leo hii BAK anamlamba miguu mtu aliemtangaza kuwa fisadi.

Siasa za kuchumia tumbo. Siasa uchwara!

-Kaveli-
 
Wacha uzushi wewe hebu weka bandiko langu la kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA.

Kosa kubwa walilofanya die hard fan wa Chadema(BAK,YERIKO,MUNGI) ni kitendo cha kuunga mkono kitendo cha Lowasa kukaribishwa Chadema na kupewa nafasi kubwa kuliko hata wale waanzilishi.Binafsi Chadema walifanya kosa kubwa sana kuwafukuza Zitto Kabwe na Prof. Kitila Mkumbo
 
Acha uzushi hakuna evidence yoyote niliyopewa ya kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA. Nimeshaomba ushahidi huo mara chungu nzima hakuna hata mmoja aliyeweza kufanya hivyo ili kuonyesha nimepiga about turn kwa yote niliowahi kuyaandika humu kuhusu Lowassa. Acha kukurupuka na kuandika uzushi.

QUOTE="Kamanda wa Kweli, post: 17047591, member: 234655"]Hahahahahaaaa...huwiiiiii!!! Anabisha kidogo anapewa evidence duh. Mimi yangu macho tu.[/QUOTE]
 
Mie sijawahi kubadili msimamo wangu siku yoyote ile na sijawahi kupata hata senti moja kutoka kwa yeyote ndani ya CHADEMA. Siku zote ukae ukijua hivyo.

Wewe mwenye msimamo nchi inaliwa na wahuni na mafisadi akina Lugumi, Escrow, EPA, wakwapuzi wa mashirika ya umma, wakwapuzi wa nyumba za Serikali, Kagoda, Meremeta etc lini utabadili msimamo na kuanza kutetea maslahi ya nchi yako badala ya hiki chama cha wahuni na mafisadi!?

UOTE="Kitulo, post: 17047207, member: 104112"]Njaa mbaya/ujinga mbaya
Vijana wengi we chadema hawana msimamo kwenye siasa.[/QUOTE]
 
Wacha uzushi wewe hebu weka bandiko langu la kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA.

Waliopinga ujio wa Lowasa hakuna aliyebaki kuendelea kuitetea Chadema,now wanaitwa wasaliti (Dr Slaa et all)

Nashangaa wewe bado unatetea chama ambacho kinaongozwa na uliyemwita fisadi mwizi
 
Acha uzushi wewe taahira, wapi nilipomlamba miguu Lowassa!? Na kwa taarifa yako sijawahi kupata hata senti moja toka kwa yeyote ndani ya CHADEMA kwa yote ninayoyaandika humu.

Matusi ya nini we killaza, unapanic nini sasa? au 'kushikishwa UKUTA' na mbowe ndo ushawehuka tayari eeh?

Endelea 'kuchora 7' mbele ya Mbowe na Lowasa.

BAK.jpg

Chadema.jpg

-Kaveli-
 
Kwakweli inasikitisha sana.

Ndio mtu kama huyu sasa unajiuliza hata familia yake anaisimamiaje kama anakosa msimamo kwa mambo kama haya?
Huwezi amini BAK ndio kawa mpambe mkubwa wa lowasa teh teh njaa mbaya sana
 
Wacha uzushi wewe hebu weka bandiko langu la kuunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA.

Baada ya Lowasa kuingia Chadema, hebu tuoneshe bandiko lako hata moja tu la kupinga Lowasa kuhamia Chadema.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom