Lowassa matatani zaidi

Hiv sikuiz JF imenunuliwa na CCM. Mnatengeneza post den mnazipa tarehe ya nyuma ili iweje. Post kama hizi ya 2008 haiwezi kuwa na comments zisizozidi hta page moja. JF moderator acheni uhuni hata jana mlitoa post kama hiiii. Tumeisha washtukia tafta njia nyingine.
Hivi unaujua msimamo BAK toka zamani kuhusu Lowasa Na ufisadi kwa ujumla....Kama hujui jaribu kupitia profile yake kuhusu mada za Nyuma.

JF haijawahi kumlisha maneno mtu, ila watu ndio wanakula matapishi yao humu JF.
 
Sijawahi kuandika tofauti na posts zangu za nyuma kama unao ushahidi wa kuonyesha mimi kuandika tofauti uweke hapa badala ya kukurupuka.

Hivi unaujua msimamo BAK toka zamani kuhusu Lowasa Na ufisadi kwa ujumla....Kama hujui jaribu kupitia profile yake kuhusu mada za Nyuma.

JF haijawahi kumlisha maneno mtu, ila watu ndio wanakula matapishi yao humu JF.
 
I found this massage very funny

Naye Lowassa akawaambia mawaziri wengine"
KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr
Mwakyembe.Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili
nitakapokuwa nanyi muwepo.Nanyi muonapo tume zaundwa
basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia". Kisha akakwea tena Ikulu kuomba Rais asimfilisi. Lakini RICHMOND akatokea na jeshi la Mwakyembe na kusema " Nitakayembusu huyo ndie....!".Mara Chenge akatoa Upanga alani na kumkata mfuasi wa Mwakyembe(Anna Kilango) sikio .Lowassa akamwambia Chenge "rudisha upanga wako alani,Kikombe nilichotupiwa na Kikwete Sina budi Kukinywa"

Moja kati wa mayahudi wale aitwaye Selelii hakuamini kama Lowasa Kajiuzuru,akatwaa mkuki akamchoma ubavuni na tazama...Ikatoka gas ya songosongo na nati ya mitambo ya umeme...Siku ya tatu wakaenda pale ofisini kwake..Lakini wakakuta wingu la Mvi limetanda na Suti ya mistarimistari pale kitini walipomweka..yule morani waliyemkuta getini akawaambia mnayemtafuta hayupo.....Ameshapaa kwenda Monduli na yupo kuume kwa Laiboni..Wakasema..."Hakika huyu alikuwa Fisadi.
Na limfike huyu aliyegeuza maandiko.
 
Kama huyu asiyetaka kujaribiwa, kapiga marufuku mikutano na maandamano ya wapinzani kwa kujificha nyuma ya mgongo wa polisiccm na ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa ni kipi kinamshinda huyu kumkamata na kumpandisha kizimbani!? Hapo mie ndiyo namshangaa huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.

Bubu AK, jikumbushe ya Lowassa, chadema chaka la mafisadi.
 
Kama huyu asiyetaka kujaribiwa, kapiga marufuku mikutano na maandamano ya wapinzani kwa kujificha nyuma ya mgongo wa polisiccm na ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa ni kipi kinamshinda huyu kumkamata na kumpandisha kizimbani!? Hapo mie ndiyo namshangaa huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.
BAK bwana!! You guys have really invested in politics...and I guess it pays ....
uploadfromtaptalk1470000848732.jpg
 
FYI I am doing this for the passion to my beloved country. I have never gain even a single cent on my contribution on this forum or any other forum. Usiwe na mawazo finyu bro kwamba mtu anapoipigania nchi yake ni lazima kuwe na monetary benefits.

Ningetaka kuneemeka basi nami ningefuata nyayo za msaliti Mwanakijiji ili nipate ukuu wa mkoa kwa kumpigia debe dikteta uchwara.

BAK bwana!! You guys have really invested in politics...and I guess it pays ....
View attachment 374145
 
FYI I am doing this for the passion to my beloved country. I have never gain even a single cent on my contribution on this forum or any other forum. Usiwe na mawazo finyu bro kwamba mtu anapoipigania nchi yake ni lazima kuwe na monetary benefits.

Bubu ulijiunga team Lowassa pale Mbowe alipobadili gia angani. Lol.
 
Mimi ningekuwa BAK au jamii ya Yericko Nyerere nisingejihusisha na mijadala yoyote inayomuhusu Lowasa, cha ajabu ndugu zangu hawa wana nafsi zilizokosa chembe ya aibu.

Kabla Mzee Lowasa hajatakaswa walikuwa wanatapika juu yake lakini sasa ndiyo wapambe kuzidi wapambe wake.
 
FYI I am doing this for the passion to my beloved country. I have never gain even a single cent on my contribution on this forum or any other forum. Usiwe na mawazo finyu bro kwamba mtu anapoipigania nchi yake ni lazima kuwe na monetary benefits.

Ningetaka kuneemeka basi nami ningefuata nyayo za msaliti Mwanakijiji ili nipate ukuu wa mkoa kwa kumpigia debe dikteta uchwara.

I understand you brother, we all fight for our beloved nation. Tatizo ni kuweka imani kwa hawa wanaotuongoza, I believe they're fooling us...ili kujinufaisha kisiasa.
 
Ni kweli kabisa Mkuu, lakini baada ya hawa kuwepo madarakani miaka 55 na utajiri mkubwa tuliojaliwa nchini kimaendeleo bado tuko nyuma sana. Na huyu wa sasa ni janga kubwa la Taifa na kinachoudhi zaidi ji kwamba wanafanya kila hila kung'ang'ania madarakani pamoja na kuwa uongozi wa nchi umewashinda.

I understand you brother, we all fight for our beloved nation. Tatizo ni kuweka imani kwa hawa wanaotuongoza, I believe they're fooling us...ili kujinufaisha kisiasa.
 
AF kama usaliti ni nani kati ya CCM na CHADEMA walioisaliti nchi hii zaidi!? Kumbuka EPA, Escrow, Kagoda, Meremeta, mikataba ya rasilimali, IPTL, Rada, Kiwira Coal mining, Lugumi, UDA, Pride, Tokomeza n.k. na hatusahau kulivua gamba hebu nitajie ufisadi mmoja tu wa CHADEMA. Mie kuunga mkono CHADEMA si kwa sababu ya mtu huyu au yule bali ni sera za chama.

Sasa AF CCM wamekusaliti mara ngapi!? Mbona bado umeng'ang'ana!?
Kumbuka ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, Kilimo kwanza, Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Zote hizi zilikuwa ni ahadi hewa, ni lini utawarudishia likadi lao na kuangalia ustaarabu mwingine!?

At least ungebaki Team Slaa basi kama kina Mwanakijiji; Tatizo mnaogopa kuitwa wasaliti. Mnaogopa nini ilhal mmesalitiwa?
 
Back
Top Bottom