aaah sina habari
wewe ni mgeni wa galilaya eeeh....mbona hata wa kwetu huwa wanaenda kupiga kura kenya...majamaa wana vitambulisho viwili viwili...si unajua hawanaga makazi maalumu, hawana cha balozi wala katibu kata
Nadhani ni ubnafisi wa wana Moduli kwa sababu huwa wanaona ametekeleza ahadi zake huwa hawajali ufisadi wake na elimu ndogo kwa wamasai huwezi amini Preta kuna sehemu nilikuwa nasimamia wa masai walikuwa wana kuja wanasema wanataka mmasai mwezake ukimuuliza jina la chama hajui hata nembo hajui nilikutana na watu 3 wa namna hiyo sasa sijui huko Moduli ukijumlisha na ufisadi wa Lowasa....hao walioongeza kura ni masai wa Kenya....ambao hawajui habari zake
no no no
nimeishi monduli 6 years +
kama hujui kupiga kampeni ki lugha imekula kwako
pia vituo hewa vya porini, mti mmoja +++
tukubali matokeo
lowasa mubabe ameleta shule++ameleta maji++ ameweka lamii hureeeee!!!!!
Mi hapo ndio nyumbani kabisa, lakini jamaa hang'oleki kabisa.....! Ukitaka lowasa akufahamu we nenda katete kule...! Ukionekana kuwa na hoja za kishule hapo utakuwa adui mara moja...!no no no
nimeishi monduli 6 years +
kama hujui kupiga kampeni ki lugha imekula kwako
pia vituo hewa vya porini, mti mmoja +++
tukubali matokeo
lowasa mubabe ameleta shule++ameleta maji++ ameweka lamii hureeeee!!!!!