Lowassa lini utakuja Mbeya, Mwanza, Iringa, Moro, Songea, Moshi, Arusha, Mtwara?

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,834
16,691
UKAWA, na Lowassa, lini mnakuja mikoani..? Watu tuna kiu kuu ya kuwapa hongera ya kipekee. Mungu yuko nanyi. Yaani hadi Katavi, Uvinza, Kigoma yote, Manyara ndio usiseme, tunawasubiriii. Ni Gharikaaa...

Lowassa na UKAWA, semeni neno moja tu na roho zetu zitapona.

Uuh... Lowassa, very genius, magic, fantastic, bombastic, amazing, marvelous, wonderful, unbelievable, oh my godness, wow, what a move...!!!!
 
Teh teh teh teh yan kama nakuona unavoyatamka haya maneno kwa sauti na Magufuli
Uhh... Lowassa, very genius, magic, fantastic, bombastic, amazing, marvelous, wonderful, unbelievable, oh my godness... wow, what a move...!!!!
 
Aliyesema tunatesa kwa zamu hakukosea,wapinzani walikuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi leo wamegeuka na kumuona Lowassa kuwa ni mzalendo ambaye ana weza akawaondoa watanzania kwenye utumwa wa CCM.

Wakati wapinzani wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa ni fisadi,CCM nao walikuwa wanaimba wimbo wa kumsafisha Lowassa kuwa siyo fisadi.

Sasa kibao kimegeuka wale walio kuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi sasa wameanza kazi rasimi ya kumsafisha Lowassa,kali zaidi ni kwa wale waliokuwa wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa siyo fisadi watakapo panda majukwaani wataanzaje kusema Lowassa ni fisadi wakati walipokuwa naye kwenye chama chao hakuwa fisadi.

Kama Lowassa ni fisadi wao wanaponea wapi na ufisadi pamoja na chama chao?kama Lowassa ni fisadi walimchukulia hatua gani baada ya kuwaibia watanzania?kama CCM wanahuruma na watanzania ili kuwaje wakamuacha mwizi aendelee kutamba mitaani bila ya kumchukulia hatua yoyote wakati walikuwa wanamjua ni mwizi aliyewaibia watanzania?.
 
Miaka 50 ya uhuru hatuna maji ya kunywa,nyumba hovyo za nyasi na mifugo yetu imeibiwa na wengi walikufa na rift valley fever hivyo kama ndugu zako wa asili (Naiolitic).Ukiwa Rais kupitia ukawa usikose kuja Rorya mwanzoni tu ukiwa ofisini...kura hapa zote za kwako
 
Wilaya ya Ngara iko pembezoni mwa Tanzania na mara nyingi imekuwa ikisahaulika kwenye mambo mengi. Tafadhali sana tunakuomba uiweke Ngara kwenye ratiba yako wakati wa kusafiri kuelekea Ikulu. Tunakutakia safari njema na Oktoba si mbali.
 
Aliyesema tunatesa kwa zamu hakukosea,wapinzani walikuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi leo wamegeuka na kumuona Lowassa kuwa ni mzalendo ambaye ana weza akawaondoa watanzania kwenye utumwa wa CCM.

Wakati wapinzani wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa ni fisadi,CCM nao walikuwa wanaimba wimbo wa kumsafisha Lowassa kuwa siyo fisadi.

Sasa kibao kimegeuka wale walio kuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi sasa wameanza kazi rasimi ya kumsafisha Lowassa,kali zaidi ni kwa wale waliokuwa wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa siyo fisadi watakapo panda majukwaani wataanzaje kusema Lowassa ni fisadi wakati walipokuwa naye kwenye chama chao hakuwa fisadi.

Kama Lowassa ni fisadi wao wanaponea wapi na ufisadi pamoja na chama chao?kama Lowassa ni fisadi walimchukulia hatua gani baada ya kuwaibia watanzania?kama CCM wanahuruma na watanzania ili kuwaje wakamuacha mwizi aendelee kutamba mitaani bila ya kumchukulia hatua yoyote wakati walikuwa wanamjua ni mwizi aliyewaibia watanzania?.

Nimeshapost humu kwamba inawezekana mwizi alikuwa kwenye kichaka ambacho vyombo vya dola vilikuwa vikishindwa kumkamata sasa ametoka mwenyewe yuko hadharani tunaomba vyombo vya dola vichangamke sasa.
 
UKAWA, na Lowassa, lini mnakuja mikoani..? Watu tuna kiu kuu ya kuwapa hongera ya kipekee. Mungu yuko nanyi. Yaani hadi Katavi, Uvinza, Kigoma yote, Manyara ndio usiseme, tunawasubiriii. Ni Gharikaaa...

Lowassa na UKAWA, semeni neno moja tu na roho zetu zitapona.

Uuh... Lowassa, very genius, magic, fantastic, bombastic, amazing, marvelous, wonderful, unbelievable, oh my godness, wow, what a move...!!!!

Wakisha mtangaza mgombea wao wa urais,watatamweka kwenye ndege na watamzungusha nchi nzima so wewe kuwa na subira tu watafika tu huko
 
Nimeshapost humu kwamba inawezekana mwizi alikuwa kwenye kichaka ambacho vyombo vya dola vilikuwa vikishindwa kumkamata sasa ametoka mwenyewe yuko hadharani tunaomba vyombo vya dola vichangamke sasa.

Ni vyombo vya nchi gani hivyo vinavyoshindwa hata kutambua kichaka ambacho mwizi alikuwa amejificha?lakini Mimi ninaamini kuwa kichaka alicho kuwa amejificha mwizi ndicho kichaka kikuu cha wizi na endapo vyombo vya dola vingithubutu na kama vitathubutu kumkamata mwizi aliyejificha kichakani awe ametoka kichakani ni lazima ang'oke na kichaka.
 
UKAWA, na Lowassa, lini mnakuja mikoani..? Watu tuna kiu kuu ya kuwapa hongera ya kipekee. Mungu yuko nanyi. Yaani hadi Katavi, Uvinza, Kigoma yote, Manyara ndio usiseme, tunawasubiriii. Ni Gharikaaa...

Lowassa na UKAWA, semeni neno moja tu na roho zetu zitapona.

Uuh... Lowassa, very genius, magic, fantastic, bombastic, amazing, marvelous, wonderful, unbelievable, oh my godness, wow, what a move...!!!!

Soon soon Mkuu wala usijali...... Nchi inaanza kusimama
 
UKAWA & LOWASA sema baba..watz tunahamu ya kukuskia na ww ndyo tegemeo la watz..
 
Wilaya ya Ngara iko pembezoni mwa Tanzania na mara nyingi imekuwa ikisahaulika kwenye mambo mengi. Tafadhali sana tunakuomba uiweke Ngara kwenye ratiba yako wakati wa kusafiri kuelekea Ikulu. Tunakutakia safari njema na Oktoba si mbali.

Mkuu mwezi uliopita kwa mara ya kwanza nilibahatika kutembelea wilaya ya ngara na kubahatika kutembelea maneo yake mpaka kabanga..ni eneo potential, fertile land, condusive environment kwa kilimo. lakini cha ajabu wananchi wake ni masikini jambo ni eneo lenye rasilimali ya kutosha. sera za ccm zimeshindwa kabisa kuwakomboa watz katika dimbwi la umasikini. ccm imebakiwa na uongo,propaganda na sera kandamizi.
 
Aliyesema tunatesa kwa zamu hakukosea,wapinzani walikuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi leo wamegeuka na kumuona Lowassa kuwa ni mzalendo ambaye ana weza akawaondoa watanzania kwenye utumwa wa CCM.

Wakati wapinzani wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa ni fisadi,CCM nao walikuwa wanaimba wimbo wa kumsafisha Lowassa kuwa siyo fisadi.

Sasa kibao kimegeuka wale walio kuwa wanaimba wimbo wa Lowassa ni fisadi sasa wameanza kazi rasimi ya kumsafisha Lowassa,kali zaidi ni kwa wale waliokuwa wamekazana kuimba wimbo wa Lowassa siyo fisadi watakapo panda majukwaani wataanzaje kusema Lowassa ni fisadi wakati walipokuwa naye kwenye chama chao hakuwa fisadi.

Kama Lowassa ni fisadi wao wanaponea wapi na ufisadi pamoja na chama chao?kama Lowassa ni fisadi walimchukulia hatua gani baada ya kuwaibia watanzania?kama CCM wanahuruma na watanzania ili kuwaje wakamuacha mwizi aendelee kutamba mitaani bila ya kumchukulia hatua yoyote wakati walikuwa wanamjua ni mwizi aliyewaibia watanzania?.

kwani nyie chadema mliokuwa mnawaita mafisadi mliwachukulia hatua gani?
 
Mwee lowasa nena babaa wanamageuzi tupo nawe....UKAWA plus Lowasa kucheleeeeee...!
 
Back
Top Bottom