Lowassa kwenye sherehe za muungano!!!

Ajiuzulu aende wapi? Hiyo ilikuwa danganya toto ya Jakaya ili watu wasiandamane kudai adha ya ugumu wa maisha! Huoni ameishaanza kwa kujihami na kusema hatamuonea mtu, hana ubavu wa kumtosa Lowassa na hiyo unaiona live si huyo hapo kwenye sherehe nani kamualika?
 
Anakwenda kwenye sherehe kupima upepo...bado haamini kuwa mshikaji amemtosa mazima?bado anasubiria...naona anajipa moyo kuwa 2015 labda atakuwa yeye mtu mwisho kuingia uwanjani.......jamaa jasiri sana angeingia mtini kama BWM
 
Lowassa hajafanya lolote baya akiwa madarakani, tena alichapa kazi kama kifaru, na kawapigisha kazi wenzake, sio Pinda wa kulia akiona wagonjwa au albino, hamna ujasiri wa Mhe Lowassa.
msipumbazwe na kina sitta ambao wanaongea tu, miaka 4 sasa na wao hawana wanalolifanya kutuonyesha kuwa wanaipenda tanzania.
 
We notisi ya miezi 3 waliyopewa na mwenye nyumba kuhama bado haijaisha...mwache ajenge kataswira ka uzalendo mbele ya wadanganyika
 
Je hii inamaanisha hana mpango wa kujiuzulu hata kama chama kimenyooshea kidole?

We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.

CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.
 
Mlioko Zenji kwenye hizo sherehe za Muungano hamuwezi kurusha picha ya EL akisalimiana na viongozi wa kitaifa wa chama tawala?
Ama kweli JK hawezi kutambua kitu gani kiwachefuacho wa Tanzania; tutazidi kukichukia CCM kwa tabia ya 'kutuzuga' kila wakati.
 
Anakwenda kwenye sherehe kupima upepo...bado haamini kuwa mshikaji amemtosa mazima?bado anasubiria...naona anajipa moyo kuwa 2015 labda atakuwa yeye mtu mwisho kuingia uwanjani.......jamaa jasiri sana angeingia mtini kama BWM

Hivi nyie mnamjua Lowassa au mnamsikia ..huyu jamaa ana roho ya paka ...shauri zenu ...
 
We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.

CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.

We mbona mgumu wa moyo ,inamaana hata we unajifanya hujui kua Lowasa ni fisadi?
Unataka vikao vya rangi gani iliujue kinasemwa ndicho ?
 
We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.

CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.

abstract thinking!
 
Nakuunga mkono mkuu, mwisho wa siku tisini utakujaona na kusikia matamko ya ajabu sn, ccm siyo watu wa kawaida!
 
Hivi nyie mnamjua Lowassa au mnamsikia ..huyu jamaa ana roho ya paka ...shauri zenu ...

nakubaliana nawe,huyu jamaa anazijua fitna za kisiasa,kama ni kweli ccm wamemtosa ujue ataporomosha chama chote.
 
We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.

CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.

kwani MAKONGORO NYERERE (M/KITI-MARA CCM)ALIMUELEZA LIVE KIKWETE KWENYE MKUTANO WA NEC JUZI,WEWE ULIKUWA NCHI GANI?
 
Lowassa hajafanya lolote baya akiwa madarakani, tena alichapa kazi kama kifaru, na kawapigisha kazi wenzake, sio Pinda wa kulia akiona wagonjwa au albino, hamna ujasiri wa Mhe Lowassa.
msipumbazwe na kina sitta ambao wanaongea tu, miaka 4 sasa na wao hawana wanalolifanya kutuonyesha kuwa wanaipenda tanzania.

unamjua Lowasa vizuri?
 
Back
Top Bottom