Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,407
- 31,392
Ninaposikia watu wanasema amefanya mazuri huwa najiuliza kwanini asitumie hayo mazuri kujiuza badala ya kupita makanisani na misikitini katika harakati zake?
Pili, huyu bwana hata kama amefanya mazuri kiasi gani bado hama maadili ya kiroho 'moral authority' ya nafasi ya uongozi.
Akiwa anafahamu vema hasara taifa linayoipata alikaa kimya kwasababu tu ya kulida nafasi yake. Yani kwake uwaziri mkuu ni muhimu kuliko hasara tunaypoiona ikiwa ni pamoja na kumlinda RA. Nadhani Bil.100 ana mgao tayari.
Tatu, kwanini anaamini amezaliwa kuwa Rais wa nchi hii. Kama anaamini mamlaka ni tuzo kutoka kwa mola hana haija ya kuzunguka makanisani. Rais Mwinyi hakuwa amewaza kuwa Rais wa nchii hii hata siku moja,siku ilipofika kila jambo lilikwenda naturally.
Shein, na watu wengine walipewa nafasi bila kuzunguka katika mikusanyiko ya kidini.
Kwa kutumia dini tunapata 'moral authority number 2', kwamba lile jambo linaloweza kuligawa taifa EL anaona ni muafaka ili afikie kule aliko kusudia na si kule taifa lilipokusudia.
Ni mwanamikakati mzuri lakini nathubutu kusema kuwa siku akielekea ikulu wapo watakaoelekewa mwituni.
Huyu ni mtu asiye na maadili na hafai kuwa katika safu ya uongozi hata wa kata. Ni hatari na tumwangalie maana yupo tayari watanzania wauane ili mradi anaelekea magogoni.
ENL Hatufai, hana lolote la maana zaiidi ya kueneza chuki, kujenga mitandao ya kuuminza wapinzani wake, kutumia dini na fedha kughilibu umma. Huyu Hafaaiiiii hata kwa bahati mbaya.