Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

Mkuu Interpreneur, there you are!. You save the best for the last!.

Kwa msio amini, "Lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana".

Kwa vile sisi sote ni binadamu tuu, subirini mshuhudie jinsi "jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

All males are men, but not all men are males.
 
Muda sio mrefu tutaanza kumuona ktk vicheni party, send off, arusi na vipaimara..Kama hamtamuelewa pia atafkiria kuhudhuria kwenye bethdei, graduations na house parties. Kweli ataftaye hachoki na akichoka...... SIASA kweli ni utumwa
 
Lowassa hakuna alichokosa maishani mwake, anacho tafuta sasa ni kiti cha uraisi kwani ndicho kitakacho weza kumsaidia kulipiza kisasi kwa wabaya wake wa kisiasa! Walhah! . . . Lowassa akiukosa urais atakufa mapema sana!
 
Sitoshangaa migogoro ndani ya makanisa! Mtandao ulisambaratika licha ya kwamba ulikuwa umejengwa kwa takriban miaka 10, sembuse 'harambee' za miaka 4?
 
Kabla hajaenda ajiulize mara mia mia kwani wanaKyela sio wajinga pamoja na kwamba anataka kwenda kujisafisha kwa njia ya kanisa. Kitendo alichomfanyia binadamu mwenzie sio kizuri kisa madaraka. Halafu Mwakyembe hakufanya au kumtangaza ajiuzulu kama Mwakyembe, alifanya kazi ile kwa niaba ya serikali ambayo ndio watanzania wenyewe. Sasa iweje adhibiwe yeye badala ya kuwaadhibu watanzania kama anaweza.
 
Ni wafuasi wa lowassa wanajaribu kupima upepo humu JF baada ya kufanya jaribio la kumuua Mwakyembe.
Kama atakuwa ameshauriwa aende atakuwa amefanya jambo la maana sana, wanyakyusa tunamsubiri kwa hamu sana tumwoshe jinsi tulivyo. Na aje tu atatukuta na itakuwa ni vema sana maana hatujapa mahali pa kutolea hasira zetu juu yake na wachawi wenzie.
Njoo lowassa.
 
Kabla hajaenda ajiulize mara mia mia kwani wanaKyela sio wajinga pamoja na kwamba anataka kwenda kujisafisha kwa njia ya kanisa. Kitendo alichomfanyia binadamu mwenzie sio kizuri kisa madaraka. Halafu Mwakyembe hakufanya au kumtangaza ajiuzulu kama Mwakyembe, alifanya kazi ile kwa niaba ya serikali ambayo ndio watanzania wenyewe. Sasa iweje adhibiwe yeye badala ya kuwaadhibu watanzania kama anaweza.

Mkuu naona kama unahukumu vibaya.Hakuna ushahidi hadi sasa kwamba jamaa alimfanyia kitu kibaya Dr Mwakyembe,na hasa ukizingatia si yeye Mwakyembe ama serikali kwa maana ya vyombo vya dola ambavyo vimethibitisha hilo.Hivi ikitokea ripoti ya madaktari ikaonyesha kwamba ugonjwa wa Mwakyembe hauna uhusiano na sumu utaweka wapi sura yako?Jamani tuwe makini na conclusion zetu.Mkuu ungekuwa/ama kama wewe ni hakimu basi utakuwa umefunga jela watu wengi sana kwa hisia tu.
 
Kuntakint,
Unatufanya sisi wengine hatuna vichwa ila tumebandikwa nazi. Kwamba malalamiko aliyotoa mwakyembe polisi juu ya kutishiwa usalama wa maisha yake ilikuwa komedi. Na sasa jaribio la kumuua limefanyika kweli. Kama unafikiri hivyo, basi Lowassa na aje Kyela atatukuta. Kama anajiamini kiasi hicho na aje. Ila nakuhakikishia jambo moja tu kuwa atapata majibu ya uchungu wa wana-kyela atakapofika nyumbani kwetu. Tunaomba sana aje atatukuta.
 
Sori Kuntakint, nilikuwa namjibu Wabanmtata. Tuko pamoja mkuu kumtetea mpiganaji wetu.

Hatuhitaji utetezi wa kimahabamahaba ndugu yangu.Tunachohitaji ni ushahidi wa kweli kuonyesha kwamba Lowasa alimpa sumu Mwakyembe.Elewa tumemsihi sana Mwakyembe yeye mwenyewe aufahamishe umma juu ya ripoti ya ugonjwa wake hataki.Rafiki siwazuii kumpiga na mayai viza Lowasa akija kwenu kama mkitaka,lakini je mnauhakika kwamba mtakuwa mmemtendea haki?
 
Mwacheni jamani! Kwani na yeye si anatafuta kutangazwa kuwa mwenye heri hapo baadae!!
 
Wana JF, habari

Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika Dar lakini yeye EL akadai ni muhimu kuifanyia huko site. Habari ndoo hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Sina ubishi kwa hilo lakini sioni what is the issue behind
 
yeye ni mkristo mwaacheni afanye kazi ya Mungu maadamu ni mchana maana usiku waja atashindwa kuifanya
 
Wana JF, habari

Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika Dar lakini yeye EL akadai ni muhimu kuifanyia huko site. Habari ndoo hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Kyela ndio yatakua machinjio ya lowassa,havuki pale kiwira kuna sehemu inaitwa "airport" pale ndipo habari zake zitaishia na kurudi jina...
 
Wana JF, habari

Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika Dar lakini yeye EL akadai ni muhimu kuifanyia huko site. Habari ndoo hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Mimi hata sishangai labda lingekua kanisa lingine,maanake kanisa katoliki tz chini ya bwana pengo ndio kanisa katoliki weak kupita yote africa...hii inatokana na mashaka makubwa katika usafi wa kiongozi mkuu wa kanisa hilo hapa nchini,haijawahi kutokea hata mara moja kiongozi wa kanisa hilo toka tumepata uhuru kujihusisha na mihadarati mpaka hii majuzi,so hakuna ajabu kwa mafisadi kumtumia pengo na kanisa lake kupitisha mambo yao,ni sehemu yao ndio mana hakawii kuja na chaguo la mungu "wake" wa kishetani
 
Back
Top Bottom