Lowassa kuvuliwa cheo cha uzee wa ukoo

Binadamu wanasahau sana, wanaona dili kumvua hicho cheo kwa sababu ya ufisadi, wakumbuke kuna mambo mengi amefanya kwao.

Cheo chenyewe nafikiri hakina maslahi kwa mnyang'anywa kilikuwa na masilahi kwa watoaji.

kazi ipo! no hadhi no cheo.
 
Unafiki utaliangamiza taifa hili, watu wanaacha kuwa wakweli wanan'gan'gania majungu kwa kisingizio cha vita vya ufisadi, jamani sendeka alimfanyaje paseko kone ktk ubunge huko nyuma? Tunauanza mwaka kwa kuwaona watu wazima kama mengi wakifunga safari kushuhudia ugomvi usio na tija kwa umma wa tz zaidi ya kudharirisha vijana.

Inakuwaje hapa jamani, tuache upuuzi,
 
Unafiki utaliangamiza taifa hili, watu wanaacha kuwa wakweli wanan'gan'gania majungu kwa kisingizio cha vita vya ufisadi, jamani sendeka alimfanyaje paseko kone ktk ubunge huko nyuma? Tunauanza mwaka kwa kuwaona watu wazima kama mengi wakifunga safari kushuhudia ugomvi usio na tija kwa umma wa tz zaidi ya kudharirisha vijana.

Inakuwaje hapa jamani, tuache upuuzi,
 
Mbona mnamzushia mambo huyu bwana Mengi? Yeye ni Mchaga mambo ya kimasai yanamuhusu nini? Waacheni wamasai wapandishane mori wenyewe halaffu watayamaliza wenyewe.
 
(a) Kuwapa watu cheo cha Laigwanani ni tendo la kisiasa wala kiasili halipo. Lowassa siyo laigwanani wala nini! Ni kiongozi wa kimila "Alarikoni". Kuna tofauti ya ALARIKONI na ALAIGWANANI. Cheo hiki cha alarikoni anaweza kupewa mtu yeyote hata mzungu! Wako ma padri kibao wakizungu wamepewa hiki cheo Tanzania na Kenya ili mradi awe amekubalika miongoni mwa wamasai.

Tumeona kila kiongozi wa kitaifa akienda Masaini anavishwa nguo za kimasai anapewa rungu na kadhalika. Anthropologically speaking anapewa "heshima" ya kuwa miongoni mwa "distinguished elders" wa kimasai. Baada ya hapo maamuzi yake yote siyo binding. Mengi, Mkapa, Mwinyi, wote hawa wameshawahi kupewa heshima hii ya ALARIKONI Masaini ila hawana "authority" ya kuamua mila ziendeshwe vipi. They are ceremonial figures. Ndivyo alivyo Lowassa.



(b) Kumvua au kutokumvua Lowassa hiki cheo ni swala la kisiasa tu ambalo nalo halina substance. Litaishia kwenye magazeti tu. Yeye mwenyewe anajua kuwa hana authority na mambo ya mila. Zaidi ya (kufadhili) kuitisha kikao cha wazee kuwapa nafasi wajadiliane, hawezi kutangaza uamuzi wowote utakao wa "bind" Wamasai. Wapinzani wa Lowassa pia wanajua kuwa "power" yake haitokani na huu uongozi wa kimila alionao. Hii ni nyongeza ndogo sana it is "negligible". Ushawishi wake unatokana na pesa na mgawanyiko miongoni mwa Wamasai wenyewe. Kumuondolewa hiki cheo does not solve any problem. Then why go for trivial things?


(c) Sendeka na Millya watatue matatizo yao (yahusuyo madaraka) without necessarily looking for a scapegoat. Hili la kumvuta vuta Lowassa is good only for the fade-minded. Lowassa aachwe akabiliane na madhambi yake mengine makubwa yanayowagusa watanzania wengi zaidi. Any article in a newspaper about Lowassa na huu ugomvi "kama wa mtu na mkewe" (Chiligati) is good only to tell us the type of a newsman behind it. Hata hivyo unaweza kuwasahaulisha watu (walau kwa muda fulani) mambo ya Richmond na kadhalika. You never know who is behind it!


(d) Kwamba Lowassa alipaswa kuamua ugomvi kati ya Millya na Sendeka ni hadithi za paka na panya. Uamuzi wa kwenda au kutokwenda mahakamani bado ungekuwa juu ya Millya na ndivyo alivyofanya hata baada ya kufuatwa na Malaigwanani huko Simanjiro. Hapa dawa ni moja tu: Sheria iachwe ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom