Lowassa kutikisa arusha tar. 15

Sipati picha huko A town kutakuwaje. tafuteni kiwanza kikubwa maana uwanja wa mpira hamtaruhusiwa na ho jamaa
 
Moto Anaushashia Mbeya Tarehe 14 Sasa Ukiwashwa Hapo Ni Mojakwamoja Mpaka Ikulu
 
Hiyo siyo ya kukosa ndani ya Arusha maana ndio kimbunga kitazoa kila kitu
 
nitaenda naye kanda ya ziwa kuifuta ccm mjini na vijijini ya leo ni noma kwa wanadarasalama.
 
Back
Top Bottom