Elections 2010 Lowassa kupewa wadhifa katika serikali mpya ya Kikwete

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Tetesi hizi zinajengwa na hoja kuwa CCM wanasisitiza kuwa watapata ushindi wao kwa zaidi ya asilimia 80. Ushindi huu lazima upatikane kwa haki au hira kwa maana ndio utakaowawezesha kuunda serikali yenye nguvu ambayo wapinzani watakuwa kama wapiga kelele kwa maana watakuwa ni minority katika bunge. Pia kama bunge litamilikiwa na CCM kwa asilimia zaidi ya 80 uwezekano wa Lowassa kupewa nafasi ya Uspika ni mkubwa, hapo ndipo wabaya wake watamkoma, safari ya kujisafisha kwa ajili ya kuelekea kugombea urais 2015 itaanza na vyombo vya habari vyote vitanunuliwa na kutanzanza sifa na matendo 'makuu' ya CCM na uwezo wa utendaji wa Lowassa. Katika tetesi hizi, inasemekana kesi za kina mramba zitatuppwa kwa kukosa ushahidi wenye nguvu, na mramba atarudi kwenye baraza.

yetu macho na masikio, ili haya yasitokee, wale wote wapenda maendeleo ya nchi waipatie chadema na dokta Slaa kura nyingi za ushindi.
 
Kikwete hawezi kuwa Rais.
 
Hivi Uspika anapewa enh!!!!
 
Lowasa atakuwa waziri mkuu tena!! Hapo ndo tutakapochoka nao, kama siyo uspika wa bunge patawaka moto safari hii.
 
Sidhani kama Dr. Slaa atampa lowasa cheo, labda nyapara wa gereza
 
atapewa na wapunge wa CCM (kumbuka wameshasema watashinda kwa silimia zaidi ya 80) kama kawaida yao wabunge wa CCm watawekwa chema na kutoka na uamuzi wa pamoja
Kwahiyo na Sitta alipewa kihivyo mbele ya Msekwa enh! Tuache uzushi jamani. Uspika ni kugombania kweli kweli. Km anaweza kuwashawishi watampa ila atapambana na wagombea wengine.
 
Ndo nakwambia mwaka huu atapewa lowassa maana malengo yao lazima yatimizwe. kama walifanya makosa kumpatia six uspika mwaka 2005, mwaka huu hawafanyi makosa.
 
Obviously.

Elitrea wanapata mrahaba wa 40% kwenye madini, Tanzania 3%.

Bado kuna mtu anakuja eti ananiambia "Chagua Kikwete"

***nge nini??

afadhari tumeanza kuelewana. kuondoka kwa kikwete na mafisadi wake ni kwa kupiga kura nyingi za ndio kwa Slaa ili hata wakiiba namna gani washindwe kuzifikia kura zake. twendeni tukapige kura kesho!
 
Back
Top Bottom