lowassa kupanda jukwaani kesho-atakuwa kikatiti

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba baada ya hali kuwa mbaya kwa ccm huko arumeru aliyekuwa waziri mkuu ndg. Edward lowassa atapanda jukwaani live huko maeneo ya kikatiti kesho.
Pia kuna taarifa za uwepo wa katibu mwenezi wa ccm kuanzia kesho.
Tusubiri updates zaidi.

Nawasilisha...
 
hizi tetesi zimezagaa arusha nzima.bado sijapata comfirmation.ukweli utadhihirika soon.
 
taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba baada ya hali kuwa mbaya kwa ccm huko arumeru aliyekuwa waziri mkuu ndg. Edward lowassa atapanda jukwaani live huko maeneo ya kikatiti kesho.
Pia kuna taarifa za uwepo wa katibu mwenezi wa ccm kuanzia kesho.
Tusubiri updates zaidi.

Nawasilisha...

Hata mimi nimezipata hizo kuwa atakuwa katiti na maji ya chai.
Mytake:wacha wote waje ili aibu iwe ya wote,wasije leta visingizio.
 
nadhani baada yakutembeza mlungula anataka kuonyesha yeye ndio chanzo cha mafanikio.hajui kama wameru wameshaamua na hasira yao kubwa ni maji kwenda monduli wakati chanzo chake ni meru.
 
mmh, ukiwa na ujasiri wa aina hii katika kuleta maendeleo, 2days tu, Manzese panakuwa New York.
 
kuna wakati tunajifanya hatuhofii kivuli cha lowassa baadaye tunajawa hofu baadaye tena tunamuona ni fisadi kachafuka hasafishiki.
 
So......................
taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba baada ya hali kuwa mbaya kwa ccm huko arumeru aliyekuwa waziri mkuu ndg. Edward lowassa atapanda jukwaani live huko maeneo ya kikatiti kesho.
Pia kuna taarifa za uwepo wa katibu mwenezi wa ccm kuanzia kesho.
Tusubiri updates zaidi.

Nawasilisha...
 
Bora uje mwokozi wetu na kipenzi cha wengi Tz.lowasa waaa wanaweka wanatoa ushindi unakujaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom