Lowassa Kumrithi Chenge & Baraza la Mawaziri Kupanguliwa Tena?

Status
Not open for further replies.
Lakini waaungwan mimi linalonishangaza sana kwa hii nchiyetu huyo ambae anateuliwa kuziba nafasiya Mbadhirifu huwa anatoa sifa nyingi sana za mtangulizi wake na mpaka kufikia kua ahidi kufuata nyayo zake Jee hii si tunatobolewa macho tu nyinyi si munataka kubalishiwa JINA tu? Lakini kwa hakika utenaji ndio uleule,
Au kama muungwana alishasema alikuwa anasubiri barua ya chenge ya kujiuzulu baada ya kuipata akamsifu akasema kafanya jambo la busara sana Jee kama chenge asingrtaka kujiuzulu si ndio imetoka hiyo? kwani jk hanahistotia ya kumuwajibisha mtu yoyote hikweli mpaka mtu aombe mwenyewe? na kwanini hao wanao omba kujiuzulu hawaombi pia kujiuzulu uwanachama?au hii kashfa ni ya serikali tu nahaihusiani na ccm? ahh hii nchi kwahakika inaumiza mvutu tutatoa ngonjera kampaka asubuhi hapa
 
mawaziri gani wanajua nchi hii vizuri!!! eti waziri anasimama nawaambia wananchi kuwa taifa letu ni maskini lakini si kweli,mbona chenge,na wausika wa epa bado wanapeta mtaani....,mimi ni ccm damu lakini mwaka huu ni waibu kweli kweli,tuwakamate wale wote ndio tunaweza kusafisha chama chetu.

..lugiko,

..hiko chama chenu hakisafishiki tena,si kwa huu uchafu!

..kilichobaki mkivunje,mgawane mtaji,kila kundi lianzishe chake,likajiuze kwa wananchi!

..mkifanya hivi mtaitendea haki sana tanzania!
 
Lakini waaungwan mimi linalonishangaza sana kwa hii nchiyetu huyo ambae anateuliwa kuziba nafasiya Mbadhirifu huwa anatoa sifa nyingi sana za mtangulizi wake na mpaka kufikia kua ahidi kufuata nyayo zake Jee hii si tunatobolewa macho tu nyinyi si munataka kubalishiwa JINA tu? Lakini kwa hakika utenaji ndio uleule,
Au kama muungwana alishasema alikuwa anasubiri barua ya chenge ya kujiuzulu baada ya kuipata akamsifu akasema kafanya jambo la busara sana Jee kama chenge asingrtaka kujiuzulu si ndio imetoka hiyo? kwani jk hanahistotia ya kumuwajibisha mtu yoyote hikweli mpaka mtu aombe mwenyewe? na kwanini hao wanao omba kujiuzulu hawaombi pia kujiuzulu uwanachama?au hii kashfa ni ya serikali tu nahaihusiani na ccm? ahh hii nchi kwahakika inaumiza mvutu tutatoa ngonjera kampaka asubuhi hapa

Ni timu moja kwa hiyo lazima wapeane hi5 kabla ya kubadilishana jezi.
 
6421.JPG

Mtu na mrithi wake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom