LOWASSA kukosa mkutano wa kesho Jagwani 8.06.2012

Rais mtarajiwa hawezi kushiriki mkutano wa kizushi huo. Mkutano huo umeandaliwa rasmi ili kujipima nguvu na ule wa m4c.
 
"Rais ajaye hawezi kutoka Kaskazini"......"Rais ajaye lazima atoke kanda ya kaskazini,la sivyo patachimbika-"
Ukitafakari kwa kina sana utajua haapa ndipo mpasuko mkubwa zaidi utatokea kama wakikosa mgombea toka huko juu kama upinzani ama CCM!wako tayari CDM ku support CCM endapo mgombea atatoka Kanda yao!!Vipi Kanda ya ziwa?hawajatoa tamko bado wataunga mkono kanda ipi?tunapoelekea si kuzuri hata,hapo bado Zanzibar nao watakuja na demand zao!!kazi ipo tena kubwa sana JK utalijua zahama la nchi.
 
Kimbunga Nape alikwenda na Mkapa kufunga kampeni na Lowasa siku hiyo alikuwepo, Nape akaongea kauli za kujikosha kwa Lowasa, inshort Nape ni sisimizi tu kwa Lowasa.

[h=3]MKAPA ATUA ARUMERU KUFUNGA KAMPENI ZA CCM[/h]
[h=3][/h]
Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

...sasa hapa EL mbona hayupo?..au ulikuwa una maana gani!
 
Last edited by a moderator:
tanesco wakitaka wavuliwe magamba wakate umeme. hahahaaaa...hii nchi bana!. chadema tanesco wanatukatia umeme lakini ccm umeme unakuwepo mwanzo mwisho.
Kwani ata umeme ukiwepo nani mwenye mda wa kukaa kuangalia upuuzi mkuu...fanya tathmini yako leo uone ni watu wangapi watafatilia huu mkutano kwenye maTV
 
LOWASA is too busy making money. si mnamjua vizuri alivyo bepari

nafikiri kaona mkutano umekaa kimajungu mno ndo maana kaamua kuupotezea
 
tanesco wakitaka wavuliwe magamba wakate umeme. hahahaaaa...hii nchi bana!. chadema tanesco wanatukatia umeme lakini ccm umeme unakuwepo mwanzo mwisho.

Mkuu dubu mbona leo wamekata! Huko ninakoishi jioni ile walikata umeme wakati mkutano wa CCM unaendelea jangwani. Saa mbili wamekata tena! Habari za mkutano nimeziona JF tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom