Lowassa kufanya Igizo la Kupokea Kadi bandia za CHADEMA leo, Kikatiti

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mkwe wa mgombea wa CCM, Fredi Lowassa anatarajiwa kupanda jukwaani Arumeru leo kumnadi mkwe wake Sioi Summari.

Baba mkwe huyu amekuwa nguzo kuu kuhakikisha mkwe wake huyo aliempigania kupita ndani ya chama chake kwa kila hali...njia halali na haramu, anatarajiwa kutokea jukwaani leo kama taarifa zilizopo hazitabadilika, kwa mara ya kwanza tangia arudi toka nje ya nchi kutibiwa macho na kuahidi yuko fiti kwa mapambano.

Zaidi ya kadi 200 zimeshachapishwa kwa ajili ya kufanya igizo kwamba kuna wanachadema wamerudisha kadi hizo!!
 
Amebobea kwenye maigizo na sinema.
Sijui kwa nini asiombe colabo na Densel Washngton.

Ila director wake sio mzuri sababu huwa inaonekana igizo kabisa
tangu anapokelea ripoti chini ya mti nilimtoa maananai kabisa.
Kitoto na fake mno.

Hivi anaweza chapisha kadi za chama pinzani bila ridhaa yao??
Hazina za vyama si zina namba, kwa nini hao ambao kadi zao zitafojiwa wasichukue hatua za kisheria?
 
ha ha ha ha Kamata Mwizi huyo huyo huyo asiachiwe afanye usanii huo na wananchi waelezwe kuwa hllo changa la macho
 
Amebobea kwenye maigizo na sinema.
Sijui kwa nini asiombe colabo na Densel Washngton.

Ila director wake sio mzuri sababu huwa inaonekana igizo kabisa
tangu anapokelea ripoti chini ya mti nilimtoa maananai kabisa.
Kitoto na fake mno.

Hivi anaweza chapisha kadi za chama pinzani bila ridhaa yao??
Hazina za vyama si zina namba, kwa nini hao ambao kadi zao zitafojiwa wasichukue hatua za kisheria?

Mkuu wangu wangu kuchapisha kadi ya chama si ni kama kuchapisha kadi ya harusi tu? namba hazina umuhimu kwa sababu kinachofanyika ni maigizo tu ili mtu aione cover ya kadi wala hawana sababu ya kujuwa kama ni fake au lah! amka ndugu yangu.
 
wakati huo huo kuna coast zimepita hapa usa zikitokea monduli na zimejana watu walio valia jezi za magamba
 
unamwongelea mkwe gani sasa ? fredy ni mtoto wa lowassa sasa sijui unataka kusemaje Edward lowassa ama ? inaelekea hujui unachosema . wacha kupanda na kuvuta ganja mkuu . itakufanya uwe njichaa mazima.

:mvutaji:
 
Mkwe wa mgombea wa CCM, Fredi Lowassa anatarajiwa kupanda jukwaani Arumeru leo kumnadi mkwe wake Sioi Summari.

Baba mkwe huyu amekuwa nguzo kuu kuhakikisha mkwe wake huyo aliempigania kupita ndani ya chama chake kwa kila hali...njia halali na haramu, anatarajiwa kutokea jukwaani leo kama taarifa zilizopo hazitabadilika, kwa mara ya kwanza tangia arudi toka nje ya nchi kutibiwa macho na kuahidi yuko fiti kwa mapambano.

Zaidi ya kadi 200 zimeshachapishwa kwa ajili ya kufanya igizo kwamba kuna wanachadema wamerudisha kadi hizo!!

Mkuu, Fred Lowasa sio mkwe wa Siyoi, ni shemeji yake. Mkwe wa Siyoi ni EL. Thanks kwa taarifa lakini.
 
Back
Top Bottom