October
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 2,145
- 92
Wadau, Kama Lowasa ni fisadi au sio Fisadi It is Immaterial kwa sababu tuhuma alizonazo hazijathibitika.
Nimefurahishwa sana kwa courage yake ya kuanzisha TV Arusha, Najua wengi mtasema mengi kuhusu lengo na nia yake ya kufanya hivyo ila the bottom line ni kwamba ameanzisha kitu ambacho kita provide ajira kwa watanzanian, kitasaidia kuchangia katika uchumi wa Tanzania. ..Kwa hilo namsifu sana sana na namuunga mkono mia kwa mia. Kwa mtizamo wangu ni afadhali fisadi anaeanzisha projects zitakazowapatia Watanzania Ajira kuliko Fisadi anaeenda kulundika hela zake Nje.
Mimi naiona hii kama creativity ha hali ya juu na entrepreneurial attitude ambayo ni muhimu kwa taifa hili.
Ningekua rais wa nchi hii, ningetafuta legal avenue kutoa incentives kwa watuhumiwa wa ufisadi watakaoanzisha viable projects zao hapa nchini wapewe ahueni fulani katika kesi zao, hata ikibidi kuwasamehe ningefanya hivyo kwa wale watakaoonyesha sincerely kuwa wameanzisha project za maana na hawafichi fedha nje ya nchi.
Nomba mnielewe nikisema hivi sihalalishi Ufisali La Hasha ila naangalia tu faida na hasara katika uchumi wetu (multiplier effect). Kwa sasa kama ni wizi tayari umefanyika na fedha zimehamishwa ziko nje ya nchi, Hakuna Faida yeyote tunayopata kama nchi kutokana na pesa iliyofichwa Swiss. Kwanini tusitoe Incentive kwa hawa jamaa kuja Ku Invest hapa Tanzania na kusaidia kukuza Uchumi? Money is Money it does not matter whether it was obtained through alleged Ufisadi or Not, the best way forward is to make the most out of the situation
Hongera Lowasa Niko pamoja na wewe, Nawakaribisha na wengine kuiga mfano wake.
Mungu Ibariki Tanzania.