Lowassa katoa wapi milioni 60?

Mimi Nina doubt kama hizi ni pesa zake Binafsi. Hizi zitakuwa zinatoka kwenye mfuko wa serikali maalum kwa shughuli za ukarimu. Jamaa huwa wakalimu sana kwa kutumia pesa za Umma, inapokuja pesa za mfukoni kwao, huwa inakuwa ngumu! Inabidi wanapochanga wawe wanatoa maelezo juu ya pesa hizo kama ni za umma au zao binafsi!
 
Apart from MR EL kuwa waziri, what business is he running? What investment does he operate? 50,000USD is alot of money in developing countries kwa any body who income depends on politics for many years. This guy is corrupted, and now he is frustrated.

I guess he think this will change Tanzanian minds concern his corrupted life
 
Kokote alikotoa Je, kodi ililipwa kwa hiyo millioni 60? Bi Asha uko wapi nakumbuka nilikuuliza swala hili lakini unajua tena kazi zimekuzidi hapo kwa mshkaji wako. Teh teh Teh .............
 
huyu jamaa pesa alishaiba siku nyingi sana akiwa idara ya maafa ofisi ya waziri mkuu.
Mwalimu alilijua hilo ndio maana akaamua kumpa ben nafasi ya kuwa raisi badala yake
 
Kwakweli kuna watu wanahuruma kiasi kwamba kama tungepata watu wa jinsi hii kama kumi hivi ilikuwa tosha wakaunda hata baraza la mawaziri tukaweza kupata maendeleo kuliko kundi hili la wasiokuwa waaminifu. Hata hivyo kama wazalendo halisi lengo letu liwe ni kuhakikisha 2010 hawapati nafasi kirahisi namna hiyo.

Lengo la Mwema ilikuwa ni kuziba mwanya wa kipato kati ya polisi wa ngazi za juu na wale wa chini. Lengo ni kuboresha utendaji, kwani tumesiia mara kadhaa jamaa wakiwasaidia majambazi kutoroka, kwa hiyo kama wao watalipwa vyema basi angalau hali itatulia.
 
CE4jgsGWYAAWcJI.jpg


Januari 1964:1.Barua ya Ndugu Kawawa kuomba msaada wa Uingereza, 2.Maelekezo ya Ndugu Oscar Kambona kwa Mkuu wa Jeshi
 
Back
Top Bottom