Lowassa kalonga saa mbili leo hii TBC1 Habari

lowasa atakua raisi ya nchi hii kama mungu atamuweka hai hadi mwaka 2015. no one can stop him to be a president. mm namshauri kikwete atulie asijaribu tena kumshuighulikia he is un-stopable .
lowasa go aheard. usiogope mtu jipange wapuuze wanaokurudisha nyuma.
GOD BLESS LOWASSA.
 
Lowasa yeye ni tingatinga yoyote atakaye mzingua kwasasa atachongwa nyie subirini muone na anajua kucheza tamthilia vizuri amesema lazima kuwe na maamuzi magumu ,haya nape mtimue basi
 
Hivi who is Lowasa? Ndo maana wanatuita wendawazimu! Ktk population ya watu milion 40, vilaza hatujaona mtu mwengine zaidi ya this old hole of shit kutuongoza, wajameni why are we politically horny like a camel's knee?

Mkulu

Tulia utafakari na kujiuliza hilo swali , then utapata jibu.

Jibu lake siyo jepesi kama unavyofikiria.

its ony GOD who can intervene............????!!!!
 
Hilo ndilo jibu sahihi, kama wewe Faizafoxy ulikuwa hujui inaonekana na wewe ni miongoni mwa watu wasiokuwa makini hapa tanzania!!!!
UNANIPA WASIWASI...

Wewe ni mgeni humu JF? FaizaFoxy aka FF anakuchanganya? Tafuta comments zake, soma na kisha rudi tuendelee kujaidili mada.
 
Hlo gamba si liondoke tu! Kwan limepoteza mvuto ktk maskio ya wengi kama vp nipen gun......(!)
 
Lowassa tunamuhitaji sana, ametufanyia mengi, anayebisha afanye research kidogo Monduli atapata majibu. Watu wamekuwa wakizusha mengi kwamba anamali za ajabu. Lowassa hana mali za ajabu kulinganisha na wengine, watu ni wazushi sana.
 
kama tuko serious na nchi yetu tunatakiwa kufikiria beyond lowassa and his team kuhusiana na uongozi wa nchi hii. hawatufai hata kidogo
 
Lowassa tunamuhitaji sana, ametufanyia mengi, anayebisha afanye research kidogo Monduli atapata majibu. Watu wamekuwa wakizusha mengi kwamba anamali za ajabu. Lowassa hana mali za ajabu kulinganisha na wengine, watu ni wazushi sana.
aisee Minja,.. shimbon shafo..kina nani tena hao babangu wana mali kumshinda Lowasa..
 
lowasa atakua raisi ya nchi hii kama mungu atamuweka hai hadi mwaka 2015. no one can stop him to be a president. mm namshauri kikwete atulie asijaribu tena kumshuighulikia he is un-stopable .lowasa go aheard. usiogope mtu jipange wapuuze wanaokurudisha nyuma.GOD BLESS LOWASSA.
LOWASA umkumbuke uyu kwenye ufalme wako..
 
anataka kujisafisha kwa kutumia mkojo wake

teh teh teh asante aliyeleta jamii forum ni glet sinker wa ukweli maana nina so na bosi wangu karibu nifukuzwe lakini jamvi linaniburudisha mpaka nasahau so
 
1.JPG
 
Back
Top Bottom