Lowassa is back!

With due respect, Lowassa ndo anaishia hivyo. Kama ye kidume mbona alikacha bunge Dodoma akadai anaenda kutibiwa macho Ujerumani? Uswahiba na Muungwana haupo tena na ndiyo maana alimtosa kwenye hiyo send-off.

Kwa Watz wa sasa anaweza kupopolewa mawe na wananchi wenye hasira akicheza
 
FMES
Umenena kweli
ila onething ni kwamba nchi ipo mahali pabaya sasa kwani huyu jamaa inaonesha amekaba kila kona ili apete kuelekea urais 2015. Ana kipaji cha kuongea (hata kama hajui anaongea nini) na anajua kushawishi kutumia nguvu za pembeni.

Udhaifu mwingine wa serikali yetu ni kwamba wakati anajifunza na kuanza kuiba kupitia wizara ya Nyumba (mid 1990s) angeshakuwa screened na kukamatwa mkia. Ila wakamuacha tu akiiba na kuchoma ofisi zake (accidentally) kupoteza ushahidi. Halafu leo ndo wanastuka, kama si uzembe ni nini hasa?

Dawa ya huyu jamaa ni kumtungia kitabu na kukigawa bure mashuleni (wapigakura wa 2015) ili akija kwenye madhabahu kuomba kura akutane na maswali magumu akimbie
 
Lowasa dahh...
Utadhani siyo mwizi yule...
Yaani naye anatembea na kifimbo kama cha nyerere....
Anatia aibu
sasa hapa anamtia aibu nani?jamii iliyomzunguka hapo haioni aibu alafu wewe ndio utiwe aibu?Huyu jamaa huwezi ukawaambia chochote wapiga kura wake sababu alishaandaa unga wa kuwalisha,sanasana utajeruhiwa na hizo mtu za umasaini wee yaache kama unanavyo yaona!!!
 
Right on time, with right place to begin with. Taratibu atarudi on top na wadanganyika tutamchagua kwa kuwa kwenye report ya Mh. Mwakyembe akuytajwa moja kwa moja kuhusika na RD
Let him be where he deserves to be bana!!
 
Coming back? Kutoka wapi? Huyo ni mbunge wa Monduli na yuko kwenye kazi za kibunge. Ole wenu mumpeleke mahakamani. Itakuwa bonge la blunder maana hapo ndiyo he will come back a la Zuma. Yangu macho
 
Lowasa dahh...
Utadhani siyo mwizi yule...
Yaani naye anatembea na kifimbo kama cha nyerere....
Anatia aibu

acha dhambi wewe,ulimuona akiiba!!!! asilimia 70 ya Watanzania ndio kama wewe sasa.........
 
Heshima mbele wadau na kheri ya mwaka mpya.

It still fascinates me today how Lowassa remains to be the center of attention in the country, even after two years of absence in the government.

Kinachotusumbua, tulimuonea, plain and simple. Wametumwa watu wzunguke nchi mzima na media ya ndugu yetu mzee mengi inatumika at all costs kumtumia dis-credit jamaa, lakini whenever he appears, people are moved, because they know deep down in their hearts what he fought for wakati anahangaika na maziara vijijini kuzunguka nchi nzima, lugha za sisi wa kwenye vijiwe vya mjini ni vigumu kwa mtanzania wa ukweli kuelewa.

Hizi picha zilifuatana na ile thread iliyosema Lowassa yupo ICU Lugalo, na wengine wakashangilia humu ndani, badala ya kusifia mtu anatimiza wajibu wake kama Mbunge wa Monduli, wachache hapa wanabeza, na kinachowasumbua ni nini?? Wale waliowatuma wanaogopa madhambi yao, mwisho wa siku yote ni mipango ya Mungu, tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja, LOWASSA aluta continua.

.. Kinaowauma, wasage chupa, wanywe.

Nilishwahi kusema huko nyuma, nipo tayari tutengeneze jedwali la mafanikio ya Lowassa nchi nzima na hawa wanasiasa wengine hawa (mnawajua), ndiyo tutaelewa nini kinawasumbua. Huwezi kumnyang'anya alichopigania kwa nchi yake, yeye yupo nje ya serikali, na nyie watumikieni wananchi basi, lakini ndiyo hao hao wanashinda hapa JF kutafuta maneno ya kumtukana Lowassa na wanajiita wazalendo, SHAME ON YOU.
 
EL anahaki ya kuhamasisha maendeleo katika jimbo lake kwa watu waliomchagua. Na kwa wale ambao hawamfahamu EL ana-influence kubwa jimboni mwake kwa sababu ya meandeleo ambayo amewaletea watu wake (maji, majosho, mabwawa, mashine za kusaga na kukoboa, mikopo kwa akina mama na vijana, etc). ukitaka maiti yako isionekane uende katika ya mkutano wa wakazi wa Monduli umkashifu EL, nadhani afadhali simba wangekukamata maana wangeacha angalau unyayo na kiatu. Ana jina sana!!!! and he will really be back and with speed and accuracy.
 
Huyu bwana yuko very strategic kajijenga mno humo kwa watu wake na chama chake
tungoje atatoka na style gani maanake kazi ndo hiyo imeanza kuitafuta turufu ya oktoba
 
Duuuuuu!
Here I have to admit that 'Knowledge will forever govern ignorance', Ukiangalia kundi la watu Mr. Lowasa analolihubiri, limejaa wajinga watupu. Uwezo wa watu hao kutambua na kuchambua mambo ni mdogo sana. Wao wanajua Lowasa ni Kiongozi wao hata kama kaoza wao kwao ni Kiongozi tu. Mpaka watu hao (Watanzania) watakapofuta ujinga ndipo watakapokuwa na uwezo wa kuwakataa viongozi wabovu, wabinafsi na wenye tamaa ya kuongoza kama huyo Lowassa
 
Mkuu Fugwe,

sio sahihi kusema kuwa hilo kundi limejaa wajinga watupu... au mkuu umeangalia mavazi?

Mimi naona hilo kundi ni la watu waliojaa matumaini na wanaomfuraia kiongozi wao. Ninavyofahamu, wabunge wachache sana wanazunguka kwenye majimbo yao kuhamasisha maendeleo kama anavyofanya EL.
 
Huyu jamaa ashukuru sana Mwalimu hatunaye maana angekuwepo Mwalimu huyu jamaa baada ya Richmond nadhani angepotea kabisaa kwenye ulingo wa SIHASA

Acha chuki binafsi, kama una ushahidi watuhuma yoyote peleka kwa wanaohusika afikishwe mahakamani.

Kama huna acha kuandika hovyo maana maneno matupu hayasaidii kitu.
 
Duuuuuu!
Here I have to admit that 'Knowledge will forever govern ignorance', Ukiangalia kundi la watu Mr. Lowasa analolihubiri, limejaa wajinga watupu. Uwezo wa watu hao kutambua na kuchambua mambo ni mdogo sana. Wao wanajua Lowasa ni Kiongozi wao hata kama kaoza wao kwao ni Kiongozi tu. Mpaka watu hao (Watanzania) watakapofuta ujinga ndipo watakapokuwa na uwezo wa kuwakataa viongozi wabovu, wabinafsi na wenye tamaa ya kuongoza kama huyo Lowassa

Hayo ni mawazo yako binafsi na ni kama matusi kwa hao wananchi.
Tembelea jimbo la Lowasa uone maendeleo na usikie kutoka kwa wananchi ndio utapata akili.
 
Mheshimiwa E Lowassa alipoamua kujiuzulu/kususa wadhifa wa uwaziri mkuu hakufanya hivyo kwa kuwa aliamini anatimiza wajibu wake kwa moyo mkunjufu baada ya kushindwa kuwatumikia watanzania kwa uadilifu,bali aliamua kulalamika eti ameonewa sana.

Uongozi kwa nchi maskini kama Tanzania ni mzigo mkubwa ambao kwa viongozi makini,waadilifu,na wanaochukulia uongozi kama dhamani hawautafuti kwa udi na uvumba.Kasi ya mheshimiwa Lowassa kutaka kurejea kwenye ulingo wa siasa inamuonyesha jinsi anavyouchukulia uongozi kama sehemu ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake na wapambe wanaomzunguka.

Kosa kubwa ambalo watanzania tunaweza kuja kulijutia siku za usoni ni kuruhusu wanasiasa aina ya Lowassa ambao tayari vipomo vyote vya ufisadi vimwabainisha kurejea tena kileleni au kushika hatamu za uongozi.Tukikubali tujue hawataishia tupandia viongozi wabovu bali tutakuwa tumetoa kibali wenyewe wafanye watakalo na pengine muda si mrefu tunaweza kushuhudia siasa za kimafia zikirindiama Tanzania.

Wanasiasa aina ya Ngoyai wanapenda sana kutumia udhaifu wa wananchi wa kawaida kama mtaji wa siasa kwamba wanapendwa lakini wanasahau kitu kimoja uongozi ni dhamana tu hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa tena haramu.Mkuu FMEs kabainisha wazi jinsi Lowassa alivyona nguvu ndani ya CCM {NEC na CC} hebu tujiulize nguvu alizonazo zinatokana na nini ?.Mtazamo wangu bila shaka nguvu za Lowassa zinatoka na fedha na genge kubwa la wahuni walitumia njia chafu kupata uongozi.

 
Ngongo, acheni kutumika vibaya.

Hapo umeongelea nguvu kubwa anayotumia kurudi kwenye madaraka, tunachokiona popote pale ni harakati zake za kugombea jimbo la monduli, ni dhambi gani hiyo?? Uroho gani huo?? Wangapi wanaenda majimboni mwaka huu wa uchaguzi nchi nzima?? Lowassa pekee ndiyo mroho wa madaraka?? Kivuli chake kinatusumbua, leo hata akienda kugombea ujumbe wa nyumba kumi kumi, watu watashtuka na watasema ni harakati za urais. Na kwani akitaka Urais ni dhambi? Demokrasia yetu imekomaa kuanzia kwenye vyama na wananchi kwa ujumla, tuiache ifanye kazi yake. ITS TOO MUCH SASA

Kila mtu atimize wajibu wake, yeye ametimiza ya kwake kama Mbunge(UVCCM), Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Ardhi, Waziri Ofisi ya Makamu Rais, Waziri wa Maji na Waziri Mkuu wa Jamhuri, sasa anafanya la wananchi wake wa Monduli, tumwache atimize wajibu wake.
 
LOWASSA a.k.a KIBWETERE wa TANZANIA. Ni mtu HATARI SANA!

Yeye ndiye muasisi wa CULT POLITICS TANZANIA, ambapo anatumia kila aina ya mbinu, kuanzia fedha, zawadi za vyeo na hata ushirikina(ana waganga wa ki NIGERIA wanatuaga Monduli), ili acommand ABSOLUTE SUBMISSION kwa wafuasi wake regardless ya uozo wowote atakao ufanya....Maana kaoza to the CORE.

No wonder hapa kuna watu wako tayari kumzawadia wake na mama zao huyu KIBWETERE, kuliko kuona Lowassa akiambiwa amekosea pale anapokosea. TYPICAL CULT MENTALITY.

JIANDAENI KWA MAANGAMIZI WAFUASI VIPOFU WA KIBWETERE LOWASSA, SIKU YENU INAKUJA!
 
Back
Top Bottom