LOWASSA hawezwi na NANI?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Lowassa haachi mafumbo.Mara ooh,nitapambana hadi kieleweke;mara ooh,niko tayari fiti kuendeleza mapambano.Jana,Lowassa amesema hawezwi.Amedai kuwa wanaomchafua hawamnyimi usingizi.Hakuwataja watu ambao hawamuwezi na wanaomchafua bila kumnyima usingizi.Hivi,Lowassa huwa anawazungumzia akina nani?

Swali la nyongeza: Kwanini kauli nyingi za kisiasa za Lowassa hutolewa mbele ya Askofu Laizer?
 
Anatapatapa tu huyo mwizi senior fisadi! Kuna wakati aliwahi kusema kuwa yeyote anayemchafua awe mtu binafsi au chombo cha habari atawachukulia hatua kali za kisheria sasa kabadili cd kuwa wanaomchafua hawamnyimi usingizi! yeye amalizie muda wake wa ubunge basi maana 2015 jimbo linaenda upinzani hilo!!
 
huyu jamaa anapiga ngumi ukuta.maana anapayuka hatujui anampayukia nani.
 
Huo ndio ukweli, Nape atamuweza Lowasa? Mukama mzee wa mustachi atamuweza Lowasa...maneno yake yana ukweli asilimia 95, dawa ya Lowasa ni CHADEMA na yeye anajua hii habari. Si mnakumbuka kichapo cha Arumeru Mashariki?
 
Sawa, hawamuwezi,
Ye anawaweza??

Hawa wazee wa nchi hii akili zao zimeanza kuingia mtindio wa ubongo. Badala ya kujinasibu kwa kutueleza watafanya nini kutuletea maendeleo, wanapigana kulipizana visasi...sijui wanafikiria bado watanzania ni mazuzu.
 
Kina nape ndo hawamwezi.
Na uyo askofu laizer mi fisadi la kanisa, ni jizi kubwa la mali ya kanisa.
 
To end the words battle, there will be a round Boxing Match between EL and JK. For more details visit here....https://www.jamiiforums.com/jamii-p...a-round-boxing-match-with-jk.html#post3992219

A few minutes ago, the two heavy weight Potatoes have left the "KUSADIKIKA" Habari Maelezo where they came to announce their forthcoming Big Fight ever seen in EAC. This will be a single round fight match with neither referee nor commissioner but only spectators are allowed. Likewise, Ridhwan will not be allowed to hold a towel nor Fred is permitted to bring cool water.
547183_397780540272756_2062550354_n.jpg



The organizers accepts sponsorships and tickets will be available in all outlets in the greater Dar es Salaam.

You are allowed to step a meal but not miss this Big Fight Ever!

Bet who will emerge the winner, will the winning come through Technical Knock Out (TKO) or by Points? Write me your predictions here....
 
Lowassa haachi mafumbo.Mara ooh,nitapambana hadi kieleweke;mara ooh,niko tayari fiti kuendeleza mapambano.Jana,Lowassa amesema hawezwi.Amedai kuwa wanaomchafua hawamnyimi usingizi.Hakuwataja watu ambao hawamuwezi na wanaomchafua bila kumnyima usingizi.Hivi,Lowassa huwa anawazungumzia akina nani?

Swali la nyongeza: Kwanini kauli nyingi za kisiasa za Lowassa hutolewa mbele ya Askofu Laizer?

Huyo jamaa yeye ana kisasi na magamba wenzie,na kutoa kauli mbele ya askofu Laizer hiyo yote ni kutafuta huruma mbele ya jamii ili jamii imuone kuwa ni mtu msafi.kwa kifupi ni kwamba mfa maji haishi kuhangaika, huyo anatafuta mahali pa kufia.
 
hawezwi na hao waliokutuma ulete hii topic unaowalamba miguu....wanaojdanganya wataukwaa urais,,,,kikubwa baada ya lowasa kuondoka ktk upm mambo hayaendi,,,,
 
Back
Top Bottom