Lowassa hatari sana

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya aliyotufanyia
 
kila mtu ana hakiya kuongea....mwache aongee,sikiliza na uchukue unachoona kinakufaa
 
nadhani lowassa hana nia ya kugombea urais 2015.im sory to say lakini afya yake hamruhusu kupambana na kashkashi za urais.mwacheni mzee wa watu apumzike!!
 
He is simply wasting his precious time!
Mbona anaweza kufanya mambo mengine yenye heshima kuliko kujidahalilisha?...Ataweka wapi sura huyu?
 
Yule anayelipia gharama za mahujaji 100 kila mwaka humuoni?, hutaki achangie mambo ya kijamii?!, unapendekeza afanyenini ili ufurahi?, kwani wewe huoni kama ndo mtu pekee anayefaa kuwa rafiki baada ya huyu smiling boy kuharibu nchi?!.
Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya aliyotufanyia
 
nadhani lowassa hana nia ya kugombea urais 2015.im sory to say lakini afya yake hamruhusu kupambana na kashkashi za urais.mwacheni mzee wa watu apumzike!!

samahani
-anaumwa?
-amezeeka sana?

Kwanini wasema afya
hairuhusu????
 
Yule anayelipia gharama za mahujaji 100 kila mwaka humuoni?, hutaki achangie mambo ya kijamii?!, unapendekeza afanyenini ili ufurahi?, kwani wewe huoni kama ndo mtu pekee anayefaa kuwa rafiki baada ya huyu smiling boy kuharibu nchi?!.
Huyu Lowasa zaidi ya kuwa na mvi nyingi hana tofauti nyingine yoyote kimsingi, kifikra, kimtizamo na kimaadili na smiling boy.
 
He is simply wasting his precious time!
Mbona anaweza kufanya mambo mengine yenye heshima kuliko kujidahalilisha?...Ataweka wapi sura huyu?

Fadhila! Nilazima apitishwe na akishakuwa rasmi basi mbinu zozote zitatumika kuhakikisha ushindi wa kishindo. Unadhani anatumia makanisa bure? 2015 atakuwa chaguo la mungu!
 
Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya aliyotufanyia[/QUOTE

wewe nawe hamnazo kweli, haya basi sema hayo mabaya alokufanyia, sio kulalama tu, alafu sikunyingine sentesi zako usitumie wingi kama hujatumwa na wengi.
 
Watanzaniaa?akigombea watampa tu kura,hilo mbona liko wazi?cjui tumerogwa!
 
Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya aliyotufanyia

Samehe mara saba sabini, kwa hili chaguo la Mungu ulitegemea mambo yangekuwa kama yalivyo?. Zidisha maombi ipo siku na sisi Mungu atatupa Michael Satta wetu.
 
MTM hivi
umegundua hata Anthony Lusekelo
siku hizi amenunua media na yeye ana press conference kila wiki???
hii nchi sijui inaendaje.....
in short ni media people wenyewe wanaojishusha na kuwa kama makomandoo wa simba au yanga!!! unawakuta wamemzunguka mtu wa kijinga tu sema ana pesa kama nzi wanavyozunguka kinyesi
 
Back
Top Bottom