Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71?

mara kumi ya lowasa,kumbe huyu mkulima ndio bure kabisa kazi kulia tu!
 
Kachero Lukuvi ni Usalama wa Taifa, Yeye na wenzake watahakikisha hizo saini 70 hazipatikani maana kimantiki kama huna imani na Waziri Mkuu hiyo Imani na Rais itapatikana nyumba gani....? Haitakuwaaga !
 
utashangaa hata mabasi ya samry yameanza kupukutika taratibu kama ya scanloviana!

Ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga,Kama waliwaibia wananchi pesa wakanunulia magari Mungu atapambana nao.
 
Kachero Lukuvi ni Usalama wa Taifa, Yeye na wenzake watahakikisha hizo saini 70 hazipatikani maana kimantiki kama huna imani na Waziri Mkuu hiyo Imani na Rais itapatikana nyumba gani....? Haitakuwaaga !

Mkuu naweza kusema Pinda alipoingia madarakani tuliona kuwa ni suluhisho la uswali na ubabaishaji, lakini kilichopo sasa ni kwamba amekuwa great disappointment. I wonder kama kuwa PM kunafanya uwezo mtu upungue haraka, Pinda PM na Pinda wa TAMISEMI wako tofauti sana, ni hero na zero.

Lakini kwa maoni yangu ni kuwa hakuna la maana litakalofanyika kama ataondolewa Pinda, tatizo liko Ikulu sio PMO. Nadhani hizo kura zingepigwa ili kushughulika na Ikulu.

Mkuu huyo jamaa unayesema William Lukuvi angalia kazi alizofanya na uone kama zina maana yeyote kwa taifa, kazi zake ni kwa manufaa kwa serikali na CCM tu. sitashangaa kama akizuia hizo saini, lakini kwa maoni yangu kumuondoa Pinda mni wate of time and resources, hakuna kitakachoendelea na kitakachobadilika sana. bora tusubiri 2015.
 
Kilichomponza Lowasa ni kukubali ushauri kuwa aandike barua ya kujiuzuru kwa kudhani kuwa JK angekataa! Lakini kama asingeandika barua ile hadi leo angekuwa Waziri Mkuu!
 
LOH!!!!This a golden chance for RICHMOND to sign back to the Fisadi system,mbona patamu
 
Nani anataharifa mpaka sasa zimepatikana sahihi ya wabunge wangapi?. Sababu mara ya mwisho zilikuwa zimepatikana 30 tu.
 
Kachero Lukuvi ni Usalama wa Taifa, Yeye na wenzake watahakikisha hizo saini 70 hazipatikani maana kimantiki kama huna imani na Waziri Mkuu hiyo Imani na Rais itapatikana nyumba gani....? Haitakuwaaga !

hakuna kitu cha hivyo; usalama wa taifa ilikuwa enzi za mwalimu, cku hizi mambo ni waziwazi; usalama wa taifa wakati anashiriki matendo machafu ya kuifilisi nchi!
 
Ukizingatia ana machungu ya mume wa mtoto wake kuangukia pua Arumeru
 
Back
Top Bottom