Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71?

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
579
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa, yuko bize na saini 70 za kumuondoa Pinda na sasa hotuba yake inasomwa na Makamu wake Mbunge wa Ilala, Mh.Zungu...... Stay tuned
 
Naona Lowassa atakuwa kwenye ule msemo unaosema tukose wote na pia kama yeye alionekana hafai basi na huyo naye mtasemaje?katika hali ya kawaida lazima afurahie.
 
Mambo ya siasa bana!! Ni kuchunguliana tu! Nikikukuta nakuwasha!!:A S shade:
 
Ana uhakika kwamba kama baraza la mawaziri litavunjwa,lazima na yeye ataambulia nafasi nyingine ya uwaziri.kwani itakuwa ndio njia pekee ya JK kupunguza mpasuko uliopo kwa sasa.pia itakuwa fursa nyingine kwea Lowassa kujisafisha kwa kuchukua maamuzi magumu kwenye wizara atakayokabidhiwa tena.
 
Kuna taarifa kama vile yupo msibani Arusha kwa Mary Nagu sasa hizo sahihi anakusanya wapi? ila mabadiliko ni lazima na ccm wakitaka watengeneze credibility basi waungane na zitto ila wasipo fanya hivyo wajue kuwa watakuwa wanapelekwa Mochwari, baada ya kukaa ICU kisha Makaburini
 
Back
Top Bottom