Lowassa for CHADEMA, mpokeeni

Kila Dhambi husamehewa mtu akitubu, Lowasa ni mchapa kazi, mbunifu na anafaa kuwa waziri mkuu, ila lazima ajisafishe kwanza then atapokelewa chadema kwa mikono miwili, ndugu zangu tatizo si Lowasa tatizo ni ccm na mfumo wake wa utawala, hivi ukiwa ndani ya viongozi waadilifu wewe ukawa fisadi si utajulikana na kujiengua tu, so Lowasa karibu Chadema lakini baada ya kutubu na kuacha mambo yanayosemwa na watu, maana hakuna ajuae nini kilifanyika ila ni wewe na ccm wenzio ndio manajua picha yote.
 
Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!

Pumba hiyo.
 
Akirudisha utajiri alio ukomba kwa watanzania na kutubu ufisadi wake natumai atapokelewa chadema!
 
Aaah wapi, gamba lenu hilo mtakufa nalo, kesha sema hang'oki na kusema kweli hamna ubavu wa kumng'oa.Ufisadi mufanye wote leo hii mumtenge mwenzenu,HAIKUBALIKI.

Kaka baeleze baelewe - pesa muibe mle wote then mtafute mbuzi wa kumtoka kafara -- CCM acheni u mafia...

si mlisema kwa shinda na raha, sasa hizi ndiyo shida zenyewe -- vumilianeni tu.
 
She is likely to pollute the party......!

inabidi wamuombe chonde nchode akubali kustaafu na aachane na mambo ya siasa vinginevyo ur right - atawasambaratisha vibaya ingawa wao wanadai hakuna mtu anayeweza kugusa system ya ccm.
 
Inawezekana kuja CDM kwa sharti moja dogo. Atueleze kile ambacho Mwakyembe na wenzake walidai kuwa hawakukisema ili kuepusha serikali yote kuanguka. Sema Lowasa sema, hiyo ndiyo njia pekee ya kujisafisha, vinginevyo fia huko huko kwenye magamba
 
Hatukusema yote ili kuilinda serikali---mwakyembe.
Tukianza kunyoosheana vidole hakuna atakaye baki----lowasa.
Kikwete ni mmiliki wa dowans(mtoto wa richmond)----slaa.
Simjui al adawi,wala yeye hana haja ya kunijua----kikwete.
Symbion yanunua mitambo ya dowans.
Symbion itaondoa tatizo la umeme-----clinton

kama lowasa yupo humu jf naomba uni pm.
 
LOWASSA FOR CHADEMA? NOOOO!!!

Kama itakuwa hivyo I wish gazeti la Mwanahalisi limilikiwe na CCM.
 
Inawezekana kuja CDM kwa sharti moja dogo. Atueleze kile ambacho Mwakyembe na wenzake walidai kuwa hawakukisema ili kuepusha serikali yote kuanguka. Sema Lowasa sema, hiyo ndiyo njia pekee ya kujisafisha, vinginevyo fia huko huko kwenye magamba
Aseme kwani yeye Mwakyembe? Apumzike tu, anatafuta nini aendelee kula pensheni ya upendeleo ya 'kustaafu' uwaziri mkuu
 
Tena NI WAKATI MBOWE AACHIE NGAZI AMPe lowasa mzee wa project na utekelezaji.
Tatizo si chadema kuchukua nchi? Wafanye hivyo lowasa akombe uraisi.
 
Angali mbichi,Lowassa umeshakauka(amekuwa kaukau)

dah mkuu umenikumbusha kaukau. sijaziona long tym tangu miaka ya 80! but on a serious note, Lowassa hawezi kwenda cvhama chochote kingine cha siasa zaidi ya cha wenzake alipo sasa. it will be suicidal yeye kujitoa kwa watawala wa sasa. ana kesi kibao za kujibu on abuse of office, uhujumu uchumi, wizi etc na ushahidi ni overwhelming against him. yeye analijua hilo na hawezi asilani kutoka ccm hata afukuzwe kwa mijeledi hawezi toka. usalama wake uko ccm mpaka hapo ccm itakapotoka madarakani ambako yeye na wengineo wengi wa ccm wataenda mkumbo mmoja na kwa pamoja mbele ya pilato kujibu madhambi yao. so sahau about EL kuwa chadema au kwingineko kokote
 
Acheni zenu we apply alternatives, wamewezakuwaongoza maelf ya Watz katka maandamano sembuse lowasa!, samaki mkavu wanamloweka katika maji ya uvuguvugu akishalainika tu mnapika akiiva analiwa wamoto hamjui?
swala ni kuliwa au kukunjwa..lol
 
Jamani kwani mliambiwa viongozi nchi hii waliacha kuzaliwa ? mbona Lowasa..lowasa acheni fikra mgando kuna vijana kibao wenye nguvu na akili hekima na busara uzalendo na upendo wa dhati kwa binadamu wengine hawajapewa nafasi na tuwape nafasi sasa LOWASA,s time is OVER ..!!

Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
 
Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
Mkuu, amekutuma ili kupima upepo au haya ni mawazo yaliyokujia wewe mwenyewe kichqwani mwako?
 
Bakini nae tu hakuna anaemtaka. Ni bora kuingiza wanachama wapya wachanga katika siasa kuliko kumpokea EL! Gharama ya kuepusha chama kisichafuliwe na shombo ya ufisadi ni kubwa sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom