Lowassa: Bodaboda ni sera ya CCM kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana!

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.

Akizungumza katika haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.

Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha kujipanga kusaidia bodaboda ni mfano kwa wafanyabishara wengine nchini.

"CCM ni chama kinachotetea wanyonge, na nyinyi ni wanyonge mnaohitaji kunyanyuliwa kimaisha, kitendo hiki cha wafanyabisharaa wa Arusha ni cha kuunga mkono sera ya CCM," alisema.

Lowassa alisema tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka na kwamba wasipowasaidia vijana kuondokana na tatizo hilo amani itatoweka.

"Ndiyo maana CCM katika ilani yake ya uchaguzi imeliweka hilo na pia kulisisitiza katika vikao vyake vya juu vya Mkutano Mkuu pamoja na Halmashauri Kuu," alisema.

Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha wakiongozwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Diwani wa Mererani, Mathias Manga, ndiyo waliyobuni wazo hilo la kuwaanzishia mfuko vijana wa bodaboda.

Katika harambee hiyo, sh milioni 84 zilipatikana huku Lowassa pamoja na marafiki zake wakichangia sh milioni 10 na pikipiki 10
 
Huyu naye na sera za kihovyo hovyo
Tumeondoa vipanya kuopunguza foleni yeye anatetea boda boda kubeba abiria
Alikuja na sera yake ya barabara tatu kinyume na taratibu za usalama barabrani
Hajui kwamba hawa abiria wa boda boda hawana bima ? Hawatambuliwi na hakuna kampuni inayo wapa bima
Anaendekeza sana cheap politics kujipatia umaaurufu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bodaboda ni sera ya wachina kukuza uchumi wao! Kwani CCM mna viwanda vya bodaboda wapi miaka 50 ya uhuru hata kiwanda cha baiskeli hakuna! Mnatia aibu sana! Mmebakia kuiletea vioja tu CHADEMA!
 
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.

Akizungumza katika haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.

Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha kujipanga kusaidia bodaboda ni mfano kwa wafanyabishara wengine nchini.

“CCM ni chama kinachotetea wanyonge, na nyinyi ni wanyonge mnaohitaji kunyanyuliwa kimaisha, kitendo hiki cha wafanyabisharaa wa Arusha ni cha kuunga mkono sera ya CCM,” alisema.

Lowassa alisema tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka na kwamba wasipowasaidia vijana kuondokana na tatizo hilo amani itatoweka.

“Ndiyo maana CCM katika ilani yake ya uchaguzi imeliweka hilo na pia kulisisitiza katika vikao vyake vya juu vya Mkutano Mkuu pamoja na Halmashauri Kuu,” alisema.

Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha wakiongozwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Diwani wa Mererani, Mathias Manga, ndiyo waliyobuni wazo hilo la kuwaanzishia mfuko vijana wa bodaboda.

Katika harambee hiyo, sh milioni 84 zilipatikana huku Lowassa pamoja na marafiki zake wakichangia sh milioni 10 na pikipiki 10

i ainta get ya point
kwamba ni mpango wa CCM kivip
familia ngapi zimebaki ukiwa baada ya kuondokewa na wapendwa wao kwa boda
gharama za matibabu kwa majeruhi
vilema ambao hatima yao imekua tegemezi wasiojiweza katika jamii
mazingira ya kufanyia kazi unywaji pombe na matumiz ya madawa wakati wa uendeshaji ninyi mnajisifia kwamba ni mpango wenu bodaboda?
Mungu aturehemu sisi
mmewachagua kwa uelewa wao mdogo
umaskini wao kuwatanguliza katika kiti cha haki bila kujua
mh
 
Jamani jamani hivi hizo Pikipiki zinavyowamaliza na kuwapa vilema vijana bado mtu unasimama na kutetea na kuzipromote Kah...........,
 
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.

Akizungumza katika haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.

Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha kujipanga kusaidia bodaboda ni mfano kwa wafanyabishara wengine nchini.

"CCM ni chama kinachotetea wanyonge, na nyinyi ni wanyonge mnaohitaji kunyanyuliwa kimaisha, kitendo hiki cha wafanyabisharaa wa Arusha ni cha kuunga mkono sera ya CCM," alisema.

Lowassa alisema tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka na kwamba wasipowasaidia vijana kuondokana na tatizo hilo amani itatoweka.

"Ndiyo maana CCM katika ilani yake ya uchaguzi imeliweka hilo na pia kulisisitiza katika vikao vyake vya juu vya Mkutano Mkuu pamoja na Halmashauri Kuu," alisema.

Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha wakiongozwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Diwani wa Mererani, Mathias Manga, ndiyo waliyobuni wazo hilo la kuwaanzishia mfuko vijana wa bodaboda.

Katika harambee hiyo, sh milioni 84 zilipatikana huku Lowassa pamoja na marafiki zake wakichangia sh milioni 10 na pikipiki 10

Sera ya bodaboda? sijawahi kuiona, sijui kama kuna sera kama hiyo, au inawezekana mimi nikawa sifahamu sera ni nini? hata sheria yake ya kusimamia sera hiyo siifahamu na sijawahi kuiona, na sijui kama Bunge lilishapitisha sheria kama hiyo.
Au asema ulikuwa ni mpango wa CCM, lakini si sera. Maana inaonesha hatuelewi hata sera ni nini, ni hatari sana.
 
Huyu naye na sera za kihovyo hovyo
Tumeondoa vipanya kuopunguza foleni yeye anatetea boda boda kubeba abiria
Alikuja na sera yake ya barabara tatu kinyume na taratibu za usalama barabrani
Hajui kwamba hawa abiria wa boda boda hawana bima ? Hawatambuliwi na hakuna kampuni inayo wapa bima
Anaendekeza sana cheap politics kujipatia umaaurufu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hovyo Kabisa Lowasa

Shule za Kata alisiasisi yeye sasa ni viwanda vya kuzalisha wajinga Div 0, shule hazina waalimu hata vifaa muhimu.

Mvua za kutengenezwa toka Thailand, yaani ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom