Lowassa Azidi kusonga mbele!

Nzenzu

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
858
164
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!
 
Anapoteza muda!
Nawasikitikia KKKT na bidhaa yao ambayo haitakuwa na Mlaji!
 
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!

Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.
 
hata wewe una roho ngumu jana ulilala fofofo kutwa nzima wenzako tulijadili mada hii hapa JF kwa kirefu ghafla unaibuka leo na habari za jana.
 
Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.

nADHANI ANAO MPANGO WA KUGOMBEA U-ASKOFU VINGINEVYO SIJUI KAMA URAISI ATAUPATA KWA MTINDO HUU!
 
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!

Jamani mimi mwenzenu ni mbumbumbu katika hili na ninaomba kuelimishwa. Hivi uchaguzi huo wa 2015 ni wa kumchagua askofu au rais. Na kama ni uchaguzi wa urais, kuna sheria iliyopitishwa kwamba wapiga kura watakuwa ni wa dhehebu moja tu? Hivi kuchangisha makanisani na kuwaacha wahitaji wakubwa wa misaada kama wale waathirika wa mafuriko kutatoa mafanikio gani ya kisiasa. Kama ni utakaso wa fedha haramu basi utakaso bila toba ni bure! Haya msioitakia mema nchi yetu endeleeni kushangilia lakini kwa wenye akili zao wanajua kwamba this is a wasted effort!
 
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!

Naona cku izi yeye na makanisa makanisa na yeye; labda makanisa ndo yatakayompa uraisi - lakini watanzania sidhani kama wanamuhitaji
 
Jana asubuhi nilimsikia Nape kupitia kipindi cha Tuongee Asubuhi kilichorushwa na StarTv, akiwarushia kombora wanaCCM wanaozunguka kwenye nyumba za ibada kujijenga kwa ajili ya uchaguzi wa 2015. Alisema, CCM ilikwishaanzimia kutafuta utaratibu mpya (ambao amedai utatoa fursa kwa mwanaCCm yeyote anayeweza kuongoza kupata nafasi hata kama hana fedha!) wa kupata wagombea wake (hususani wa Urais) na kuwashangaa hawa wanaohangaika sasa. Akaonya kuwa kwa sababu utaratibu mpya bado haujapatikana/haujawekwa, wanaozunguka huku na huko wanaweza kuwa wanapoteza muda tu.
 
watanzania hatumuhitaj lakin usalama wa taifa wanamuhitaj na wana nafas kubwa kumuingiza madarakan

Hujui Usalama wa Taifa ni nini ka kimya wewe, unataka kuniambia wewe huwa hupigi kura kuchagua viongozi au bado uko under 18 na hujui haya mambo yanavyokwenda.
 
wewe labda ndio unamsongesha mbele,umeona anavyomtesa mpiga kura mwenzetu za urais 2015 dk harrison mwakyembe?

Una ushahidi ndugu yangu au unaandika kwasababu unajua hujulikani. Kama ushahidi upo kwanini asipelekwe Mahakamani? Dini zote zimetufundisha kuwa kushuhudia uongo ni dhambi, usipende kujiongezea dhambi kwa kufata mkumbo wa chuki binafsi za watu.
 
Nyumba za ibada nazo zinatisha! Wanajua kabisa jamaa anatumia fedha chafu, lakini wanazitaka tu!

Anachofanya Lowassa ni kuwapa wachangiaji hizo fedha ili wachangie, yeye aonekane amefanikisha harambeee. Jamaa kajiandaa vya kutosha, nadhani ameshaweka nchi rehani hapo...akipata atalipa
 
Back
Top Bottom