Lowassa aweka mambo hadharani: Nitatoa uamuzi

Lowassa mnafiki kweli kweli. anashangaa nini? yeyey si ndio alikuwa anahubiri maamuzi magumu bungeni?????????????? au ahyo yamezidi unga ?? hahahah
 
Futa kauli mkuu kwasababu umemtukana mpaka Rais wa hii nchi
Naongeza msisitizo, kuwa mwanaccm leo ni lazima uwe Taahira kwa 100% Rais hausiki na hili kwa sababu yeye sio mwanaccm bali anawatumia majuha kama wewe kujitajirisha yeye na familia yake na washirika wake kwa gia ya kujifanya mwanaccm.
CCM ina wenyewe kalaghabaho,.........
 
Futa kauli mkuu kwasababu umemtukana mpaka Rais wa hii nchi

Angalia tu akili yako wewe mwenyewe tukuweka wapi? We hujasikia CCM wanasema wamefanikiwa na kuwa RA kajiuzulu kwasababu walipewa siku 90 na CCM ya Nape na Mkama? na hapa Mkama anasema tena hajui kama RA kajiuzuru lipi la ukweli sasa?

By the way wewe comments zako hapa JF zinaonyesha unamatatizo kama hujui wai hospital Mkuu
 
Lowassa mnafiki kweli kweli. anashangaa nini? yeyey si ndio alikuwa anahubiri maamuzi magumu bungeni?????????????? au ahyo yamezidi unga ?? hahahah
Maamuzi magumu haimaanishi kujiuzulu mkuu. BTW Lowassa anajiandaa kuchukua nchi kwahiyo kuachia kiti ni uamuzi wa kitoto kwake.
 
Mgombea urais ajaye ajipange mnnoo ku raise 42bil au zaidi maanna mfadhili out gharama zipo pale

Nani amekwambia kuwa RA ni mfadhili wa CCM?, RA ni masterminder wa kuchota fedha za wananchi bank kuu na kugawa kidogo na kubakia na the rest kwa kigezo kuwa ni mfanyabiashara mkubwa hakuna atakaye hoji. Pesa zote anayotoa RA kwa CCM ni za kuwaibia watanzania, mchongo unaofanywa na viongozi wa CCM wakishirikiana na wafanyabiashara wa kiasia kama cover, remember Jeetu, Patel, Subash, Manji et al, hawa ndiyo proxy wa kupitishia hela za kampeni kutoka hazina kuingia CCM kwa mgongo wa michango kama ulikuwa huelewi.
 
CCM hawajapata barua rasmi kutoka kwa Rostam kama Spika nae hajapata barua ya kujiuzulu kwake haya ni mambo ya kiofisi hata nyie hamwezi simama nje ya mnapofanyia kazi mkasema mmejiuzulu inabidi muandike barua sasa hamjaelewa nini hapo ?

Kama unadhani sababu ni barua wewe unadhani jibu sahihi ni kusema hawajui kama kajiuzulu? na kwanini wanapogeuka nyuma wanasema kuwa wamefanikiwa kwenye hile agenda yao ya siku90, kwa RA kujiuzulu!?

Na kama hasipo pereka barua? unayo sheria inayosema kuwa mtu akitaka kujiuzulu Ubunge na NEC anatakiwa kuandika barua kwa Spika au Katibu wa Chama? anaweza kuchukuwa tamko lake kutoka kwenye vyombo vya habari alipoweka matamko yake.
 
Angalia tu akili yako wewe mwenyewe tukuweka wapi? We hujasikia CCM wanasema wamefanikiwa na kuwa RA kajiuzulu kwasababu walipewa siku 90 na CCM ya Nape na Mkama? na hapa Mkama anasema tena hajui kama RA kajiuzuru lipi la ukweli sasa?

By the way wewe comments zako hapa JF zinaonyesha unamatatizo kama hujui wai hospital Mkuu
Mkuu asikupotezee muda huyo puppet, yeye ni miongoni mwa wale walioanguka kilio hadi kuzimia pale Igunga jana. njaa imesababisha hata vijana weye uwezo wa kupambana na maisha kuishi maisha ya kubeba briefcase za watu. inasikitisha sana.
 
mmmmh, mkulu hapo presha inaaaapada preeeesha inashukaaaaaa!
 
Kama unadhani sababu ni barua wewe unadhani jibu sahihi ni kusema hawajui kama kajiuzulu? na kwanini wanapogeuka nyuma wanasema kuwa wamefanikiwa kwenye hile agenda yao ya siku90, kwa RA kujiuzulu!?

Na kama hasipo pereka barua? unayo sheria inayosema kuwa mtu akitaka kujiuzulu Ubunge na NEC anatakiwa kuandika barua kwa Spika au Katibu wa Chama? anaweza kuchukuwa tamko lake kutoka kwenye vyombo vya habari alipoweka matamko yake.
nikiongelea kipengele cha pili ni kuwa spika baada ya kupata barua kutoka mhusika au chama chake ndio anawaandikia barua NEC ambao wanatangaza jimbo kuwa wazi na tarehe ya uchaguzi.
 
haya na mkuu wetu aliye mapumziko serengeti amelipokeaje au ndio linamfanya aongeze siku za kupumzika?
Hah hah hah unauliza jibu tena hapo kashaplan kupitia A-town,cku izi ni Mt Meru,cfyo Ngrudoto tena!uwiiiiiiiii,jaman mapacha wa Mkulu!
 
Lowassa ni piga ua, hawezi kuodoka kwenye madaraka kwa vile ndiyo yaliyompa utajiri alioa nao leo. Rostama alianza kuwa tajiri kidogo kabla hajawa mbunge; ubunge uliongezea utajiri kwa kasi kubwa lakini hata kama singekuwa mbunge bado alikuwa na utajiri na alikuwa anajua kuutafuta.

Lowassa alianza kama mfanyakazi wa kawaida akiwa AICC na alipofika Dar baada ya kuukwaa ubunge na uwaziri ndipo akaanza utajiri. Kwa hiyo piga ua, nafasi hizo hatokuja kuziacha kwa hiari yake hata siku moja.
 
Mi nasubiri AC ajivue gamba basi niwe na amani maana huyu ni balaa kuliko wote HONGERA SANA CHADEMA, HONGERA SANA Dr W. SLAA kazi inaonekana sasa EL nadhani atachia nafasi ya Ujumbe wa NEC tu na si UBUNGE
 
Lowasa ni piga ua, hawezi kuodoka kwenye madaraka kwa vile ndiyo yaliyompa utajiri alioa nao leo. Rostama alianza kuwa tajiri kidogo kabla hajawa mbunge; ubunge uliongezea utajiri kwa kasi kubwa lakini hata kama singekuwa mbunge bado alikuwa na utajiri na alikuwa anajua kuutafuta. Lowasa alianza kama mfanyakazi wa kawaida akiwa AICC na alipofika Dar baada ya kuukwaa ubunge na uwaziri ndipo akaanza utajiri. Kwa hiyo piga ua, nafasi hizo hatokuja kuziacha kwa hiari yake hata siku moja.
sasa swali kwa Nape............ atamuweza Loawassa????
 
Glory to be to God ! Kama kuna mtu anaefuatilia vizuri hali ya uchumi wa tanzania na wanasiasa wake na kuifahamu vizuri Biblia Alinganishe na kitabu cha ufunuo basi atajua kinachotokea ni nini. Mwanamke yezebeli alifanya zinaa na wafalme wa nchi na sasa Mungu anamuabisha yu uchi, ole kwa wafanyabiashara waliofanya zinaa nae (mikataba mibovu na mipango iliyoundwa nae kwa ustadi mkubwa na taifa likaingia hasara, ikumbukwe watu wa Mungu wanamlilia kwa hali ngumu ya maisha, swali ni je Mungu hasikii kilio cha wanyonge? Sasa ni wakati wa Mungu kuonyesha nguvu zake na wanyonge wapate haki yao iliyotekwa kwa muda mrefu)
 
zaidi ya habari ya richmond kwani lowasa ana jambo gani baya alilowafanyia watanzania, isije ikawa tunakurupuka tu kama kuku aliyekatwa kichwa!!
 
Hah hah hah unauliza jibu tena hapo kashaplan kupitia A-town,cku izi ni Mt Meru,cfyo Ngrudoto tena!uwiiiiiiiii,jaman mapacha wa Mkulu!
Aende Ngurdoto awekewe sumu!hakanyagi tena pale
 
Back
Top Bottom