Lowassa atia fitina uchaguzi DARUSO (UDSM)

KAMBONA

New Member
Jun 8, 2011
3
0
lowasa amezihirisha yeye pekee ndio mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote ndani ya chama cha mapinduzi,hii inzidi kujiziirisha baada ya kila mchezo wa fitina anao shiriki kushinda kwa hasirimia zaidi ya 60%,tumeshuhudia kwenye kamati mbalil mbali za bunge,uteuzi wa mabalozi wa nchi.na sasa ameamua kuingia ndani ya uchaguzi wa daruso akiwa na ma Freemasonry watatu kijana wake kipenzi aliye mludisha kambini NAPE NNAUYE,SALUMU ALLY HAPPY na MATHIUS SAIMON KIPARA.hawa ni baadhi ya vijana 40 wa"EDLLE BOYS",ambao atafanya nao kazi ya kuingia ikulu 2015,tayari vijana wake wamekutana na" DARUSO BOARD"kila mjumbe kulamba milion 2,wameshatia mkono kuhakikisha akuna hata kijana mmoja asiyekuwa kada kupita kwenda kupigiwa kura,tayari tumeshuhudia mhanga wa kwanza kutolewa bila hata kuhojiwa bwana LISU,na wamehaidi kuiteka TAHLISO kuiweka chini ya EDDLE kabla ya vijana wake kumalizia UVCCM.MUNGU mbaliki LOWASA,mungu ibaliki TANZANIA.
 
Mpelekee salamu Nape. Mwambie EL akitoka huko anaingia sektarieti ya chama naye atakuwa hana tena kazi. Atarudi kwa bwanawake Mengi kuendeleza libeneke.
 
Duh, mzee una matatizo ya uandishi au uliandika wakati unafukuzwa? Hebu nenda kwa Mzee Mweteni au Kibogoya hapo chuoni kama bado wapo wakufundishe Communication skills, ok, message imefika kwa wakati hao ndio CCM
 
lowasa amezihirisha yeye pekee ndio mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote ndani ya chama cha mapinduzi,hii inzidi kujiziirisha baada ya kila mchezo wa fitina anao shiriki kushinda kwa hasirimia zaidi ya 60%,tumeshuhudia kwenye kamati mbalil mbali za bunge,uteuzi wa mabalozi wa nchi.na sasa ameamua kuingia ndani ya uchaguzi wa daruso akiwa na ma Freemasonry watatu kijana wake kipenzi aliye mludisha kambini NAPE NNAUYE,SALUMU ALLY HAPPY na MATHIUS SAIMON KIPARA.hawa ni baadhi ya vijana 40 wa"EDLLE BOYS",ambao atafanya nao kazi ya kuingia ikulu 2015,tayari vijana wake wamekutana na" DARUSO BOARD"kila mjumbe kulamba milion 2,wameshatia mkono kuhakikisha akuna hata kijana mmoja asiyekuwa kada kupita kwenda kupigiwa kura,tayari tumeshuhudia mhanga wa kwanza kutolewa bila hata kuhojiwa bwana LISU,na wamehaidi kuiteka TAHLISO kuiweka chini ya EDDLE kabla ya vijana wake kumalizia UVCCM.MUNGU mbaliki LOWASA,mungu ibaliki TANZANIA.

Mkuu tumepata ujumbe ila inaonekana kabisa wewe siyo raia wa nchi yetu umetokea Somalia au wapi? hebu angalia kwenye red kwani kama kiswahili cha kuandika kinakuwia kigumu hivi basi utakuwa unaongea kihindi bana dogo. Hapa hujaitendea haki lugha yetu adhimu ya kiswahili mkuu.

Zaidi sana unaonekana kama Mamluki wa Lowassa na utakuwa wewe hujavuliwa bahari lazima utakuwa imevuliwa kwenye vidimbwi vya maji ya mvua au mabwawa ya maji taka kwa sababu mambo yako tata veve!!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom