Lowassa atembelea waathirika

Sio kweli hakuna sheria yeyote inayosema hivo kama ipo itaje, nakumbuka wabunge waliwahi kusema wapigiwe salute wanajeshi wakasema waende kwenye makambi ili wawape kazi drill za kijeshi ili wajue salute si mchezo inasotewa ile week 6 bila kulala, wakaogopa sasa hilo halipo kwenye sheria za kijeshi wala hizi za huku uraiani.
 
Ila jamani salute hata mimi kuna wakati niliwahi kujichanganya na wakuu fulani wa sirikali akaja afandande mmoja mkubwa tu akanitwanga saluti...wanababaika wakati mwingine....
 
EGL nadhani ni waziri Mkuu aliyejiuzuru, na kwa heshima ya hiyo nafasi anapewa ulinzi na serikali wakati wote. Kwa hiyo salute aliyopigiwa ni ya uwaziri mkuu msaafu. Hata kama alijiuzuru kwa uwajibikaji. Kwa hiyo IGP hajafanya kosa kumpigia salute.
 
All in all huyu jamaa ( EL) hastahili hata chembe kuiongoza kamati nyeti kama hii...!!!:hand::decision:
 
Woga kwa ufisadi

Muuliza swali aameuliza ili aweze kupata jibu zuri na sahihi. Lakini wewe unampotosha. Kama huji siukae kimya kuliko kumpotosha?

Lowassa ni waziri mkuu mstaafu. Ni lazima apigiwe salute kama wafanyiwavyo Sumaye, Mkapa, Mwinyi na Msuya.
Dalili ya watu wasiosoma vitabu utawajua tu. Elimu ya madesa na magazeti ya udaku na kutegemea ujinga wa baadhi ya wanajf kama reference ni sumu.
 
Back
Top Bottom