lowassa ataka viongozi waadilifu

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
katika kile cha sintaamini masikio yango mbunge wa monduli anasema na kuwasa viongozi kua wawe waadilifu na wasie mafisadi na wawatumikie wananchi ama kweli sina la kusema
 
Nilifikiri angetangaza kuacha ufisadi.asituletee upuuzi hapa
 
katika kile cha sintaamini masikio yango mbunge wa monduli anasema na kuwasa viongozi kua wawe waadilifu na wasie mafisadi na wawatumikie wananchi ama kweli sina la kusema

kama ni kweli...... basi arudishe pesa zote ambazo amepata isivyo kihalali ..... ndio tutamsamehe.....
 
Unajua dhambi ni dhambi inapokuwa kwa mwenzako ikiwa kwako huioni kama ni dhambi. Hata Mlevi ulevi wake hauoni ila wa wenzake ni rahisi kuwaita wenzake walevi ilia sio yeye hata kama amelewa
 
Back
Top Bottom