Lowassa ashinda Ujumbe wa NEC (CCM) Monduli kwa Ushindi wa 99.9%!

kwani sie tuna tatizo na mtu?? waache wamlete ili 2015 dr. slaa ampe za uso tena kavu bila hata kuvaa gloves, chezea dr. weye!!!!!
 
Dr Slaa naye atamgaragaza 2015 kwa asilimia za kutosha. Lowasa hawezi kusafishwa na maaskofu na mashekhe anaowafadhili. Kuanzia unataka mpaka hataki. Huo ndio ukweli.

kwani dr slaa ameweka nia ya kugombea???
 
Pasco inaonekana siku hizi hushirikishwi kwenye vikao vya mikakati vya Lowasa, ushauri wako ulikuwa hujui ulisemalo, ni kwamba Sumaye hajatoswa na CCM bali amepigwa mweleka na JK pamoja na Lowasa ili kumuimarisha Lowasa 2015 na huu ndio mwisho wa Sumaye, mpinzani mmoja ameshapigwa hat trick na Urais hawezi kuthubutu kuuwaza tena. hawa hawakukutana barabarani.
 
Last edited by a moderator:
Rais 2015 atatoka kaskazini iwe ni ccm au cdm

Hakuna mwanasiasa wa CCM anayeweza pata kura atakazopata Lowasa Kaskazini.Na sababu kubwa ni bado CCM haijaweza kemea au jirekebisha ktk kauli yao ya mara kwa mara kuwa hakuna rais wa kaskazini.Malimu aliwahi waambia wachaga MS akimnadi Mkapa kuwa penda wasipende Mkapa ndio rais wao.Kwa ujumla Survivala ya watu wa kaskazini ipo katk damu, nchi hi haijawahi watendea haki.Wamekuwa marginalized in very harsh ways ila kwa vile ni stragglers bado wapinzani wanarushiwa ball wacheze.Wa kaskazini bado wamejiweka imara sehemu nyingi.hata mikoa ambayo wazawa hawaendi wakihofia uchawi wa wazee wao.
 
Hakika Edward Ngoyayi Ni Jiwe Walilolikataa Magamba! Wapambe wake wanapenda kumwita Edo huku kule kwao Monduli akijulikana kama Laigwanani Mkuu. Hakika sasa Magamba wote wakiongozwa na Nnauye Jr wanatetemeka Maana hawana uhakika ni lini Hilo Jiwe Walilolikataa litawaaangukia na kuwaponga ponda

CC:
zomba chama Ritz

Gwandaz vipi, hamumuogopi?
 
Pasco inaonekana siku hizi hushirikishwi kwenye vikao vya mikakati vya Lowasa, ushauri wako ulikuwa hujui ulisemalo, ni kwamba Sumaye hajatoswa na CCM bali amepigwa mweleka na JK pamoja na Lowasa ili kumuimarisha Lowasa 2015 na huu ndio mwisho wa Sumaye, mpinzani mmoja ameshapigwa hat trick na Urais hawezi kuthubutu kuuwaza tena. hawa hawakukutana barabarani.
Mkuu Matola, sio siku hizi, mimi sijawahi kushirikishwa kwenye kikao chochote!. Amini upigiaji debe wangu, ni wa kujitolea tuu kwa maslahi ya taifa haswa ile dhana ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.
 
Hakika Edward Ngoyayi Ni Jiwe Walilolikataa Magamba! Wapambe wake wanapenda kumwita Edo huku kule kwao Monduli akijulikana kama Laigwanani Mkuu. Hakika sasa Magamba wote wakiongozwa na Nnauye Jr wanatetemeka Maana hawana uhakika ni lini Hilo Jiwe Walilolikataa litawaaangukia na kuwaponga ponda

CC:
zomba chama Ritz

Ahaaa haaa sasa mmehamia kwa Lowasa? Mambo ya CCM tuachieni wenyewe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Pasco usiliache hilo jembe, hayo ndo majibu kukata hamu za akina nape, Lowassa I salute you.

Mkuu usisahau kuwa PASCO wa JF alimuomba EL ajitoe katika uchaguzi mara baada ya kupima upepo wa Sumaye.....Najua Mkuu Pasco mshabiki wa EL kidogo...but usiwe unakufa moyo mapema....mkuu.
 
lowasa kapata kura 709, mgombea mwingine 44, na mwingine kura 7, sasa hiyo 99.9% INATOKA WAPI?
ukiweka denominator 760 inakuja lowasa 93% ..
KUWA MUUNGWANA ONDOA HIYO 99.9% WEKA 93% inaniletea usumbufU, na kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kupata habari ya UKWELI!!!!

MKUU NASIKIA KUWA KUMBE
  • lowasa 709
  • mwingine 7
  • wamwisho 4
LAKINI NGOJA TUSUBIRI UNAWEZA KUSIKIA YAMEBADILIKA MATOKEO NA LUWASA KAPATA KUMBE 4...KWI KWI KWI
ALIYOKO JUU........JIBU MPANDIE...UKIMNGOJA CHINI SIKUHIZI KUNA SUNAMI MKUU....NA KATARINA....SO UNAWEZA UKAWA CHAKULA CHA PIRANHA
 
NAPE alikuwa anasema anabaraka zote za kuwang'oa mafisadi huku akimtuhumuMh. Lowasa naye kuvua gamba. Lowasa aliwajibu hawakukutana na Mh. JK barabarani, sasa Nape atakuwa amepata jibu, na pengine atakuwa alishamwangukia Mzee Lowasa. Nashauri Nape aachane na siasa ili kulinda heshima yake katika jamii.
 
viongozi wa dini wameanza kukataa fedha zake za kifisad atahamishia kampeni wapi?

Kama ameweza kununua asilimia 99.9 ya wapiga kura, hii ni ishara nyingine ya kutia hofu. Mkuu ume-notice kuwa supporters wengi wa Lowassa hapa JF wamejiunga mwaka 2011 na 2012, nadhani unaweza kujua hii maana yake ni nini.
 
Mbali na hayo japo anahusika na hizo kashfa za kifisadi,miaka ya nyuma alijihusisha na ununuzi wa tanzanite na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogowadogo huwezi amini huyu mzee ana ukwasi wa kutisha kwani mpaka saivi hayo madini kayahifadhi hata akikabidhiwa nchi hana shida ya kwenda kuombaomba kama naniliu....
Mkuu Marire, huyu sio fisadi, huyu ni mjasiliamali wa kukopa fedha za umma na kuziwekeza kwenye mijengo!. Hata wale wajasiliamali wa EPA, wengi waliwadhania ni wezi, kumbe kiukweli wale walikuwa ni wakopaji bila dhamana kwa mikopo isiyo na riba!, waliorudisha wanapeta!, vile vijikesi zuga na uchwa ni wale tuu walioshindwa kuurudisha mkopo ule usio na dhamana wala riba!
 
Huyu jamaa ana mbinu za medani..na snapihana vita muda mrefu sanaaa..namuogopa mimi
 
Hakika Edward Ngoyayi Ni Jiwe Walilolikataa Magamba! Wapambe wake wanapenda kumwita Edo huku kule kwao Monduli akijulikana kama Laigwanani Mkuu. Hakika sasa Magamba wote wakiongozwa na Nnauye Jr wanatetemeka Maana hawana uhakika ni lini Hilo Jiwe Walilolikataa litawaaangukia na kuwaponga ponda

CC:
zomba chama Ritz

Ndungu yangu Albedo,
Kwa hiyo umekiri mwenyewe Lowassa, ni mtu makini inasikitisha mnamtosa Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom