Edward Lowassa: Bora kuwa na Rais kama Kagame ili tuendelee

Ni mahali anapolala, anapokula, kufua nguo na kuishi Waziri Mkuu wakati yupo madarakani, ni miji miwili tu.
Kwa uelewa wangu mdogo najua IKULU ni moja tu. Ni makazi na ofisi ya Rais wa nchi. Sidhani Kama kuna kitu Kama "IKULU ya PM"!!
 
Sasa hivi Lowasa anajitahidi kila njia kuonyesha akipewa nafasi atakuwa rais mzuri lakini yeye ndiye alikuwa mshiriki muhimu wa kumwingiza rais wa sasa kitendo alichofanya cha kutukosesha rais mzuri kama Salim Ahmed Salim sintomsamehe kamwe,alitoa rushwa,alimchafua na sasa hivi anatumia makanisa na viandishi uchwara ili apate madaraka makubwa kwanza atueleze juu ya uhusiano wake na wasomali wanaomlipa pesa na pesa alizokamatwa nazo mtoto wake london aache kutupiga porojo kwani tunajua alisomea sanaa kwani hiyo asituletee usanii wake
 
Kwa uelewa wangu mdogo najua IKULU ni moja tu. Ni makazi na ofisi ya Rais wa nchi. Sidhani Kama kuna kitu Kama "IKULU ya PM"!!
KAZI KWELIKWELI yaani hata Zanzibar Rais wao anakaa Magogoni? unajua kuna Ikulu Moshi, Chamwino, Lushoto nk
Km nilivyosema kuna Ikulu ya PM Magogoni na Dodoma na kote kuna Wafanyakazi, Maafisa (MniIkulu) mpaka Bajeti zao na hata magari yao yana Herufi ST au ya escort E-1 mpaka 4 huko sitaki kuendelea hakunihusu maana mada sio hiyo.
Hata hivyo nashukuru kwa kunielimisha zaidi km nyumba wanazoishi kikazi wakiwa Madarakani zitaitwaje?
 
Mkuu, kuwepo hata IKULU 200 mikoani kote Tanzania. Lakini IKULU ni majengo anayoishi na zilipo ofisi za Rais. Zanzibar kuna Raisi sio? Kwa hiyo kuna IKULU. Ninachoshindwa kuelewa na kukubali ni hiyo IKULU ya PM. HAKUNA KITU KAMA IKULU YA PM. Usitake tuanike kazi zetu humu.
 
quote_icon.png
By Borat69
Kwa uelewa wangu mdogo najua IKULU ni moja tu. Ni makazi na ofisi ya Rais wa nchi. Sidhani Kama kuna kitu Kama "IKULU ya PM"!!

Mimi naona Mada haikuwa hiyo ila inasema
icon1.png
Re: Lowassa asema bora kuwa kama Kagame ili tuendelee!

sasa kazi yako mm sitaipendelea kuijua kwa sababu, nimeelezea EL alivyomfukuza kazi Mpishi wake katika makazi ya Waziri Mkuu ya hapa Dodoma jirani na Mamalaka ya Maji (DUWASA)
Baadae ukasema ikulu ni 1 tu mara hata zikiwa 200 bado unakataa hakuna Ikulu ya Waziri Mkuu
Naomba uniambie maana ya Neno Ikulu (Ikulu ya Chamwino, Ikulu ya Lushoto na hizo 200 unazikubali) ndio nikutajie kuanzia Ikulu ya Mtemi Mirambo, Mtemi Mazengo, Mtemi Marealle
Maana tunachobishana sikioni ndio maana nasema wiki hili MMETUMWA WENGI kuitetea mada ya kugombea urais 2015 mbona muda bado?
 
Tusirudie makosa tena, tuweke vigezo vya mtu amefanya nini.

Lowasa namkubali, ndani ya miaka miwili alifanya kazi kubwa na kuisimamia.

1. Aliweza kufuatilia mkataba uliotuzuia kutumia maji ya ziwa Victoria uliowekwa mwaka ...... na ukatenguliwa. leo
watu wa Shinyanga wanatumia maji bwerere.
2. Aliweza kusimamia uanzishwaji wa shule za kata,natumaini angewezesha hata walimu kuwepo ktk shule hizo.
3.
lakini kwenye richmond hata kama hakuiba ila alitolewa kafara bado kwa namna moja au nyingine alishiriki na kwa vile hatuna uhakika wa ukweli au uongo hatuwezi kumuamini.bado nashindwa kumuamini yeyote kutoka ccm na ikitokea bahati mbaya wakamchagua mwanamke tutazidi kuzama kabisa maana tutarajie utawala wa remote kama yanayotutokea kwa makinda.
 
Back
Top Bottom