Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

lowasa atatawala makaburi yetu mwaka 2015, kamwe hatakuwa rais wa nchi hii damu zetu bado zikizunguka kwenye mishipa ya arti na veins!!!!!!!!!! never never even on our dead bodies

hahaa ndo rais wako huyo 2015...huyu jamaa ni stratergist sana...Sitta hatakaa amsahau maisha yake yote..alimwambia hata kuwa spika bunge lijalo na kweli ikawa ,,,sasa subiri come back yake 2015
 
Hapana kuna baadhi ya post ambazo si lazima ziende upinzani. Post zote ambazo zinahusu fedha kama hiyo aliyopata Zitto na ya serikali za mitaa, na chochote kile ambacho kina some sort of another look on how public funds are spent,i has to go to upinzani!
 
Watanzania wenzangu,

Leo tunacheka naomba tujiulize implication na outcome ya huu uteuzi uliofanyika.

1.Yatupasa kutegemea vifo vya gafla kwa watu wetu wengi ambao ni against goverment will.
2. wizi wa madini na fedha za serikali kwa kiasi ambacho hatuwezi kukieleza.

Watu hawa (CCM ) ni watu waliojaa hila kila kunapoitwa leo hawajafanya makosa kumteua Lowassa katika nafasi hii,naamini atakwenda kusimamia mauaji kwa ufasaa zaidi kama yalivyokusudiwa,na kutengeneza njia chafu nyingi za kutuangamiza kwa mauwaji ya kinyama kama alivyo kwisha anza.

Lakini pia Eneo la madini,wapo watu wangependa kuendelea kulinda uwozo wa mikataba mibovu ya madini,ili mradi tu percent yao ya kila siku iendelee kuwapo.

Hali hii ni hali ambayo siyo nzuri inatisha na kuhuzunisha,ni msiba mzito wa kitaifa ambao kila mtu kilio hiki kitamgusa.

Watanzania tuamke na kutoa tafsiri ya haya yote kwani ndani ya mda mdogo mengi twaja kuyashuhudia.


Ee Mungu Nusuru Taifa letu la Tanganyika.

....Manabii wa Uongo wapo kazini....

Usichokijua ni kama usiku wa giza,saa yaja ukweli utabaki kuwa ukweli.

...Uongo utabaki kuwa Uongo full-stop...
 
Kumbe EL ile kujiuzuluu ilikuwaa na utashi wake mwenyewee!!! Leo kapita BILA KUPINGWA..LOL!!! CCM wanaonekanaa kumpendaa sanaa huyu mwenzao ukiondoa wale akina SIX na MWAKY. Nimpongezee kwa hii come back style aloifanya..magazeti hata hayakushtukiaa mapemaa watujuzee!!! chenga ya mwilii kwa Mwanahalisi!!!!!!!

Hao ndio Ma King Maker, siasa bila unafiki naona haiwezekani!!!!
 
January Makamba hata kabla ya barua yake haijajibiwa anawekwa mwenyekiti kamati ya Nishati!!!!!!!! au ile barua ilikuwa danganya toto?
Ile barua ilikuwa danganya toto imetoka top heading kwenye gazti la mtanzania na ukiona gazeti la mtanzania top heading inasifia au kupongeza jua ni mzunguko wa wezi wa nchi kupata dili fulani huenda nia ni kumg'a fisadi mwenzao Ngeleja au wameona kwa moto wa Dowans huu waje wamtoe mwenzao kafara
 
Tunamshukuru Bwana wetu kwa kutujalia mambo haya. Vita hii si vita ya nyama bali vita ya kiroho. Baada ya mda si mrefu tutatangaza ushindi. Kwani ni nani anayewataka mafisadi tena katika zama hizi? Mungu apewe sifa.
 
Hayawi sasa yamekuwa. Huu ni wakati wa kujipanga and to act. Time to act! Na mapinduzi si lelemama, mfano laivu Egypt. Scarifice zimetosha sasa, kwa maana tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha. Sasa tuchoke na tatake mapinduzi. Mapinduzi ya kweli ambayo yatatutoa kwenye hali ya unyonge na kutupa nguvu.... mengineyo changanya na haya yamesemwa siku nyingi. Tutafakari na tutekeleze!!
 
tunamshukuru bwana wetu kwa kutujalia mambo haya. Vita hii si vita ya nyama bali vita ya kiroho. Baada ya mda si mrefu tutatangaza ushindi. Kwani ni nani anayewataka mafisadi tena katika zama hizi? Mungu apewe sifa.

amina
 
Ningependa kujua hizo posts ndio zingeenda CHADEMA zote kama ile kanuni isingebadilishwa au ndio ingekua hivyo hivyo?

Mkuu wengi humu ndani hawajui kama usivyojua wewe ni wachache sana wenye kuelewa kilichotokea jana. Jibu ni hapana!
 
Hapana kuna baadhi ya post ambazo si lazima ziende upinzani. Post zote ambazo zinahusu fedha kama hiyo aliyopata Zitto na ya serikali za mitaa, na chochote kile ambacho kina some sort of another look on how public funds are spent,i has to go to upinzani!
Na PAC je? sio lazima iende upinzani?
 
5. Mpambe mwingine wa Lowassa na Rostam Aziz, January Makamba, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ili amfukuze kazi Ngeleja na kumuweka waziri wao mwingine na azime issue za Dowans/Richmond.
[/B]
ungejua kwamba ngeleja ni "mtoto" wa hao mafisadi na walianzia zamani wakati dogo anapractice sheria... !!! Huyo anapewa tu mlinzi zaidi ili wale vyema
 
Mkuu wengi humu ndani hawajui kama usivyojua wewe ni wachache sana wenye kuelewa kilichotokea jana. Jibu ni hapana!
Jibu ni ndio zingekwenda CDM kwa sababu wao pekee wangekuwa wanatambuliwa na kanuni kama kambi rasmi. Kwa hiyo wagombea wote wangetoka "kambi rasmi"
 
Tunamshukuru Bwana wetu kwa kutujalia mambo haya. Vita hii si vita ya nyama bali vita ya kiroho. Baada ya mda si mrefu tutatangaza ushindi. Kwani ni nani anayewataka mafisadi tena katika zama hizi? Mungu apewe sifa.

Maneno yako yanatia moyo.... Nami nasema AMEN!
 
Kafulila, Cheyo, Hamad wanayumbisha upinzani kwa sababu majimboni kwao wananchi huwa hawachagui chama ---wanachagua mtu.

Let's take note of all thise shit.

CCM will pay more price in 2015.

Enzi za ufala kwa Watanzania zilishapita.

Kila wanachofanya CCM na washirika wao tunajua kama ni dhambi ama haki.

Wanachofanya sasa ni dhambi, na Mshahara wa dhambi ni Mauti.

Punguza jazba na ushabiki usio na maana, bunge lilicho fanya ni sahihi kwa ajili ya kuimarisha upinzani na umoja wa watanzania. Ubinafsi na kujipendelea wewe tu sio desturi zetu, please take note !
 
Back
Top Bottom