Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

lowassa ameshinda uenyekiti kamati ya mambo ya nje.wakati huo huo serukamba amemshinda ANNA KILANGO kwa kura 1 na kuwa mwenyekiti wa miundombinu.zitto ameshinda POC

source???????????????????????????????????
 
Asante Kiranja, ushindi wa Zitto POC ni uthibitisho kuna wana CCM wameamua kuachana na unazi na kuchagua mtu. Jana usiku kucha wamekuwa wakitumiana sms za msisitizo PAC -Cheyo, LAC- Mrema na POC- CUF.
 
halafu mnasema mna wabunge wa kutumikia wananchi kweli? How the hell did they give EL that post? Its absurdy, absurdy.. Absurdy!!!
Yaani ni upuuzi kwenda mbele. Pamoja na kelele zote hizi hawa wabunge wanampa post EL? hawa ni wa kuwazomea wakipita mitaani mpaka waelewe kuwa hatuwathamini tena kama wawakilishi wetu (namaanisha wale wa chama twawala)
 
kama hamjajua ni kuwa kamati ya uongozi ndio hupanga kazi za bunge na hivyo upo mkakati wa kuteka bunge . watch out ngoja tujue nyingine mambo yanaendaje huko.
 
ni kuwa mnaohoji source ni mimi i m a well placed source. LOWASSA kapita bila kupingwa baada ya kina ngwilizi kujitoa.
 
lowassa ameshinda uenyekiti kamati ya mambo ya nje.wakati huo huo serukamba amemshinda ANNA KILANGO kwa kura 1 na kuwa mwenyekiti wa miundombinu.zitto ameshinda POC
Si kila mmoja anayajua ya mjengoni so wekeni na virefu vyake
 
JANUARY MAKAMBA mwenyekiti nishati na madini na LYATONGA AMESHINDA LAC.
 
JANUARY MAKAMBA mwenyekiti nishati na madini na LYATONGA AMESHINDA LAC.

January Makamba alijitafutia Ujiko juzi. Amepewa haki yake lakini sidhani kama atafanya chochote ila kwa maelekezo tu. Lyatonga sidhani kama kuna jipya hapa. Zitto anaweza sana, tunamhitaji.
 
halafu mnasema mna wabunge wa kutumikia wananchi kweli? How the hell did they give EL that post? Its absurdy, absurdy.. Absurdy!!!
its really crazy how EL bado anaaminiwa na kupewa nyadhifa katika hili bunge

Kuanzia leo siangalii bunge kwa siku saba kupinga na kulaani ushuzi unaofanywa na watu tuliowaamini watulindie nchi
 
its really crazy how EL bado anaaminiwa na kupewa nyadhifa katika hili bunge

Kuanzia leo siangalii bunge kwa siku saba kupinga na kulaani ushuzi unaofanywa na watu tuliowaamini watulindie nchi

Mkuu, usichokijua ni nini??? Kwamba CCM ni chama cha Mafisadi au Mafisadi hawana Nguvu Bungeni???
 
ni sawasawa mi kuwa na maswahiba waharibifu.....ikitokea sherehe siwezi kumualika mtu mwingine, lazima niwaalike maswahiba hao hao....hata kama waharibifu.......yaani msiombee mkawa na maswahiba waharibifu, kama uko loyal lazima ufe nao.....ndio kinachowatokea CCM kwa sasa.
 
maana ya uchaguzi huu ni kuwa MEMBE na SITTA atakuwa chini ya lowasa
 
lowassa ameshinda uenyekiti kamati ya mambo ya nje.wakati huo huo serukamba amemshinda ANNA KILANGO kwa kura 1 na kuwa mwenyekiti wa miundombinu.zitto ameshinda POC

....:A S thumbs_down:the beginning of the end has arrived:A S thumbs_down:
 
Back
Top Bottom