Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

EL ipo siku 2tampiga risasi afe mshenz mkubwa yule, malaya kwanza ana ukimwi. mbwa yule na mwenzake walikataliwa na baba wa taifa kuiongoza hii nchi

weee, hata kama ni hasira hebu punguza mzuks, kumimina mazito yote haya ya nini? Heeeee!!!!!!!
 
nasema na ntaendelea kusema LOWASSA ni bora kuliko Pinda,lowassa fisadi mchapakazi, Pinda ana support ufisadi tazama Dowans kwa hiyo ni fisadi tena ni mvivu,anajiliza,hawaonei huruma watoto wa maskini na anajipendekeza sana kwa viongozi wa makanisa ili aonwe msafi
Hivi UZURI au UBAYA wa Lowasa unatokana na weaknes za Pinda au Utendaji wa Lowasa mwenyewe..........???? Comparison inatakiwa iwe kati ya unachokifanya/kitenda na unachotakiwa kukifanya/kitenda............ HAYA KAMA ULIVYOSEMA PINDA ANAJIPENDEKEZA KWA MAKANISA..............NA LOWASA KASABABISHA RICHMOND AND NOW DOWANS WHICH HAS LED TO PAYING 94Bl...............
 
EL ipo siku 2tampiga risasi afe mshenz mkubwa yule, malaya kwanza ana ukimwi. mbwa yule na mwenzake walikataliwa na baba wa taifa kuiongoza hii nchi

Mnyone mnyongeni haki yake mpeni.......................... Haya matusi uliyoyarusha hayawezi kutubadirisha hili tunalowaza juu ya huyu mtu sana sana umetuongezea idadi ya watu tunawatilia shaka juu ya AKILI ZAO
 
nasema na ntaendelea kusema LOWASSA ni bora kuliko Pinda,lowassa fisadi mchapakazi, Pinda ana support ufisadi tazama Dowans kwa hiyo ni fisadi tena ni mvivu,anajiliza,hawaonei huruma watoto wa maskini na anajipendekeza sana kwa viongozi wa makanisa ili aonwe msafi

Kwa nini mara zote unapenda kumfananisha EL na Pinda? Tumeshaona kweli EL ni bora kuliko Pinda. Lakini ina maana hakuna watu wengine humu Tz zaidi yao?
 
EL will never cleansehimself with whatsoever clean detergent that'll make him super clean... jamaa ni mchafu kuliko yeye mwenyewe anavyojitambua. Wakati alipokuwa akihojiwa na Tido Mhando kuhusu anajisikiaje na maamuzi aliyokuwa akichukuwa wakati akiwa PM kuhusu RICHMOND; alijibu kwamba akirudishiwa kazi kama ile atachukua maamuzi yaleyale bila kuyajutia. Just imagine.....

Anachukia mno media inayoandika habari in perspective! Kumwita mwizi ni mwizi yeye anaona anatukanwa. Hivi huyu jamaa ukimuuliza alikopata mitaji ya biashara anazotunisha kila kukicha anaweza kukueleza kinaga ubaga? Je upande wa kodi umekaaje?

Ndg zangu watanzania, siku EL akiwa president jua kwamba hata ile nyumba yake ya kizungu inajitokeza hadharani. Sijui ndiye atakuwa 1st lady?
 
Ndg zangu watanzania, siku EL akiwa president jua kwamba hata ile nyumba yake ya kizungu inajitokeza hadharani. Sijui ndiye atakuwa 1st lady

kwa hiyo wewe unaona wivu au wewe ndio unautaka huo u festi ledi maana hii ipo out of konteksit kabisa.
 
Hivi UZURI au UBAYA wa Lowasa unatokana na weaknes za Pinda au Utendaji wa Lowasa mwenyewe..........???? Comparison inatakiwa iwe kati ya unachokifanya/kitenda na unachotakiwa kukifanya/kitenda............ HAYA KAMA ULIVYOSEMA PINDA ANAJIPENDEKEZA KWA MAKANISA..............NA LOWASA KASABABISHA RICHMOND AND NOW DOWANS WHICH HAS LED TO PAYING 94Bl...............
lowassa ni waziri mkuu aliyekuwa akitambua maana ya cheo chake thats why maofisa wenzie serikalin walimwogopa.
Pinda alisema tuilipe kampuni ambayo bunge lilishasema ni haramu, Mkulo hamwogopi Pinda akasema pesa hana labda Ngereja alipe kwa wizara yake. WAZIRI MKUU LAZIMA AWE NA UJASIRI
 
Back
Top Bottom