Lowassa anasafishwa!

Kosa la mzee Edward Ngoyai Lowassa ni UTENDAJI KAZI wake uliotukuka.
Hilo tu ndilo lililomponza.

wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,
 
wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,

Ajabu ni kwamba mimi najitekenya ila anayetekenyeka ni wewe!
Halafu kajifunze kuandika kwanza ndio uje kuniquote tena.
 
Si kila mtu ni msemaji/muongeaji wengine ni watekelezaji tu hawakurupuki na maneno vitendo ndiyo vinaongea

Tatizo la Lowassa si kwamba hajui kuongea la hasha kuongea hawezi kwa sababu ni mgonjwa.hata kama angekuwa mzima lini umesikia lowassa kaongea point ya maana zaidi ya pumba? Ikulu siyo wodi ya wagonjwa
 
Nakusanya data nitazimwaga hapa jamvini kuhusu huyu Lowassa,Mtu amechuma kiasi hicho haridhiki naona anachotaka ni kupa nafasi ya kulipiza kisasi kwa wapinzani wake,ila asome vizuri alama za nyakati kwani ameshashutukiwa hata na JK mwenyewe alipotaka awe Rais wa kipindi kimoja tu.

Na ukirudi urudi Na ushahidi wa kutosha la sivyo .......
 
View attachment 273070

Salaam Jamii Forums.

Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.

Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?

kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.

kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?

mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.[/QUOTE

Chuki binafsi tu kwa mzee Ngoyai.............huyu ndo rais ajae[/QUOTEtu

wewe sio mwanasiasa na kama ni mwanasiasa basi wewe ni wale wanafiki,haiingi akili watu wakuchukie wewe tangu 1995 adi 2015,
basi sis waumini wa dini tunasema wewe sio changuo la mungu haiwezekani,
unajua binadamu yeye akiwa na uwezo wa pesa anajiona yeye ndo yeye wengine hawana maana na ndo tunayoyaona huku tunapoishi ,na lowasa yuko hivyohivyo anajiona yeye ndo bara kuriko wengini,
mtu msafi na anayekubalika hata kwa mungu haitaji mapambo nuru ya bwana iko nae kila kona kila anaemuona anasema kweli huyu ni changuo la mungu,mimi ninaamini lowasa sio changuo la mungu kuwa rais hata afanyeje atumie pesa zake zote haitawezekana,
nani hao wanaomchukia lowassa?! nachojua mimi robo tatu ya wanaccm ni wapenzi na wafuasi wasiobadilika wa lowassa. Hata baada ya kulazimishwa, dodoma, na JWTZ na polisi ili wamsaliti lowassa bado walisimama na lowassa na sasa wamehamia naye ukawa ama moja kwa moja na/au kupitia sanduku la kura tarehe 25 Oktoba.
 
Tatizo la Lowassa si kwamba hajui kuongea la hasha kuongea hawezi kwa sababu ni mgonjwa.hata kama angekuwa mzima lini umesikia lowassa kaongea point ya maana zaidi ya pumba? Ikulu siyo wodi ya wagonjwa
robo tatu ya wanaccm wanamtaka lowassa awe rais.
 
wewe unajitekenya tu,utendaji upi wa lowasa wakuwa watu sumu? hata mungu hapeni mkono wake unanuka damu ,kamwe hawezi kuwa amri jeshi mkuu,
wanaosema lowassa ni mtendaji mzuri si wana ukawa peke yao bali hata wana ccm wenyewe. robo tatu, na zaidi, ya wanaccm wanaukubali uchapakaji kazi wa Legwanan
 
Lowasa amejisafisha vizuri maana amesema mwenye ushahidi wowote kwamba yeye Lowasa ni fisadi aende mahakamani, kama hakuna basi kimya kisikike acheni vuvuzela, shut up and keep quite
 
Lowasa amejisafisha vizuri maana amesema mwenye ushahidi wowote kwamba yeye Lowasa ni fisadi aende mahakamani, kama hakuna basi kimya kisikike acheni vuvuzela, shut up and keep quite
hawawezi kwenda kwani wakifanya hivyo watakuwa wanamchoma mtuhumiwa namba moja
 
Ukikatwa ccm unaenda chadema ukikatwa chadema unaenda act huko nako wakikukata unaenda wapi..? Hizi ndiyo siasa za bongo..Mungu ibariki afrika na ibarikie Tanzania kuvuka kwa Amani mwaka huu wa uchaguzi 2015
 
Back
Top Bottom