Lowassa anapuliza huku na huku, CHADEMA na CCM?

Ni aina gani ya SIASA tunahitaji ili kuwa na TANZANIA MPYA YA NEEMA KWA WANANCHI WAKE WALIO WENGI??

Hizi siasa za kinafiki za CCM binafsi zimenichoshaa na kama EL anataka kujenga aina ya siasa mpya either kwa kuipa CDM mbinu au kwa yeye kupambana na wenziee hukoo CCM, basi ni wakati mwafaka huu ili wananchi tuwezee kuelewaa na kuchagua vema.

CCM ni unafikiiii mtupuuuuuuu...na EL analijua vema hilo kwani naye ni sehemu ya gonjwa hilo ila baada ya kuwa majeruhii ametambuaa inawezekanaa kuliondoaa na nchi ikasonga.

Binafsi naaaminii EL ana uwezoo wa kutubu (kwani alishaanza kwa kujiuzulu mwenyewee uwaziri mkuuu) na sasa amekuwa akitoa matamkoo kinzani na serikali yake.

Anaelewaa vemaa udhaifuu wa JK na anajuaa vema mbinu ya JK kumzuia kuupata Ugombeaa urasii wa chama chake akitaka 2015!!! habarii ndo hiyooooooooooooooooooooooooooooo....
 
Back
Top Bottom