Lowassa anaona mbali

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
sasa naona kwanini lowasa anapingwa na wanaccm mle ndani,lowasa hawezi kukubali mawazo ya mwanakwaya komba au mtu kama lusinde nape na wengine wa aina hiyo.sababu upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana,lowasa aliposema ajira kwa vijana wapuuzi ndani ya ccm walimpinga sasa kwa mlango wa nyuma wanaanzisha jkt,wanapigania ajira kwa kutumia bodaboda hili si suluhisho kwani jkt ni kuwaweka pamoja bila future ili ccm iwatumie kuiba kura na kutumia bodaboda kutorosha masanduku ya kura.hivi ma dr wote na maprofesa ndani ya ccm hamuoni huruma kwa future ya vijana wetu kwa mpango huu iwapo ccm ya akina lusinde ikirudi madarakani tutegemee ya congo,mali,misri,algeria kwani hakutakuwa na mwelekeo:frusty:
 
Lowasa anaongea hayo baada a kutoka ktk uwaziri mkuu hivi ktk kile kipindi kifupi alipokua waziri mkuu si alikua bize na richmond vijana hakuwaona kama bomu baadae leo ndio anahanyahanya na majanki!akae pembeni kichwa kilichosababisha matatizo aleyale ndio kipewe nafasi ya kutatua matatizo yaleyale!
 
Kweli Lowassa ananyamaza tu kwa ukomavu wake kisiasa na kielimu, ana mengi anayoyamezea kwa sasa
 
Wakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?

Kibanga Msese
Aliibadilisha shule ya Mkwawa kuwa chuo kikuu nahisi hizo ni ajira elfu mbili mpaka sasa na ongezeko kwa kipeuo cha pili cha idadi hiyo kwa miaka kumi kwa kuzingatia ajira za watakaofundishwa na hao walimu. Lowasa anayo mazuri yanayoonekana aliyoyafanya jumlisha na nidhamu serikalini sio hii Hali ya ukambale tunayoiona sasa
 
Hata Mkapa naye aliweka nidhamu ya woga serikalini kama hicho ndiyo kipimo cha EL....na kama kubadili shule kuwa chuo kwa muda wote aliokuwa madarakani ndiyo tija hasa ajira kwa vijana, teh teh teh....! Ni vema aliyonayo moyoni akayasema sasa ili watanzania wayajue kuliko picha ya Ricmond waliyonayo juu yake. Watanzania wa leo ni waelewa sana kama kuna mahali amekosea aombe radhi, kama hana alipokosea ajieleze kwa wapiga kura wake watarajiwa kuliko kuzunguka msitu.

Kibanga Msese
 
hahaha na bado walijenga shule za kata then mwisho wa siku wote failures hilo ni bomu jingine:wink2:

  • :wink2:
 
Wakati EL akiwa Pm alifanya nini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira, ili awe na nguvu ya kuwasema wenzie katika hilo?

Kibanga Msese

kama hujui EL aliyoyafanya katika muda mfupi akiwa pm ugonjwa wako nadhani tiba yake ni kifo hakuna dawa itakayokuponya
 
Lowasa anaongea hayo baada a kutoka ktk uwaziri mkuu hivi ktk kile kipindi kifupi alipokua waziri mkuu si alikua bize na richmond vijana hakuwaona kama bomu baadae leo ndio anahanyahanya na majanki!akae pembeni kichwa kilichosababisha matatizo aleyale ndio kipewe nafasi ya kutatua matatizo yaleyale!

Kwanza ndugu yangu Mungongo wewe una elimu gani? kwa maana ni vizuri kujuana viwango vya elimu ili tuongee kwa kiwango chako cha Elimu.
Hoja hapa si nani alifanya nini hapa ni tatizo la vijana kukosa Ajira ni ukweli ulio wazi ambao hata wewe juu ya kuandika pumba hizi huwezi kuukataa, sasa kama EL aifanya lolote ama hakufanya lolote lakini tatizo hilo lipo na anajaribu kuwakumbusha hata wale ambao wanajifanya hawalioni kama wewe na hata yeye EL.
Hoja ya msingi sana hiyo utaisaidia Tanzania zaidi kama utachangia kuwa tatizo hilo lipo na ni kubwa sasa tufanyeje kukabiliana nalo hata kama aliyelisema si NEPI ama MUkwama mbovu, ama yeyote. sasa kama unayo elimu ya kutosha nenda kwenye thread nyingine ili utoe maoni yako yatakayo somwa na watanzania yawasaidie, siyo kupinga kila kitu kwa vile aliyesema siyo Nape.
 
Sio mimi tu kuwa sijui cha mno alichofanya EL naamini watanzania wengi hatujui....na wengi tutauwawa...! Ila kwa hakika nafahamu kama watanzania wengine kuwa yeye ni Waziri Mkuu mjiuzulu kwa kashfa ya Richmond, na sio mstaafu. Sasa inawezekana kashfa hizi kabebeshwa na hausiki, hivyo basi ni kwa yeye kutafuta platform ya kujinasua na kuwaeleza watanzania ukweli kutohusika kwake....lakini ukisema yeye ni jembe, ukisema yeye for president....sawa, lakini je watanzania wanamwelewaje na makando kando yanayomzunguka ili wamkubali na kumpigia kura kwa wingi?

Kibanga Msese
 
KAMA LOWASA ANGELIKUWA RAISI WA TANZANIA CCM ISINGEKUWA KATIKA MGOGORO ILIYONAYO SASA NA SERIKALI YA TANZANIA ISINGEKUWA NA MATATIZO YA UONGOZI NA KWA KUWA LOWASA SIO DHAIFU KAMA KIKWETE:bump:
 
NIELEZENI NI WIZARA GANI TANZANIA AMBAZO LOWASA ALIZIONGOZA ALIPATIKANA NA KASHFA YOYOTE HILI LA RICHMOND NI MIPANGO YA CCM CHINI YA KIKWETE ILI CCM ILIPE DENI LA KAMPENI WALIZOTUMIA KUMUWEKA MADARAKI LOWASA NI MSAFI ILA KIKWETE NI DHAIFU:bump:
 
Back
Top Bottom