Lowassa amwaga pombe na nyama choma kushawishi makada wa ccm wamuunge mkono-mwananchi

kwa hali tuliyofikia watanzania kwa sasa, Lowassa ndiye mwenye uwezo wa kututoa kutoka kwenye uongozi uliojaa NEGATIVITY nyingi kwenda kwenye POSITIVITY. Time will tell
 
Kwa taarifa kutoka kwa watu wa karibu na Bro Edo, ni kuwa madaktari wamemshauri aache pombe na red meat. Nb: soko la hennessy limepungua.
 
Adobe,
Acha topic za Lowassa ziwekwe, maana jamaa wanamuota mwanaume mwenzao usiku.

Msije mkaanza kutembea huku unaimba Lowassa kidume Lowassa kidume! Mie sidhani kama Lowassa anajipeleka makanisani au huko anakoitwa. Wakatazeni maaskofu ma wachungaji wasimuite basi.

Kwa akili hizo za kufikiria ndio mnataka aje rais anayefikiria kama nyinyi! Duh!!

swali ni kua kwanini wanamuita Lowassa tu? Jiulizeni kama hamna majibu niwasaidie. ANATHUBUTU NA ANAWEZA
 
Mohamed Raza jimboni Uzini anagawa Khalua, Tende na tzs 15,000 na dau lapanda kwa kila anaepita maeneo yake, huku akitoa anatangaza mie kura sinunui. sikuwepo ni taarifa nimepewa na watu wa huko
 
Kumbe huyu bwana anawalaza watu macho? kila mara Lowassa, Lowassa,Lowassa mnamtaja mwanamme mwenzenu kila siku loh!
amekua maji kama hukunywa utakoga, wako wengi ebu watajeni hatuja wasikia huyu Lowassa tena apumzike....
 
Huyu jamaa bana mimi huwa namkubali kwa kitu kimoja "UTHUBUTU" hasa kwenye mambo magumu. Najua hakuna aliye msafi nchi hii 100% ila sema wengine hawajaanikwa tu ndio maana hatuwajui. Akifanya yafuatayo mimi nitampigia kura tena nitamfanyia na kampeni japo kwa watu wanaonizunguka.

1. Atuelezee ukweli wote kuhusu lile deal na kila mmoja alivyoshiriki. Asimung'unye maneno wala asimhifadhi mtu. .
2. Atuahidi kuwa atafuta mikataba yote ya kinyonyaji HASA YA MADINI nakuingia mingine yenye faida kwa nchi.
3. Aahidi kutumilikisha ardhi kwa utaratibu rahisi wa bei nafuu na sio ardhi yetu hasa yenye rutuba kupewa wageni.
4. Aahidi kutokulipiza visasi kwa wabaya wake maana nao wanafamilia na majukum kama yeye.


Kwa kuanzia na hayo anaweza kunishawishi kumuunga mkono.
 
Mi sijamuelewa mleta mada hii, kichwa cha habari ya mada yake ni tofauti na mada husika. Habari hiyo haijamtaja Lowasa, imetaja kigogo. Sasa mbiombio kwa Lowasa zote za nini. Ama kweli anawanyima usingizi. MUTAKI MUNANI KANGE NZILA!!!
 
Nape anamuogopa sana huyu mzee..yani Nape anapozungumzia issue zinazomtachi Lowasa uwa anatazama pembeni kama kuna mtu anamsikia..lol!!
 
kwa hali tuliyofikia watanzania kwa sasa, Lowassa ndiye mwenye uwezo wa kututoa kutoka kwenye uongozi uliojaa NEGATIVITY nyingi kwenda kwenye POSITIVITY. Time will tell
Tupo watanzania takriban 40mil hv lazma wawe ni hawa hawa waliokaa madarakan miaka nenda rud??mbona hawa ndo wametufikisha hapa tulipo??au wewe ndo unataka hali hii??Lowassa kawa waziri miaka mingap??did you see any significant change au ni ushabiki tu??Hebu tufikirie wapya jaman hawa waliokwisha ishika hii nchi ktk ngaz mbali mbali tushaona utendaji wao. Nadhani hakuna utendaj unaoguarantee kututoa hapa, so far had sasa woooote wa magamba wanaelement za wizi. Bora tujaribu na wengine pls.

Usisahau kuwa Lowassa atafanya kazi na mijizi hii hii ya magamba kuanzia ngazi ya taifa had shina, atalipa fadhira wa waliomwezesha ambao ni majiz ya siku zote. Mimi nadhan anaye mpigia chapuo Lowassa must be crazy mana hata alipokuwa waziri mkuu hakuonesha significant impact. Yeye mwache akeshe makanisan tu aone km makanisha yatamtoa, makanisha yenyewe siku hizi yameshapoteza mvuto, wao kikubwa ni pesa tu atakama mtu anapata pesa haram wao wanajifanya hawajui na wanachohtaj ni fedha kwa njia zozote. Yaan kwa kupitia makanisa njaa ndo atapoteza sifa mazima mana wengi weshaona ubabaishaj wa makanisa ya sasa. Huyu akigombea urais vijana wote tutakuwa wapiga kampeni against yeye.
 
Back
Top Bottom