Lowassa amchangia Mufti Simba 13mil

Your are out of your mind to support this donation, this is a guy who is holding this country in ransome.
There was no need for you to attack me on my opinion, you should have challenged the opinion instead. By the way how much have you contributed towards the development of orphanages (anywhere)? Hate the Man, think of The needy!
 
Big up lowassa
Hivi kabla ya Richmond lowassa hakuwa na hela? ...hata richmond ilikuwa ni hadithi ya kutunga,wale makanda walokataa mitambo isinunuliwe eti ni kukiuka sheria ya manunuzi ya umma,hivi leo symbon walivyonunua hiyo mitambo ni lini sheria ya manunuzi ya umma immerekebishwa kuruhusu kununua mitambo michakavu tena?
Kweli wa tz ni wepesi kuwadanganya

Pole pole mkuu, Symbion haibanwi na sheria ya manunuzi kwani si idara ya serikali wala shirika la umma. Kwamba Lowasa alikuwa na pesa au la kabla ya richmond si la muhimu sana. Issue ni jinsi alivyozipata pesa hizo.
 
kwa mujibu wa TBC ni shule ya kiislamu ipo kigamboni ila imepewa jina la kikristo yani EDWARD LOWASSA ISLAMIC SCHOOL kweli pesa si mchezo..

Mkuu dini imeingiaje hapo kwani yatima ana DINI?
 
Mwaka 1995, Julius Nyerere alitamka kwamba Edward Lowassa HAFAI kuwa kiongozi katika Nchi hii kwasababu Ana Utajiri wa Kupindukia bila Maelezo kuwa Utajiri huo Ameupataje??!!
...NI LAZIMA LOWASSA AWAELEZE WATANZANIA HUO UTAJIRI ALIONAO AMEUPATAJE???
 
hiyo ni kifusi, kisha grader itapita na mambo hayatakuwa na kikwazo cha udini siku za mbele.
 
Yote tisa, kumi ajivue gamba. Nchi hii iko hivi ilivyo kwa ajili yake. Umeme huoooooooooooooooooooooooooooo kwa ajili yake. Pokeeni lakini mjiulize fedha hizo alizipata wapi wakati alikuwa mwajiliwa wa serikali. Mufti usipokee hela za mashaka au (wizi) !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hakuna umuhimu kujua amepata wapi. Kama amepata kihalali ni sawa na kama ameiba ni kama mwizi kurudisha alishoiba. Tueleza hasa nini tatizo
 
Hizi ndio mbinu zakupata kura............kwa watu wa dizaini hii.............1) wenye uchumi mdogo 2) shule ndogo. Hapa tayari jamaa ameshajihakikishia block ya kura za Mufti. Anatafuta block jingine... come 2015 he is the president, hamna cha fisadi wala shangazi yake fisadi! siku 90 zimeshapita na 90 nyingine zitapita....haiwezekani umtoe punje ya mchanga mwenzio ilhali unagogo jichoni kwako Jei Kei na kundi lako.
 
Halafu jamaa anaonekana ametumia busara kutokuwaandikia cheki kwakua naona watu wangechungulia ziko ngapi kwenye account ndio maana akawapa cash! Yeah Money talk naona haya ndio maandalizi ya 2015!
 
Hakuna hata mmoja anayezungumzia Watoto Hao Yatima watavyosaidiwa kupata Elimu ili wajikomboe kutoka katika Wimbi la Ujinga na kujipatia Maendeleo,hvi kweli tuaacha kuijadili hiyo shule na moyo wa Kujitolea aliyojitolea EL na mrafiki zake?Hivi nyie hata Centi hamjawahi kutoa kwa Watoto Yatima hizo mnazodai nyie mnazipata kihalali?mbona hamjatoa tukaona.

Tuache Majungu jamani,hii iwe Forum ya Kupongeza Mambo mhimu ya Maendeleo ya Jamii yetu sio kutuhumu hata mambo wazi mema yanayofanyika.

Heko EL,''Watoto Yatima uliowasaidia wanajua na Watanzania Wanajua''
 
Wakati mwingine kuna wataobisha kuhusu hii habari, hii picha kwa hisani ya MICHUZI
1.JPG
 
Yote tisa, kumi ajivue gamba. Nchi hii iko hivi ilivyo kwa ajili yake. Umeme huoooooooooooooooooooooooooooo kwa ajili yake. Pokeeni lakini mjiulize fedha hizo alizipata wapi wakati alikuwa mwajiliwa wa serikali. Mufti usipokee hela za mashaka au (wizi) !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndg yangu acha Kuota mchana kweupee Shilingi 13M sio fedha za kujiuliza Mtu mwenye Kazi ya Ubunge na Waziri Mkuu Mstaafu amepata wapi?!
Ngoyai ni Mtu Muungwana na Shule ilipewa Jina Lake toka Siku nyingi!
Anazidi kudhihirisha Anafaa Kuwa Kiongozi!
 
Back
Top Bottom