Huku akitetemeka EL anasema...
" ...ni kweli Ndugu Mwenyekiti kuwa tulitajwa watu watatu kwenye NEC ya April kuwa tunatuhumiwa kwa ufisadi huko "site".... Lakini niliamini yale yalikuwa mtazamo wa baadhi ya watu lakini yalikuwa hayajathibitishwa, na niliamini yalikuwa ni kwa ajili ya vikao vya ndani, sasa wenzetu wawili Nape na Chiligati wameenda kuyatumia nje na kupita kila kona wakiniita mie fisadi... Hii imenidhalilisha sana Ndg. Mwenyekiti. Nadaiwa nilikupunguzia na kukuharibia kura wakati wa uchaguzi mkuu, kisa ulininadi mie mchafu, hili nalo limenidhalilisha sana. Sasa hatima ya hawa walionitukana kiasi hiki ni nini? ( Kikwete anacheka kwa dharau, anainama na kuuliza hoja nyingine)!!!"
My take Edward umeshauzwa kwa bei nafuu, ulipanda mbegu mbaya wakati wa mtandao, ukachafua watu ulivyotaka kisa we mwenyekiti wa mtandao, sasa unavuna ulichopanda, uliua kwa upanga utakufa kwa upanga vilevile, Mungu hadanganyiki...