Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,437
- 113,445
Mkuu Lordville, kama EL asingebeba zogo la Richmond, serikali ya CCM ingeakuga yote and all would have been loosers, kwa kubeba zigo lile, serikali imeponywa, hivyo keep calling him what you may, kwa CCM na serikali yake, he is not only a hero, but a saviour!, kama CCM ikimsimamisha 2015, hakuna mtu yoyote wa kushindana naye kutoka chama chochote, hivyo 2015, itakuwa ni CCM tena!.mkuu Pasco kwa hiyo alibeba zigo la richmond kuwaficha mafisadi??? na wewe kabisa unakubali alifanya la maana!! sisi tunawataka mafisad wafichuliwe afu yeye anabeba zigo kuwaficha...ina make sense kweli!!!! sasa kama anaficha mafisad akiwa mbunge akiwa rais itakuaje??? huu ni mgando wa mawazo na ndoto za mchana......