Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!


Igunga
 
Kaka Nape sikutarajia wewe kutanguliza maneno kama haya hapa janvini hasa hilo la wewe kuingiaje hapa? Tambua wewe ni Kiongozi katika chama tena Mwenezi. Haukupaswa kupambana na members hapa isipokuwa kutoa majibu yanayostahili kisiasa. Tunatambua mchango wako lakini pia nachukizwa na jinsi unavyowasilisha agenda hapa ukiwa kama kiongozi mkubwa wa chama. Hupaswi kuhamaki zaidi ya kuelimisha wale wenye duku duku kulingana na yanayozagaa katika vyombo vya habari. Maadam umeingia humu, nadhani ulikuwa na jukumu la ku-clear doubts kama mwenezi kwani tambua mabaya huvuma zaidi kuliko mazuri.

Jibu lilikuwa ni rahisi tu kuwa katiba imezingatiwa no matter how the process went, vile vile WanaCCM wa Arumeru wamepata fursa ya kumchagua yule wanaedhani kuwa atawawakilisha vyema. Kamati Kuu itafanya kazi yake kulingana na Mamlaka ya kikatiba iliyopewa na kisha kumtangaza rasmi mgombea atakaye peperusha bendera ya chama katika uchaguzi huo. Pia itambulike kuwa baada ya kutangazwa rasmi, huyu atakuwa mgombea wa chama na atasimamiwa na chama katika kumnadi na kupata ushindi.

Vile vile ulipaswa kujibu tetesi za mgawanyiko kama upo ama haupo full stop.

Kaka umemsaidia sana Nape maana yeye anajaa mapovu badala ya kujibu hoja aangalie kina Mnyika wanavyojibu hoja hata kama wametolewa maneno makali.
 
sarakikya ndo mgombea wa jimbo la arumeru mashariki....jina la sioi litaondolewa hiyo kesho
 
Really? Ni makundi tu, yani mapenzi tu ya watu kwa mtu bila sababu ingine yeyote?

Hakuna tofauti ya itikadi labda kati ya Siyoi na Sarakikya au profile zao, wanavutia watu kwa sababu ya background gani, Sarakikya ni nani na Siyoi ni nani politically, professionally, experientially, hakuna? Kila mmoja ana represent ideals gani? Wanaowasapoti wana wanavutwa na nini, yani wanapenda sura ya mtu na sauti yake tu? Haiwezekani man, makundi tu? Really?

Basi siasa zetu zina vina na upeo mfupi kupita maelezo. Au labda ni waandishi wa habari ndio hawatafiti hivi vitu, manake nikisoma hizi taarifa za chambuzi za kisiasa natoka mtupu, natoka kama nilivyokuja, zaidi ya kujua Sumari ni mtoto wa marehemu Mbunge, Sarakikya ni mtoto wa Mkuu wa majeshi mstaafu, basi. Kwa kweli inapokuja kwenye uchambuzi wa sifa za nani tunataka atuongoze Watanzania vichwa vyetu ndani vimejaa chawa.

Tasoumenena, mi huwa nashindwa kuelewa nini hasa wanasiasa wanasimamia, sera, ilaniau itikadi, personally mwanasiasa anasimamia wapi?yani kama tabia yake au iwekama vile unavyoambiwa flani mdini.Tumjue kiongozi wetu kabisa kabisa, nimjamaa, ni mbepari au hafungamani na upande wowote, halafu tukishamwelewa hapondo atuambie mipango yake ya maendeleo kupitia ubepari au ujamaa. lakiniutawaona watu makanisani wanapiga domo huko. Takataka kabisa, wanasiasa saazingine wanatuzingua. kama mliberali sema,kama consevative unasema,kama soshalistsema. Hatutaki porojo
 
Nape huogopi sumu?Jamaa amedhamiria kuingia pale kwa kupuktisha maadui zake mmoja baada ya mwingine.Luwasha ni nomaaaa.
Nape anafahamu nafasi yake kwa Lowasa. Anakosea tu kushabikia wazi baadhi ya viongozi kwa nafasi alionayo sasa. Nilimwona na V8 yake akimbeba Mwakyembe kwenda Airport kwenye ile safari ya kwanza ya India. Nikamwona tena kwa Gwajima kule alikokuwa amekwenda Sitta na Mwakyembe. Nafasi yako ya sasa Nape ndani ya vikao vizito vya maamuzi kuanzia secretariet, CC na NEC unapaswa kuonekana kama refa zaidi.
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!
Congratulations mimi nakuita wewe shujaa, pullup your socks young men.Lakini hivi ni kweli makundi yapo? Na udini inaelekea unashamiri sana kwa Chama Chetu. As a young leader I admire the nice job you are doing for your nation. Umejipanga vipi kuuwa makundi haya?
 
Ikibidi kuuhamishia URAIS kwenda NCHI ya Zanzibar ili kumuepuka Lowasa tufanye hivo. Kama ukurugenzi wa AICC, UWAZIRI na UWAZIRI MKUU umemtajirisha hivi; URAIS utamfikisha wapi na wanae, wakweze akina Siyoi, wapambe na maswahiba wake akina RA? Tunaitakia mema NCHI hii?

over all the thoughts ...you think of zanzibar....big No ...kuliko kuwa na rais mzanzibar bora kuwa na CHADEMA.....its another ten years of stagnation ,thats what will be ....kwani urais wa zanzibar hauwatoshi.....??......
Tungeweza kuchagua rais mzanzibar lakini siku hizi wana mdomo sana na kwao zanzibar ni muhimu kuliko... Tanzania...so wacha wabaki nayo....Umaakamu wa rais [cheo ceremonialcha kukagua miradi na kupanda miti ] unawatosha sana..
Kama rais akitoka zanzibar basi simply atakuwa ceremonial .....hataweza ku exercise tena full authority.....tutamjengea ikulu serengeti ahamie ..watalii wamtembelee
.
 
sarakikya ndo mgombea wa jimbo la arumeru mashariki....jina la sioi litaondolewa hiyo kesho
Hawawezi. Wasingerudia kura hizi za maoni. Jimbo ni la CCM(L). Hapan'shaka hata kidogo. Nafasi ya CHADEMA ni finyu mno kwa "miundombinu na itifaki" ilivyo AruMeru.
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!

bro, angalia, naanza kupata wasiwasi unazeeka na kuanza kupoteza kumbu kumbu, jina lako linasumbua vichwa mafisadi! unakichaa nini! mafisadi wapi hao? we unataka kuwa kichaa lazima, unazeeka na hizi siasa hufiki mbali unakwisha,unaongea sana na siasa zako uchwara. jina lako linaumizwa vichwa mafisadi! we ndo maandazi kabisa. bora ukae zako kimya bro
 

over all the thoughts ...you think of zanzibar....big No ...kuliko kuwa na rais mzanzibar bora kuwa na CHADEMA.....its another ten years of stagnation ,thats what will be ....kwani urais wa zanzibar hauwatoshi.....??......
Tungeweza kuchagua rais mzanzibar lakini siku hizi wana mdomo sana na kwao zanzibar ni muhimu kuliko... Tanzania...so wacha wabaki nayo....Umaakamu wa rais [cheo ceremonialcha kukagua miradi na kupanda miti ] unawatosha sana..
Kama rais akitoka zanzibar basi simply atakuwa ceremonial .....hataweza ku exercise tena full authority.....tutamjengea ikulu serengeti ahamie ..watalii wamtembelee
.
Ndio maana nimetumia neno "Ikibidi". Zanzibar tayari ni NCHI nyingine kabisa na mipaka yake. Lakini CHADEMA kwa sasa..., labda mimi nikiteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM!
 
Wazazi CDM mpo!CCM washatwangana sasa wanauwana huenda CC nayo ikapiga kura fitna haina macho? wazazi,CDM mnapaswa kujua hii gemu itakuwa nzito si kitoto pangeni Makanda wa nguvu na mambo ya kuhuni muache Lema au Mrema yakikaa front Mmefikia pua.............CCM watafanya tafrija kabla ya kura............watu kama mzee mzima mbowe na silaa hii ngoma ndo saizi yao............maanake huko mpunga utatumika mwanzo mwisho hii gemu isije ikauzwa wazazi
 
Mkuu Nape ukiwa kama katibu mwenezi wa chama nilitaraji ungekuja na tamko la chama
Kusema unaingiaje hapa nadhani haisaidii sana just toa taarifa kwa mujubu wa chama
Kama kunawatu hawaipendi au la iyo sio kazi yako, wajibu wako kama katibu mwenezi ni kutoa taarifa za chama
 
Nimegundua ya kuwa JK ni genius na anaona mbali sana. Ameona kweli raisi 2015 ni bors awe Kijana. Nimesema hivi baada ya kutafakari sana , nikalifananisha jambo hili na wakati nilipokuwa standard one enzi hizo standard one , nilikuwa naibia kwa jamaa alikuwa na umri mkubwa kwangu nikitegemea lazima nitafaulu tu, matokeo wote tulipata yai. Katika siasa zetu hizi inaonyesha wazi kabisa wakuu waliowazidi umri nyinyi wenzangu Youngmen hawatakubali wawe chini yenu, hilo ndiyo linakwamisha maendeleo ya nchi. Kwa kweli Nape Nakupongeza sana kwa hapo ulipojaribu, you need people to back you up. Haya yote yanawezekana isipokuwa ile Mind set ya watanzania ibadilike wajue si mkubwa , wala mdogo wote tuwe level moja.(huyu mtoto wa jana anajua nini? such mentality is destroying our community, matokeo yake tukalia yale yale mambo ya kizamani yaliyopitwa na wakati) Nape you are doing a good job.. God bless you and God bless more those who are in love with our nation.
 
Hivi Nape anaingiaje hapa? Nimesoma stori yote uloweka hapo hakuna mahali kuhusika kwa Nape kwenye uchaguzi wa Arumeru lakini kichwani mwako kwakuwa Nape ni mwiba kwa ufisadi basi usipomtaja hupumui!
Nafurahia jinsi mafisadi mnavyoteswa na jina Nape!thank you God kwa kuniwezesha kufanya yote niliyofanya kuwatetea Wanzania!

And u must do some thing for ths nation! Yes u can!
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!

This way of referring to mafisadi is unfocused and imprecise; and only serves to illustrate the proverb: A barking dog never bites. By the way, who are mafisadi from your, and CCM's, point of view?

The term 'mafidadi' was popularized by Dr Slaa when he presented the the List of Shame at Mwembeyanga in 2007. We all know that some prominent individuals in the country (including CCM's Chairman) were included in the list and an account was given of how each got involved in incidents of grand corruption to warrant his inclusion. Therefore it is those in the List of Shame, plus any other persons convicted of graft in courts of law, that are known to Tanzanians as mafisadi.

Jargons like 'Kujivua Gamba' and 'Makamanda wa Kupambana na Ufisadi' are nothing but political gimmicks aimed at luring Tanzanians into believing that CCM is fighting corruption while actually it is seriously nurturing it!

Inashangaza sana kwa kiongozi wa chama kilichoko madarakani kulia, "Mafisadi, mafisadi ..!" while it is the CCM government that owns Takukuru, DPP, Police Force and even the courts of law.
 
Hivi Nape anaingiaje hapa? Nimesoma stori yote uloweka hapo hakuna mahali kuhusika kwa Nape kwenye uchaguzi wa Arumeru lakini kichwani mwako kwakuwa Nape ni mwiba kwa ufisadi basi usipomtaja hupumui!
Nafurahia jinsi mafisadi mnavyoteswa na jina Nape!thank you God kwa kuniwezesha kufanya yote niliyofanya kuwatetea Wanzania!

Hizi siasa zetu Bongo ni hobela hobela, mie si mpenzi wa CCM wala CDM, ila ninachokijua ni kwamba kama kweli CCM ilikuwa haimtaki Sioi CC ingeweza kuondosha jina lake moja kwa moja, nadhani ni suala la demokrasia tu lilitumika, nafurahi kuona kwamba uchaguzi huu utakuwa vuta nikuvute, otherwise tunasubiri burudani. CCK wako wapi? tungependa kuwaona nao wakileta siasa za karne ya 21 hapa, lakini nadhani wanajipanga, siasa kazi kweli kweliiii
 
CCM inaendelea kudhihirisha kuwa kwa mtu asiye na fedha ni ndoto kupata uongozi.
 
Nape anaonekana ni mtu mwenye hasira sana mbona hajibu hata moja.
Jukwaa zito sana hili. Sio kama waandishi wa habari anaopelekewa mara kwa mara pale Lumumba na Dodoma. Vingi vikiwa ni vibinti vinavyobaki kumtazama alivyo "cute"! Kwa wanasiasa vijana, jukwaa hili alilimudu sana marehemu Regia peke yake. Akina Zitto, Mnyika,..., wanafanyaga kutupia tu na kuchungulia kidogo. Angalia "guests" walivyo wengi leo kwenye thread hii!
 
Back
Top Bottom