Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!
kamanda achana na hawa ccm lowassa mchana wanajifanya ccm usiku kumbe ni vinega,tuachie sisi hawa tutaoangaika nao
 
The tittle of the thread and its contents leaves a lot to be desired.
There is no directly relationship.
For sure, mwandikishi wa hii habari amenunuliwa.
I am very disappointed.
 
Lowasa ni Jembe nape hawezi kufua Dafu pale,abaki anatumwa na wakina Riz tu ndiyo kazi anaweza
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!

Nape

Kuna vitu vingi hapa Tanzania vya kutusumbua vichwa na si udhoofu na unafiki kama unaoufanya katika chama chako

you arre not a stand alone leader rather you stand as siding the self benefit side in your party which always discredit your reputation including the likes of your leadership capability being very low
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!

Kaka umekuwa kama shemeji,mtu akimzungumzia dada yake lazima ataje shemeji ndio story inoge....achana nao stick on your way broo...pamoja sana acha taarifa ya Takukuru iongee yenyewe.
 
Watu wa lowassa sasa hivi mmekua watu wa kushangilia vitu vidogo vidogo namna hii,kweli yametimia...
 
Nape ungekuwa na dhamira ya kweli ktk kupiga vita ufisadi nadhani hadi saa hii usingekuwepo ccm. Nasema hivyo kwa kuwa ukiangalia kwa jicho la tatu kama Kweli unamtaja Mungu wa kweli ktk kweli serikali ya ccm imeshindwa kuongoza nchi, na kila kona ya uongozi wa ccm tunaona madhaifu makubwa sana. Nape ndugu yetu kama Mtanzania ndani ya ccm tukubali kuna ombwe kubwa sana la kiuongozi linalo leta madhara makubwa hata ktk serikali
 
hii ni zaidi ya igunga maana kule ilikuwa ni kati wa ccm na cdm. Sasa huku ni baina ya ccm, ccm na cdm. Patamu hapo!
 
Nape wewe ni mtoto mdogo sana...ujue huku ni kaskazin..wewe huwezi kushindana na lowasa hata chembe..wewe endelea kuongea>
 
Hoja ya kutoa matokeo ya kura za maoni Facebook nayo ni mufilisi, lini nimewahi kutoa matokeo hayo kwa chaguzi zote za kura za maoni ndani ya Chama changu? Hakika nawasumbua vichwa vyenu mafisadi na hii ni faraja kubwa kwangu!!!

nini tathmini yako kuhusu mchakato mzima wa kura za maoni na mshindi ndani ya CCM?
 
Hivi Nape anaingiaje hapa? Nimesoma stori yote uloweka hapo hakuna mahali kuhusika kwa Nape kwenye uchaguzi wa Arumeru lakini kichwani mwako kwakuwa Nape ni mwiba kwa ufisadi basi usipomtaja hupumui!
Nafurahia jinsi mafisadi mnavyoteswa na jina Nape!thank you God kwa kuniwezesha kufanya yote niliyofanya kuwatetea Wanzania!
Acha kujisifia uongo, ndani ya CCM hakuna mtu anayeweza kujiita yy ni mwiba wa mafisadi. Kilichopo ni siasa za makundi ya udini, ukabila, undugu na ushkaji, hivo magamba yeyote ukiona anapuliza vuvuzela kumponda mtu fulani ujue sio kundi lake.
Ww nape ni mpiga kelele tu, hujui ufanyalo na huwezi kusoma alama za nyakati; kibaya zaidi umeshaingiwa na hofu kwamba kundi fulani likishika madaraka ndio mwisho wako wa siasa. You should have known better from the start ukakimbia CCM kabla hujalikoroga, now is too late my friend..upinzani hukubaliki (labda uende TLP au ADC), CCM hapakaliki. You are expendable!
 
Hivi Nape anaingiaje hapa? Nimesoma stori yote uloweka hapo hakuna mahali kuhusika kwa Nape kwenye uchaguzi wa Arumeru lakini kichwani mwako kwakuwa Nape ni mwiba kwa ufisadi basi usipomtaja hupumui!
Nafurahia jinsi mafisadi mnavyoteswa na jina Nape!thank you God kwa kuniwezesha kufanya yote niliyofanya kuwatetea Wanzania!

Vipi mkuu unatokeza Arumeru au ban ya igunga ina apply mpaka Arumeru?
 
Hivi Nape anaingiaje hapa? Nimesoma stori yote uloweka hapo hakuna mahali kuhusika kwa Nape kwenye uchaguzi wa Arumeru lakini kichwani mwako kwakuwa Nape ni mwiba kwa ufisadi basi usipomtaja hupumui!
Nafurahia jinsi mafisadi mnavyoteswa na jina Nape!thank you God kwa kuniwezesha kufanya yote niliyofanya kuwatetea Wanzania!

By the way anawatetea Wanzania. Ndo kundi Lake Linavyoitwa.
 
Nape wewe ni mtoto mdogo sana...ujue huku ni kaskazin..wewe huwezi kushindana na lowasa hata chembe..wewe endelea kuongea>

huyo lowassa wenu hana lolote tulimpa kazi ya kuhakikisha jimbo la arusha mjini linabaki ccm alishindwa kuonyesha hizo nguvu zake jimbo likapotea,leo nguvu za kaskazini anazitoa wapi?ana nguvu monduli huko labda

Lowassa ni mtu mdogo sana kwa Nape,nape anaingia kwenye kamati kuu lowassa anaishia kwenye viwanja vya bunge..nec yenyewe tunamng'oa atake asitake hatutajali kiharusi chake wala kutetereka kwa afya yake.
 
Back
Top Bottom